Тёмный

Simba SC 1-0 Coastal Union | Highlights | Nafasi ya Tatu | Ngao ya Jamii 11/08/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 154 тыс.
50% 1

Saleh Karabaka Kikuya amefunga goli pekee na kuipa Simba SC ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu kwenye shindano la #NgaoYaJamii2024 . mechi ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 137   
@ayandaanele3180
@ayandaanele3180 Месяц назад
I'm from South Africa a big fan of Simba Sport Club,yes I don't understand the language but I think this commentator is the best in your league
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Месяц назад
Simple. Click translate from swahili to english
@ayandaanele3180
@ayandaanele3180 Месяц назад
@@nashirkamugisha9425 thank you so much
@flm1530
@flm1530 Месяц назад
Change to English commentator
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Месяц назад
Ongera team yangu Simba kwa ushindi Imani yangu mtaa kaa sawa TU💪💪💪
@Mpakauseme
@Mpakauseme Месяц назад
simba inachukiwa sana , mbongo anamchukia sana mtu aliyefanikiwa hiyo ndio asili ya mbongo roho mbaya
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
Tz asilimia 95% ni watu wanaoshangilia mpira ila hawajui mpira watu wajinga mnoo ndio maana hata wanachoamini kuhusu mpira hakifanani na sehemu yeyote duniani hufikia kipindi wakaona labda tz iko mbali sana ki mpira kumbe wapi tz ni sehemu yawatu kuja kuchuma hela za mpira wakaenda mbele ila watz wenyewe wakiendelea shangilia , wageni wanapata hela na wanawake wakitz ila angalia wachezaji wazawa zaidi watu hawataki hata wapate tuzo mbele ya wageni , utahira mwingi sana kwa hao wanaojiita washabiki
@MbagalambagalaZakiem
@MbagalambagalaZakiem Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=bn3Qaz1Py3NH6hMH
@albertlaizer8464
@albertlaizer8464 Месяц назад
Ni kweli watu hawajui football ni washamgiliaji ndo wengi kuliko mashabiki​@@FahadAbubakari
@ElickMshebi
@ElickMshebi Месяц назад
Mbona kina mo hawachukiwi😂😂 au hajafanikiwa
@RamaBakaa
@RamaBakaa Месяц назад
Tatizo wanabebwa sana ndiyo maana wanachukiwa
@TrezaPanga
@TrezaPanga Месяц назад
Yaani simbaaa nakufa nae mbele kwa mbelee sijali chochote ❤❤❤
@Makondtz
@Makondtz Месяц назад
Twende kazi ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤
@user-bq2jm9iv4f
@user-bq2jm9iv4f Месяц назад
naipenda sanaa timu yangu simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤
@dullahstudio6168
@dullahstudio6168 Месяц назад
Wakwanza nipen likes zenu dullah Studio hapa misigiri
@user-lh3yy2en3t
@user-lh3yy2en3t Месяц назад
Simba wabovu sana wamefanana na WA kule kwetu kijijini
@HadijaMussa-cf4em
@HadijaMussa-cf4em 25 дней назад
Dah huyu kipa♥️
@allymaimuna8688
@allymaimuna8688 29 дней назад
Naipenda simbaaaa
@JohnMtatiro-kx4jw
@JohnMtatiro-kx4jw Месяц назад
Simba nguvu moja
@pascalmwaigombe-xc4nt
@pascalmwaigombe-xc4nt Месяц назад
Mpira mbovuuu kinoma
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 Месяц назад
Da huyu kipa balaaa🎉🎉🎉🎉
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=86qjocgeluWrj7DN
@SixtusShirima
@SixtusShirima Месяц назад
Me ni simba ila tuko chini ya kiwango kumfunga yanga bado sanaaa mzee mutale leo kacheza chini ya kiwango niliyemuona leo ni kipa pekee na costal leo angeshinda sema ni bahat tuu
@marckmark2738
@marckmark2738 29 дней назад
