Тёмный

SIKILIZA MAJIBU YA MAKONDA, Ni Kweli Alipewa Sumu, Aibuka Uwanja wa Ndege kukagua mradi wa ujenzi.. 

Taifa Digital
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 25 дней назад
Watz tuache wivu kabisa vinginevyo tutatawaliwa na mabeberu siku zote.Kama mtu anauwezo wa kuongoza tumuunge mkono na siyo kumuua..Ubarikiwe Makonda Mungu akulinde ❤🎉
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 25 дней назад
Huyu kijana Makonda Ana kipiji Cha uongozi na akili nying
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 25 дней назад
Mimi nko hapa Ujerumani.. Naukubali Makonda
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
kabisaa
@user-dj1os5ib8x
@user-dj1os5ib8x 25 дней назад
Tutatawaliwa na mabeberu ya mbuzi au
@BarakaGabriel-p7x
@BarakaGabriel-p7x 25 дней назад
Kama hujui mabeberu ninani ndugu yangu basi kichwani mwako humo ninawasiwasi namo saana
@FlorenceObed
@FlorenceObed 26 дней назад
Neema ya Mungu yatosha.simama imara Makonda endelea kuvipiga vile vita vizur vya iman.
@barakambuzeyonja6935
@barakambuzeyonja6935 26 дней назад
Nimefurahi mno kumuona makonda Mungu ni mwema Sana.
@cathylove8534
@cathylove8534 25 дней назад
God bless you:"Paul Makonda". Long Life Paul Makonda!
@user-cd7zg4hj4w
@user-cd7zg4hj4w 25 дней назад
Hongera sana kuwa na nafasi ya kutulia na Mungu wako, neno la Mungu linasema watachimba mashimo watadumbukia wenyewe. Malaika wa Mungu akulinde, amina
@ConsolathaGilli
@ConsolathaGilli 25 дней назад
Mkuu wetu unaonesha kuwa u mdhaifu sana! Usijali utapona na kupata nguvu zaidi kuliko awali. Mungu wewe ni mkuu mno! Asante kwa kuturudishia mheshimiwa wetu. Mpe AMANI NA FURAHA KTK KAZI YAKE.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Watu wanatamka tuu utadhani wana maono kumbe nao ni giza tu! Kila mtu na atamke lakini tutambue kuwa Sio kila neno la vinywa vyetu Mungu hulipokea lilivyo,kuna uwezekano mweza wa yote asiye dhihakiwa akayageuza kuwa kinyume chake! Mungu wa wote wenye mwili atukuzwe daima maana ndiye kweli yote na Amina atakayechambua kati ya gugu na ngano safi, Amen.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 25 дней назад
Kweli hii Dunia aisee nimefurahi sana moyoni kumwona makonda tuliingia simanzi maneno yalikuwa mengi sana ama kweli mungu wetu hamshindwi kitu mungu tunakurudishia sifa na nguvu ni zako kweli bb mungu tumefirahi bc ukamfunike Kwa damu Azizi ya yesu Adui wakashindwe Kila wapangalo Aminaa
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 25 дней назад
BWANA YESU Ni mwema Leo Ni kuimshukuru MUNGU tu kwa kujibu maombi yetu amen
@BarakaGabriel-p7x
@BarakaGabriel-p7x 25 дней назад
Amina
@user-tb2wg1me7c
@user-tb2wg1me7c 22 дня назад
Amen
@Lighttemba
@Lighttemba 25 дней назад
Jaman kaka makonda Mungu wa mbinguni azidi kukupigania nimefarijika , nimejawa na aman moyon kwa sasa. Utunzwe mpaka kusudi LA Mungu litimie.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 25 дней назад
Mhe mkuu wa mkoa Arusha piga kazi kama kawaida yako watz tunakuombea sanasana kwa Allah akufanyie wepesi wakazi zako akuepushe na yawalimwengu akupe upeo zaidi wazidi kushangaa maono yako ya kazizako mungu pekee tunamshukuru sana mungu akulinde sana inshaallah Amiina🤲🙏
@rehemasumuley-yv3wh
