Nimerudia kwa idadi kuubwa sana mpaka sikumbuki ni mara ngapi...nabarikiwa na wimbo huu mpaka sijisikii kuuchoka kuusikiliza..... Una ujumbe mzito sana unaoendana na wakati tulionao. Mungu akubariki ktk huduma hii uliyonayo ikue na kukua!
Mwenye huu wimbo ana itwa Rozali siyo huyu dada ambaye ame uweka huu wimbo hapa. Huyu mwenye hii picha ame ibiya huu wimbo akanji wekaya yeye na dio maana muna ona hawezi kuwa njimbu nyiye wote kwenye mesage ila mukita kumupata mwenye huu wimbo njimbu tu hii mesage nita wapa nambar yake na amesha ifanyiziya video karimbuni tuta iweka kwenye you tube yake mwenye we
@nadegeotsha Asante sana ndugu kwa mwangaza huu sasa tunganishe naye hakika tumebarikiwa vyakutosha pole kwa wenye kuiba kazi za wengine Mungu hamfichi mnafiki niunganishe naye please 🙏udi8376