Atujasajili kwa ajiri ya kumfunga Yanga bali tumesajili kwa ajili ya ushindani na ikiwezekana kuchukua ubingwa wa Ligi
@SixtusShirima
@SixtusShirima 29 дней назад
@@marckmark2738 ni sawa lakn kiu yetu cc tumuoshee yanga bna
@jamaliselemani850
@jamaliselemani850 Месяц назад
To me ngoma haikuwa red card maana mpinzani alimfata na kuingia ndani ya miguu ya ngoma na kudondoka ko haikuwa red card kayoko anatakiwa kuimprove taalum yake ama ueledi wake
@NoaMolen
@NoaMolen Месяц назад
❤ Aiao simba
@jacksonwilson6552
@jacksonwilson6552 Месяц назад
Simba yetu badoo sana Dah.pain full
@vincentaddo421
@vincentaddo421 Месяц назад
The problem of Simba is their Attack prowess they will need a clinical finisher.Mukwala can’t help them to actualize their dream
@MsakyVictoria
@MsakyVictoria Месяц назад
Times yangu naipenda sana❤❤❤
@abeidkanyamifu5550
@abeidkanyamifu5550 Месяц назад
Mdogo mdogo tutafka inshaallah
@JamaliSaguti-qy4vd
@JamaliSaguti-qy4vd Месяц назад
Simba yangu stress tupu😢😢😢😢
@dagraskaragane4730
@dagraskaragane4730 Месяц назад
Wachezaji bado wamechoka
@suzanasimonqwarsan
@suzanasimonqwarsan Месяц назад
Ngoma hatufai ht kidog Mara nyingi anacheza chin ya kiwango mm na shauri timu yet imekuwa Bora tumpe mgunda
@beatricesway5782
@beatricesway5782 Месяц назад
Simba ina nini lakin😢😢😢😢😢eeh mungu turudishie timu yetu🤲🤲🙏
@athumaniramadhani4975
@athumaniramadhani4975 Месяц назад
Team za GSM zinakaba kama nini kila zikokutana na simba wachezaji 5 waliwekwa njee kusubiri game ya simba na wakapigwa 5 na Azam 😅😅😅
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Месяц назад
Hawa madogo walikamia sana lakini kimewalamba🎉🎉🎉🎉
@JosephPallangyo-fd9kq
@JosephPallangyo-fd9kq Месяц назад
Ndo ivo
@user-dp6wg8fs6x
@user-dp6wg8fs6x Месяц назад
Mbona leo wamefunga hawajafurahi walivyofungwa walifurahi tafaili ni nn wadau maan naona leo wanalaumu wakati juzi tu walifrahi huku qamepigwa yanga itawaumiza sana mashabiki wa makolo
@monicachacha455
@monicachacha455 Месяц назад
kamalaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Simba inahitaji mabadiliko wachezaji wazito ktk maamuzi hasa forward bado lab,da wapate mtu mwenye uwezo ,simba nyuma katikati wapo vizuri
@surusuru1994
@surusuru1994 Месяц назад
😢😢😢simba mnabowa tunaitaji magoli
@elinizedancer5247
@elinizedancer5247 Месяц назад
Me ndio wa kwanza kuona
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=86qjocgeluWrj7DN
@haruntongo6703
@haruntongo6703 Месяц назад
Jk
@haruntongo6703
@haruntongo6703 Месяц назад
Jamani.simba.hamjasajili..mnatumiza mashsmbiki
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Месяц назад
Naomba matola aondoke kwenye bench la ufundi hatufai hata zile goli tano 5alikuwepo simba imefungwa mara nne na yanga yeye yupo tu hana jipya makocha wote waliyo feli Simba yeye ndie alikuwa mshauri wao
@agustinoezekiel
@agustinoezekiel Месяц назад
Simba bado hamna kitu
@AdrianJeremiah-j6c
@AdrianJeremiah-j6c 28 дней назад
Simba bado saana mtapigwa saana huko shirikisho naona mtaliabisha taifa kwa muchezo wenu wa kkukimbia hovyo mumeangalia chini kama nguruwe washenzi nyie.
@amonshimba264
@amonshimba264 Месяц назад
Ukweli ni kwamba Simba ni mbovu sana kuna vitu vingi vinatakiwa wavirekebishe bado wachezaji hawajitumi na kuna makosa mengi sana ya kiulinzi Costal wangeshinda leo kama zile nafasi walizopata zingekuwa magoli.