@rehemasumuley-yv3wh 25 дней назад
Mungu ni mwema leo nitalala maana nilikuwa siwezi hata kulala
@halimamasai2234
@halimamasai2234 25 дней назад
Yani hata mimi nitalala leo kweli mungu ni mwema maashallah
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
pole saana, Ubarikiwe
@barikiringo6311
@barikiringo6311 19 дней назад
Tunakupenda kiongozi wetu, Ahsante kwa kumwakilisha rais ipasavyo😊
@marymessay2768
@marymessay2768 25 дней назад
Amen Mungu mema amemrudisha kiongozi huyu mwema asante Yesu
@saulocharles9306
@saulocharles9306 25 дней назад
Asante sana MUNGU
@SwaleheAdamu-rg8hl
@SwaleheAdamu-rg8hl 24 дня назад
Jamaa anajua sana utu wa Tanzania wa hali zote mungu akubariki sana
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 20 дней назад
Makonda nakuomba sana kwa M/Mungu akulinde kila aina yaubaya na Akubarik Maisha marefu namwisho nwema
@richardmachendule9138
@richardmachendule9138 25 дней назад
Mungu akupe maisha malefu
@songeza
@songeza 22 дня назад
Tumshukuru Mungu wa mbinguni Hali yake Bado haijawa sawa Kwa makonda anaeoneka Kwa Sasa na mwonekano wa mwanzo tofauti tuzidi kumuomba c mnajua ukila kitu Cha kufisha
@user-tb2wg1me7c
@user-tb2wg1me7c 22 дня назад
Makonda nakuombea maisha marefu sana, Mungu akulinde sana sissi watanzania tuliowengi tunakupenda sana baba
@user-je2om4dp7c
@user-je2om4dp7c 25 дней назад
Kazi iendelee mh.mkuu wa mkoa❤❤❤
@LootaLengishon-i5p
@LootaLengishon-i5p 25 дней назад
Karibu mkuu fanya kazi
@nadiatanzania
@nadiatanzania 25 дней назад
Long life makonda and my God protect you 🙏
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 дней назад
Safi sana,na sisi wakristo tunasali Kwa masaa sio jumapili tuu, umemjibu huyo mkandalasi vema nasisi tunatakiwa kuigwa, sio kuigwa tuuu.
@StanslausCostantine
@StanslausCostantine 25 дней назад
binafisi nimefrahi kumuona makonda kwenye ubora wake akianza majukumu yake kama kawaida yake Mungu amlinde zidi ya wabaya wote ili azidi kutimiza majukum yake yakutatua nakusaidia watu wote.
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 25 дней назад
Mh makonda kweli ww nibonge la kiongozi ivi chalamila mbona haigi ufanisi wako
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Rizwanabdallah usiwe kinyonga kusifu upande,na kukashifu upande kwa kujidhanis unajua sana kila kitu kumbe uu kipofu!
@singokilango5837
@singokilango5837 23 дня назад
Mungu azidi kumlinda mkuu wetu wa mkoa. Kazi iendelee
@JeremiahMwakanyamale
@JeremiahMwakanyamale 20 дней назад
nafurah kukuona ukiwa mzima..mwamba mungu atujalie maisha malefu.
@TumsifuNdanshau
@TumsifuNdanshau 26 дней назад
MUNGU azidi kukulinda makonda
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 24 дня назад
Super Baba Keagan.Mutu ya watu.Kiongozi for example.Hakika ww mtu bana
@user-pw9ir4fg7x
@user-pw9ir4fg7x 23 дня назад
Mungu ni mwema 🙏
@SalmaMichael-vs2lv
@SalmaMichael-vs2lv 24 дня назад
Nkupenda baba yentu pig kanzi nakuombeye mungu akupe maisha malefu.. 2:03
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania 25 дней назад
Pole sana kwa majukumu. Karibu kaka Makonda uku maji ya chai mashine za matofali zipo mtaani zinatutesa kwa kelele kwnye makazi wanapiga matofali mpaka usiku nyumba zinavibrate tuu.
