Тёмный

Simba 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 20/08/2022 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 714 тыс.
50% 1

Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Hii ni mechi ya raundi ya pili kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 257   
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Mzungu katunyamazishia watu, like Zake tafadhali
@innocentmushi3036
@innocentmushi3036 2 года назад
Mimi ni Yanga Damu. Ila sikufurahishwa kabisa na zile dhihaka na ubaguzi dhidi ya Dejan. Leo nimefurahia kuona kafunga.
@daddybenny
@daddybenny 2 года назад
Hii game nimechek zaid ya mara moja youtube..inavutia sana..dondosha like kama na ww umekuwa ukirudia..na viewers ni wengi
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 года назад
Mzungu movement zake nzuri, Sema ananyimwa mipira.
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 года назад
Tunaipeleka on trend number one nguvumoja💪💪💪
@Userog254
@Userog254 2 года назад
Hii ndio Tim mboga 7 full mazagazaga yaani kila mchezaji mfungaji hatutegemei mtu mmoja Simba Unstoppable
@gloryjohn6120
@gloryjohn6120 2 года назад
Naipenda simba jamn 😍😍😍
@Trendzzzzzzz
@Trendzzzzzzz 2 года назад
Professional football from Simba sports club.
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 года назад
Mlete mzunguuuu simba damu damu ulaya katikati ya Dar🥰🥰🥰🥰
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 2 года назад
Uyo mzungu inatakiwa avae namba 9 . Lete mzungu 🦁💪🙏🏻
@noelchambo6929
@noelchambo6929 2 года назад
Leteee mzunguuuuu,, lete mzunguuuuu,,🦁🦁🦁💪💪🔥🔥🔥🔥 leo tumeupiga mwingi aseeee pongezi kwetuu wanamsimbaziiii,,🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁
@markkayuni9775
@markkayuni9775 2 года назад
Mzungu staa kuliko mchezaji yeyote kwenye ligi yetu nimeamin leo ananyotq ya kupendwq🇹🇿🇹🇿
@crazydaddy9217
@crazydaddy9217 2 года назад
Simba kama itajengeka chemistry basi ni timu hatari sana sana sana Yaani hizi pasi zikikamatika na benzene ring basi inaweza ikasababisha watu kuchukia kukutana na simba
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 года назад
Kabisa bro, Koch’s aone ujumbe wako
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 года назад
Sijafurahishwa na utupaji wa mabao ya wazi... Tunatakiwa tuwe clinical infront of goal.. hii mechi hata 7 tungepata kama wachezaji wetu wangemakinika mbele ya lango...
@dorothylyimo5378
@dorothylyimo5378 2 года назад
Chama chama na moses phiri na mzungu mungu awalinde tunaomba
@amaalnoormohammed4302
@amaalnoormohammed4302 2 года назад
Amiina
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Sema huyu Mzungu anayo touch nzuri sana
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 года назад
Goli la lete mzungu 😋amazing sana…..
@zarinatv2024
@zarinatv2024 2 года назад
Naipenda Simba yangu jaman yaan hadi napata utam kisimi kinasisimka uwiiii🙈🙈 #NguvuMoja🦁🦁🔥🔥🔥💪🏽💪🏽
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Daaa
@amehassan8792
@amehassan8792 2 года назад
Dah nakubal simba nguvu moja
@azanmohd9851
@azanmohd9851 2 года назад
Kisimi chko kina simama kweli
@azanmohd9851
@azanmohd9851 2 года назад
Kweli kina si mama kinaa takaa nn
@azanmohd9851
@azanmohd9851 2 года назад
Kinaa. Sisimkaaa kweli hicho kisimi chako ww
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Simba ni wazuri na wameonyesha soka Kali sana ila wanakosa umakini katika umaliziaji na hii mara nyingi inawagharimu hata wakikutana na Yanga,,,,kwaujumla ilikuwa mechi nzuri sana Kwa maana hata Kagera wameonyesha soka Kali sana!
@peras26Life
@peras26Life 2 года назад
Lete mzunguu lete mzunguu❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥❤️
@musamabura5200
@musamabura5200 2 года назад
Dejan what a striker
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 года назад
Safi sanamzungu wetu wahoooo mlete mzungu mlete mzungu waooo
@pallangyosamali9459
@pallangyosamali9459 2 года назад
simba babu kubwa
@josephmlyahilu5666
@josephmlyahilu5666 2 года назад
Good service, I enjoy to view you tube
@n.o.m4385
@n.o.m4385 2 года назад
kipa wa Kagera sugar kawaokoa ila walikuw waoge magoli mengi leo
@evaristjulius8079
@evaristjulius8079 2 года назад
Of coz, ila ndo kazi yake😂
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 2 года назад
Classic goal🇺🇸🇺🇸
@celvinrobert7972
@celvinrobert7972 2 года назад
What a goal
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад
Asante Dejan Sasa umetuamsha , Safi sanaaaa...