@dagraskaragane4730
@dagraskaragane4730 Месяц назад
SIMBA naomba kikosi kilichoanza kiwe kinacheza hicho hicho mpaka dakika za 80 ndio wafanyiwe mabadiliko
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=86qjocgeluWrj7DN
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 24 дня назад
Watu sijui wanaangaliaje tu mpira mpaka wanasema Ahoua hamna kitu 😂
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 Месяц назад
Uwanja umefurika hadi pomoni,dah! Ama watz mnasemaje?
@DivNg27
@DivNg27 Месяц назад
Naomba mnisaidie mafanikio ya matola akiwa kwenye bench la ufundi la Simba..Takwim zake zipoje... lakini kumbukumbu zangu zinaniambia yeye ndiye anayetufelisha...na sijui kwann wanafukuza makocha wakuu lakini yeye wanamuacha
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 Месяц назад
Nawaona mashoga wa utopolo wamesimasha nyash kushangilia kadi nyekundu ya ngoma
@Kimoloiddi
@Kimoloiddi Месяц назад
Tumeshinda ila hatuna furaha level yetu sio ya kusajili wachezaji ambao wanachukua miezi kadhaa kujuana jinsi ya kushambulia hatulaumu ila simba yetu itupe furaha tumesota sana jamani mtaani hatuna furaha kabisa
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth Месяц назад
Mhmm kwa simba hii, mwaka huu mashabiki jiandae vilio. 😅 Mateso fc
@AbeliMacxon
@AbeliMacxon 26 дней назад
Kipa anajua mpaka ankraaa
@monicachacha455
@monicachacha455 Месяц назад
zibweeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤
@GraceMhoja-bu3ce
@GraceMhoja-bu3ce 25 дней назад
mchezaji tuliepata ni goalkipa
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Месяц назад
Kalabaka anajua nagori analiona
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli Месяц назад
simba yetu badoo
@TidysonKatema-hf4jm
@TidysonKatema-hf4jm Месяц назад
Hivi kichwani yuko sawa kweli!!!
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Месяц назад
Utoto mtupu Hususani wanapokua kwenye eneo la gori la mpinzani wanazidi upuuzi yaani kama kunamtu anawahamasisha wasishinde Kwa makusudi ujinga mtupu .....phuuu! Nakama ni kurogwa aliyeturoga kafa Aliyeturoga Simba sc kishakufa
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n Месяц назад
Simba nilichogundua saiv ttz siyo macoach wala wachezaji ila uongoz umekosa hamasa nzur kwa wachezaji juu ya kujituma na kujitolea kwa ajil ya team safr refu tunayo
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Месяц назад
Mimi simba ila vituko vya ali kamwe nimecheka sana😂😂😂😂
@issaselemani2107
@issaselemani2107 Месяц назад
Tunatukanwa sana mtaani alafu wachezaji wanacheza kitoto
@VeronicaKasanzu
@VeronicaKasanzu Месяц назад
Ubaya ubwelaaaa
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=86qjocgeluWrj7DN
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 Месяц назад
Simba kumfunga huyu dogo 1 tafasiri yake ni kwamba Simba bado anajitafuta
@EnockJoseph-b9w
@EnockJoseph-b9w Месяц назад
Jaman bd na mashindano
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw Месяц назад
Simba nguvu 1
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Месяц назад
Kila anapoingia ngoma. Timu inazolota
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
JAMMANIIII ANTI ALIYA BINTI KOMO KAFURAHIA RED CARD MWAKA HUU TUTAONA MENGI 😂😂😂😂😂😂😂😂
@TrezaPanga
@TrezaPanga Месяц назад
Hap ni mendoza wa ubaya ubwela 🎉
@user-qw5ft8xc1e
@user-qw5ft8xc1e Месяц назад