@OmaryMdoe-fs4hj
@OmaryMdoe-fs4hj 25 дней назад
NMESHUKURU NIMEFURAHI CHAPA KAZI UMSAIDIE MAMA SIOHAO BAADHI YAO WANAPEWA DHAMANA WANALALA
@ummy0095
@ummy0095 24 дня назад
Asante mungu kwakuturudishia hai makonda
@linahmacha370
@linahmacha370 25 дней назад
Uuuuuuuuuuuuuh Asante Yesu 🙏🙏
@deankadancy
@deankadancy 22 дня назад
Sasa tumeamini mwamba upo wengi tulikuwa na sinto fahamu wakutupa majibu yakweli hakuna longolongo nyingi tunamshukuru mungu pia aendelee kukulinda akufunike na mbawa zake adui asikuone
@edithjosephat7155
@edithjosephat7155 25 дней назад
Namshukuru MUNGU kwa Ajili yako Makonda
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 25 дней назад
Nimefarijika sana milikuwa cipati usingizi. Sasa nitalala fofo
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 25 дней назад
Nitalala 4 4 4yaani fo fo fooo
@edithakimario3430
@edithakimario3430 24 дня назад
Mungu aendelee kukupigania kaka . Makonda na aendelee kukulinda
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 24 дня назад
Neema ya mungu iwe juu yako makonda
@rashidsaid6660
@rashidsaid6660 24 дня назад
🙏🙏🙏 mungu ni mwem,a ahamie na dom kuna madudu mengi.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 26 дней назад
waliosema kapewa sumu mbona sioni coment wao kweli. wameona aibu sana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
imetoka
@bhokeshinta5140
@bhokeshinta5140 24 дня назад
mungu akitunze ndugu yangu
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 дней назад
Na Sisi tuigwe sio kuigwa tuuu
@IssaJohn-kk8pb
@IssaJohn-kk8pb 25 дней назад
Mungu ndie ajuaye kesho ya mtu ila chamuhimu uzima lakini mbona unachechemea kaka makonda
@EliaJoseph-r2c
@EliaJoseph-r2c 25 дней назад
Mungu akupe maisha marefuuuu
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 24 дня назад
Ni kweli viwanja vyetu vyote viwe na sehemu za kusali kwa pande zote mbili kwa Wakristo na Waislam.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 25 дней назад
❤❤❤❤❤
@fortunathachuwa3334
@fortunathachuwa3334 25 дней назад
Mhe kazi iendelee
@maxmindanu3188
@maxmindanu3188 26 дней назад
🔥🔥🔥🔥❣️
@PendoSamwel-vc4eg
@PendoSamwel-vc4eg 24 дня назад
Msifanye ubaguzi kila dini Iwe na sehem yake
@user-sx9np8sy4d
@user-sx9np8sy4d 23 дня назад
Raisi wetu tunakusubili uchukuwe form tu
@hamismwangwale563
@hamismwangwale563 23 дня назад
KWEL
@BarakaGabriel-p7x
@BarakaGabriel-p7x 25 дней назад
Uko sawa mh tanzania tuna dini kubwa mbili kwanini iwekwe moja hapo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
ajabu saana mjenzi muislamu
@BarakaGabriel-p7x
@BarakaGabriel-p7x 25 дней назад
umeona Eeee
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 24 дня назад
Makandarasi ameangalia uhitaji, dini ya pili haikuwa na uhitaji kwa kiasi hicho
@yahyahamad4140
@yahyahamad4140 26 дней назад
Hii video ni ya ss au kitambo?