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele 2 года назад
Kwanza ile movement kibongobongo ni ngumu sana
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 года назад
Sidhani kama Simba inamuhitaji Manzoki, natamani siku moja Mzungu apige namba 9 alafu Moses Phir namba 10, winga kushito Banda na winga Kulia Sakho. Chama na Kanoute kati na nyuma kama kawaida
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Na ndiyo ilitakiwa namba zipangwe hivyo Dejan apige namba tisa zen Phiri apige namba kumi
@malleironworks4586
@malleironworks4586 2 года назад
Simba inamuhitaji MANZOKI.. Angalia shot on target ngapi zimepatikana.. Dejan Ni mzuri Lakini sio mshap Kama Manzoki.. Wakisaidiana Simba itafunga kwa idadi kubwa ya magoli..
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Hapo Okrah asikosee
@victormollel7512
@victormollel7512 2 года назад
Mlete mzungu 💓💓💓💓💓💕💕
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 года назад
Mzungu angekosa na Hilo basi ningeomba yeye na sakho wakae benchi kidogo mechi Kama tatu hivi wajifunze. Beki ya kagera wamefanya makosa mengi washukuru kipa na bahati ya kutofungwa goli nyingi. Mdhungu naona anapenda mpira wa kukimbizana aangalie hii ni Africa atavujwa miguu... Mwenzake moloko hoi tayari....jamaa wanapita na zote. Ilikua game nzuri Sana kwa Simba
@muahamedealiuazir4715
@muahamedealiuazir4715 2 года назад
Mzee baba anaonekana akichenza winger ndo atafaa zaidi maana sio kwa speed zile
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Hao wachezaji wa kitanzania ndio hawaonyeshi kujituma wageni ndio wanajikaza na kuinogesha ligi ya Tanzania bara.
@innocentpaschal981
@innocentpaschal981 2 года назад
Tatizo wachezaji wetu tusiwe wabinafsi Yani mzungu anatoa pasi alafu anaiomba kwa mbele lakin unakuta jitu linakaa na mpira tu mguuni
@quantumcosmos7771
@quantumcosmos7771 2 года назад
SAHIHI KABISA...NIMEBOREKASANA NA HUU UPUMBAVU...MZUNGU NI MSTAARABU SANA NAANACHEZA SOKA LA DARASANI LA KUTOKAA NA MPIRA ILA MIJITU KAMA VILE HAITAKI ASHAINI VILE..HOVYO SANA
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 2 года назад
Uko sahihi kabisa ,ndio mpira wa kiafrika,Mzungu anagusa na kukimbia mbele,sisi mpira wetu ni show game ,mtu nataka kupiga chenga ambazo hazina faida
@saidbakari2408
@saidbakari2408 2 года назад
Hapo ndo huwa namkumbuka Luis ukiomba tu ishafika zamaani sana
@najmaally7556
@najmaally7556 2 года назад
Ila hii game ya Leo nimefurahi sana yaani Simba penda sana ndani mzungu wetu Leo kawafunga midomo wale washamba hahahahahaha hatujamalizaaaaaaa🦁🦁🦁🦁❤️
@YasintaPeter-y3p
@YasintaPeter-y3p Месяц назад
Mzungu na fred Nan bola
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 года назад
Lete mzungu ni lete mzungu tu Braza simba ni simba tu….endeleeni kumkebehi lete mzungu wetu ndiyo kwanza aaaa mnamtengenezea umaarufu.
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 2 года назад
Phiri🔥🔥🔥
@leeabd9057
@leeabd9057 2 года назад
Kinacho wauma sio kufunga goli tatizo hiyo shangilia yake watakoma mbona
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli
@musalimukile6409
@musalimukile6409 2 года назад
Wachezaji wa simba wanapendana sana hadi raha
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 2 года назад
Teh mzungu kashinda dakika ya 80 kama dakika ya bao la pili la mayele. Simba wamekosa mabao mengi sana, wapinzani wangezitumia chansi zao vizuri wangeweza kudroo
@fettykilango2814
@fettykilango2814 2 года назад
Triple c mr assist
@joramgobness5281
@joramgobness5281 2 года назад
It's 🔥🔥🔥🔥🔥 Simba 💪 moja
@steve_tz
@steve_tz Год назад
Goli la Dejan Kila siku naliangalia
@deograsiagissamo407
@deograsiagissamo407 Год назад
Simba tamuuuu nyie 🦁🦁♥️
@Nyagaboytz
@Nyagaboytz 2 года назад
Hii mech ni tamu Sana Kama wachezaji wangetulia wangemchapa mtu wiki
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 года назад
Kabisaaaa
@emmanuelmanikulu7791
@emmanuelmanikulu7791 2 года назад
Kwani wao wanasemaje huko anajua hyo ana baraaa hyooooooo
@jafariabdallah7669
@jafariabdallah7669 2 года назад
sakho leo katunyima magoli mengi sana alikosa utulivu alikua anapiga piga tu
@niyongaboemmanuel1550
@niyongaboemmanuel1550 2 года назад
Muzunguuuuuuuu uraya ni uraya 2
@zanuraside5313
@zanuraside5313 2 года назад
Nanyinyi wachezaji wa simba muwe mnampa pasi mzungu
@teddymboya1437
@teddymboya1437 2 года назад
simba tamu jamani
@elipendomayunga2898
@elipendomayunga2898 2 года назад
Mzungu aanzee mapema
@michutv9677
@michutv9677 2 года назад
Nimekua wakwanza na mzungu wetu hatujamalizaaaaa😂🦁🦁🦁
@hamadhamad257
@hamadhamad257 2 года назад
Anatakiwa Inonga ampige pige Mayele nje ya boksi kubwa atatuumiza sana.
