Hii ni siku ya ukombozi ya kuja kwakwe Mwokozi wetu YESU KRISTO. Inakupasa ujiandae maana hujui siku wala saa ya kujakwakwe, ishibishe roho yako kwa maneno matakatifu yaliyofundishwa kwenye hili somo na mtumishi wa Mungu Christopher Marwa jijini Mwanza.
27 авг 2024