@deusNjimba
@deusNjimba 24 дня назад
Makonda. Oyeeee
@NeemaIssah
@NeemaIssah 25 дней назад
Pumbsvu mwandishi wakichwa chahabari
@user-pw9ir4fg7x
@user-pw9ir4fg7x 23 дня назад
Muonekano huu kak unanitia hofu maaan kam nidhaif half bado unachechemea hiv kwann ,
@songeza
@songeza 22 дня назад
Makonda sio mtu wa kusahau kitu angalieni anavyoongea anasahau cha kuongea mungu yu hai atamoigania tu japo bado hamasa yake sio kivile mungu msaidie makonda mungu isaidie tanzania na mioyo yao inire kitu kimoja na rais wa tanzania tumpe ushirikiana na kuchapa kazi na wanaochapa kazi tuwaache wafanye wewe ulusha kula wakati wako umeisha tulia kula mihela unaliyojimilikishia
@masanjajuma-f5f
@masanjajuma-f5f 25 дней назад
Tuko pamoja makonda
@user-kr8uw1co7v
@user-kr8uw1co7v 26 дней назад
Makonda wewe ndo mtetezi wetu
@user-ou7jp8ug7z
@user-ou7jp8ug7z 25 дней назад
Uyoo jamaa kasem infinix nn
@neymakiboa3496
@neymakiboa3496 26 дней назад
Kafanyaje huyo wa nyuma😂
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 25 дней назад
Hii ki
@evaristachami9190
@evaristachami9190 25 дней назад
Watakufa wao siyo wewe kaka
@KissaMwakatumbula-uo5te
@KissaMwakatumbula-uo5te 24 дня назад
Ha
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 26 дней назад
Waache unafiki ndokasema kapewa sumu
@mossesmabulajr.3453
@mossesmabulajr.3453 25 дней назад
Wote wana haki ya kuabudu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
kabisaa
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 25 дней назад
Mediaxza bongo ni km move zq kihindi
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 25 дней назад
Serikali wanaanzishaga wao Ubaguzi bila sababu. Maeneo ya Serikali mengi yana sehemu ya yakusalia waislam. Lakini Wakristo hamna. Wekeni nafasi za kusalia Wakristo Kwenye Maeneo ya Majengo ya Serikali
@user-cu6ol4zb8e
@user-cu6ol4zb8e 25 дней назад
mhuuu nahisi hujaelewa vizuri
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
​@@user-cu6ol4zb8ewewe ndo hujaelewa
@BarakaGabriel-p7x
@BarakaGabriel-p7x 25 дней назад
Upo sahihi nakuunga mkono alafu wenyewe wanasema tusibaguane wakati wenyewe wanatubagua
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 24 дня назад
Nenda UDSM utaona ubaguzi ulivyo katika nyumba za ibada
@isackkivuyo1980
@isackkivuyo1980 25 дней назад
Mbn kapungua hivi
@mohamedkazema6381
@mohamedkazema6381 25 дней назад
Vipi na wahindu, Mabudha, na waabudu mizimu nao mtawajengea??!
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 25 дней назад
Aa nitatumia sasa bwana apewe sifa
@EliaJoseph-r2c
@EliaJoseph-r2c 25 дней назад
Wewe niraisi wakesho
@benoseaone
@benoseaone 25 дней назад
Kanyong'onyea sana mkuu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
Haina shida subiri ataamka Kesho
@rajabually869
@rajabually869 25 дней назад
Mkuu kama umeepoa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
unatakaje?
@EmmanuelMacha-me1zz
@EmmanuelMacha-me1zz 25 дней назад
Alipewa apeleke wapi? Hapo sijaelewa kidogo.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
kupewa hujui??mpaka waseme alilishwa?
@masanjajuma-f5f
@masanjajuma-f5f 25 дней назад
Serikali wakiona vp wampe uras
@rosejohn8494
@rosejohn8494 25 дней назад
serikali haitoi nafasi ya urais bali akachukue fomu watanzania tumchakue kwan rais cyo kiongoz wa kuteuliwa bali huchaguliwa na wananchi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 25 дней назад
Asubirie Mama Amalize mitano
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 690 тыс.
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 690 тыс.