@Bizzy176
@Bizzy176 2 года назад
Hiyo pasi ya goli aliomba akanyimwa sema kipa alivyopach na ye hapo hapo akafanye yake uchoyo wa psi acheni Jamani timu yangu kuweni kitu kimoja
@bakarihatibu4587
@bakarihatibu4587 2 года назад
Hata mimi nineona Wanamnyima ushirikiano tu mzungu Hata kuna moja Sakho alikua ampe mzungu
@monicaalvin8209
@monicaalvin8209 2 года назад
Nimejukiza pale mwenda alikuwa anapaswa nani😆😆😆
@gabrielemanuel985
@gabrielemanuel985 2 года назад
Mzungu yuko vizur ispokuwa asife moyo pila matunda liko pamoja nae.
@ibrahimuphilipo2873
@ibrahimuphilipo2873 2 года назад
Daah hili Gori balaa,yaan wachezaji wawili chali.
@paolo4584
@paolo4584 2 года назад
Huwa najiuliza kwann NBC Premier wanatumia beat za caf champions league wakati mpira ukitaka kuanza?
@edwardngoye6235
@edwardngoye6235 2 года назад
Simba tamuuu....!!
@saidbakari2408
@saidbakari2408 2 года назад
Hatujamalizaaaaaaaaaa
@ibrahimally5868
@ibrahimally5868 2 года назад
Ila chama daaah!, mamae
@Msabi-cp7wy
@Msabi-cp7wy 3 месяца назад
Djan nimchazaj sema tu bas
@butungo1
@butungo1 2 года назад
Sakho, Isra Mwenda walikuwa wachoyo kwa nafasi ambazo kama wangetoa pasi kwa Dejan kungekuwa na magoli mengi
@adammohammed9131
@adammohammed9131 2 года назад
Simba
@Stevenkmjshick
@Stevenkmjshick 9 месяцев назад
Jmn leo wanakufa vibaya hawa😅😅
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 2 года назад
Ohoooo asante thimba
@nassoroally8076
@nassoroally8076 2 года назад
Mzunguuuuuuu
@daddynamombas3898
@daddynamombas3898 2 года назад
Simba wako vizuri, kocha apewe nafasi arekebishe wachezaji wake naiona semi final ya cafcl. Hii ligi muhimu kushinda ila nusu ya ligi ya mabingwa ndo muhimu sana.
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 Год назад
Hapa ndo tulipopoteza ligi
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 года назад
Hapo sijaelewa yani kipa na walinzi wawili wamelazwa chini na mdhuunguuu au🤣🤣🤣
@noelchambo6929
@noelchambo6929 2 года назад
Le mzunguuuuu,, lete mzunguuuuu,,, lete mzunguuuuu 😄😄😄🔥🔥🔥💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁🦁wataelewa tu mwaka huu ngoja gari iwake,,
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 года назад
Lete mzungu hatari bro😎
@owuorambui9401
@owuorambui9401 2 года назад
Kipa na mabeki watatu wanateseka lete mdhuguuuu
@yohanamir1367
@yohanamir1367 2 года назад
Nimekubali
@fredrickbwire840
@fredrickbwire840 2 года назад
Duh! Simba ni matata
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Watangazaji wetu mna Mambo,,,,,,!!!
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 года назад
Mzungu umenifanya niongezeke kilo kwakweli kwa furaha
@salimuiddikipingu
@salimuiddikipingu 2 месяца назад
Nani anamkubali mzungu
@masigamire341
@masigamire341 2 года назад
Mletee mzuguuuuuuu
@elikanamyula1667
@elikanamyula1667 2 года назад
Kanout kacheka leooo
@pillychalanga8710
@pillychalanga8710 2 года назад
Nihatariii pia nimeshangaaa
@armandonappa435
@armandonappa435 2 года назад
Kagera sugar.. Wamecheza Na simba kaitaba Bkoba utatoka salama Unaifahamu vzur kagera nkiwa kaitaba
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 2 года назад
Naona nimeonekana na Jezi ya Lete mzungu..😊, Sakho ajifunze kitu
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Umeonekana wewe au imeonekana jezi?
@ezekielandirea868
@ezekielandirea868 2 года назад
Mzungu atawalaza wengi sana endapo2 atapewa nafasi ya kucheza na akipewa ushirikiano na wenzake
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 2 года назад
Kipa wa kagera yuko vizuri sana aongeze ushapu pia mabeki inabid kujua mapungufu ya kipa wao mipira ya kutemwa akilala aamki haraka Aendelee kufanyia mazoezi
@mariamemanueli7429
@mariamemanueli7429 2 года назад
♥️♥️♥️♥️
@nicodemshello163
@nicodemshello163 2 года назад
Sakho na chama vip mnakosa magoli ya wazi kabisa KWA nini mpjra unapokuja unganisha usianze kupiga chenga
@haibasalehe3889
@haibasalehe3889 2 года назад
I'm
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 2 года назад
Ulaya ni ulaya tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatariiii
@sufiyawakrah3335
@sufiyawakrah3335 2 года назад
Nafatilia nkiwa qatar ila natokea 254 simba wamefanya poa sana ila wakielekea kwa ushambuliaji wawe makini waangalie lango hyo ndio ina wacoast sana ndio mara nyingi huwa wanafungwa
@mohamedilijini3456
@mohamedilijini3456 2 года назад
Facts blood
@msabimarwa9994
@msabimarwa9994 2 года назад
Simba nguvu
@captainabimelek140
@captainabimelek140 2 года назад
Hatujamalizaaaa
@dicksoncyprian8259
@dicksoncyprian8259 2 года назад
Okwa ni hatari,kocha hasimweke benchi
@triplea3463
@triplea3463 2 года назад
Unataka akae nani bench chama au
@mussahamisi1191
@mussahamisi1191 2 года назад
Mleteee mzunguuuu 😂😂😂😂😂😂 katufuta machozi leo
@damsonkelvin1215
@damsonkelvin1215 2 года назад
Credit kwa mtangazaji kafanya poa sana
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 года назад
Wao mzunguuuuu
@elishaedson861
@elishaedson861 2 года назад
Nice
@majijamaneno5668
@majijamaneno5668 2 года назад
Oyoooo
@abisinaiddy2728
@abisinaiddy2728 2 года назад
Simba dAy
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 2 года назад
Uyu mzungu atauwa watu anaspidi atar
@mussamgande2530
@mussamgande2530 2 года назад
Nilichokigundua watu weusi wanamnyima mzungu pasi hii itatugalimu Sana Kama wakiendelea nahuu ujinga mzungu anaomba hawampi pasi huu ni ushamba wakizamani Sana
@ernestmagawa4622
@ernestmagawa4622 2 года назад
wachezaj wapunguze uchoyo kila mtu anataka kufunga yeye. hii mech ilikuwa inaisha c chin ya goli5 kama tungcheza liteam lkn kila mtu ana tamaa hasa Sakho
@barakaephraim5481
@barakaephraim5481 2 года назад
Aisee nimeona hiyo mfano sakho hakuwa na haja ya kutaka kufunga wakati Kati pamejaa wenziee
@jumashaibu3418
@jumashaibu3418 2 года назад
Azam tv dakika mnazo tuwekea uku ni kidogo ongezen zifike ata thelathini
@anethmsaki4600
@anethmsaki4600 2 года назад
Hio victory dance ya mdhungu cjaielewa🤔
@kennedymmbando
@kennedymmbando 2 года назад
Dance ya Zlatan Ibrahimovic hiyo 🙂
@samwelypeter9496
@samwelypeter9496 2 года назад
Ipo kwa game nyingi za ulaya🤣
@KANTANA97
@KANTANA97 2 года назад
Lingadihno
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Mzungu kawaziba midomo wote
@hamadali1696
@hamadali1696 2 года назад
Simba wanapenda wachezaji wafupi sana kwanini? ila wako viwango
@nasrikilapo5945
@nasrikilapo5945 2 года назад
Simba akuna kitu Simba wazama kafa kweli Simba wakufunga magoli 2
@saumusaumusaidi3092
@saumusaumusaidi3092 2 года назад
We ulitaka wafunge ngp
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 года назад
@@saumusaumusaidi3092 yangaa baba lao
Далее
Highlights | Simba 1-0 Yanga | ASFC Final 25/07/2021
24:28