Kayoko anaharibu ladha ya mpira sana hafai kuchezesha ligi kuu kabisa watu wanapishana na kugongana waache wacheze
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu Месяц назад
Upande wa makoloboi sc ni vilio to 😂😂😂😂😂 leo mmeshinda hamna furaha mlifungwa na yanga mkafurahi 😂😂😂😂 kolo bana
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
HUYU NGOMA NAE NI SHATI TU MPIRA UMEISHA NGOJA ALE MSHAHARA WA MIKIA FC
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Месяц назад
Timu iko vizuri sana ila NGOMA na mwenzake FRED MAIKO watupishe hatuwataki waondoke hawana sipidi waondoke SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 Месяц назад
Na hyo Kibu hua anajiona mesii na Hana kitu
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Месяц назад
Kibu je hujaona kazi yake ni kijiangusha tu uwanjani
@franccoz94
@franccoz94 Месяц назад
STRESS ZITATUUA WANASIMBA
@SamweliJemusi
@SamweliJemusi Месяц назад
Bado sana 👎
@GodfreyJastini
@GodfreyJastini Месяц назад
Kipa tumepata atali sana
@DivNg27
@DivNg27 Месяц назад
Yanga ataendelea kuchukua kombe la ligi hadi eng hersi atakapoondoka...ni mtu wa mpira anajua wachezaji anajua hamasa...sasa wakina mangungu wao wanawaza kukusanya pesa za kampeni za ubunge tu.
@nassorseif7621
@nassorseif7621 Месяц назад
Mm wa mwisho
@FarajiRashid-z9h
@FarajiRashid-z9h Месяц назад
Mukwara bd sana
@MauBonde
@MauBonde Месяц назад
Sanda FC wajiandae kwenye league,na shirikisho siwaoni kufika hata robo.
@richardmshindi2702
@richardmshindi2702 Месяц назад
😅😅😅 sawa mtabiri
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS Месяц назад
Ligi mbovu hata bure ciingii ground utopwinyo keshaandaliwa ubingwa wa bongo zozo
@Diogenes_talented_generation
@Diogenes_talented_generation 28 дней назад
Tena tumekuwa wa tatu kama tulivyomaliza msimu uliopita mbona naziona dalili za kuwa wa tatu tena msimu huu ukimalizika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
TOTO BWABWA HILO 😂😂😂😂😂😂😂
@mombasa0076
@mombasa0076 29 дней назад
MWANZO MZURI NA SIMBA ITABEBA KOMBE NBC P LEAGUE
@elliyawilliam2521
@elliyawilliam2521 Месяц назад
Ali kamwe kaja kutafuta bwana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Месяц назад
Utafungwa ndugu wanasheria unao
@user-db4cq6vb9x
@user-db4cq6vb9x Месяц назад
Hamna timu kabisa
@BenjaminDanielDuday-ez6wt
@BenjaminDanielDuday-ez6wt Месяц назад
Camera ya azam ubora unapotea au ni macho yangu
@XaveryKilolo
@XaveryKilolo Месяц назад
Unatumia simu ya brand gani😂? Tatizo ni simu yako
@innocentchacha1082
@innocentchacha1082 Месяц назад
kwa mpira huu Simba mmmhh.
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 Месяц назад
Nasema hivi simba wakichukua kombe mwaka huu 2024/2025 mje mnikate masikio yangu na vidole vya mguuni, simba sijui mnanielewaa😂😂
@ArabianDivaAyesha
@ArabianDivaAyesha Месяц назад
Tupe address
@nathanmurithi01
@nathanmurithi01 Месяц назад
Kiufupi Simba Sc kitu watainua Msimu huu ni Mikono wakipiga Kona! 😂😂
@user-ms3lu6gr2i
@user-ms3lu6gr2i 29 дней назад
Simba hii Bora ile ya zamani hapa tumepigwa na kitu kizito tuache ushabiki pembeni
@mombasa0076
@mombasa0076 29 дней назад
HUJUI MPIRA WEWE.
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Месяц назад
Kanzu gaming wacha usenge huo mtamgazaji
@GressAmina
@GressAmina Месяц назад
Mamb vp
@ArabianDivaAyesha
@ArabianDivaAyesha Месяц назад
Yan kamwe yatakukuta tu kenge ww
@YonaBangili
@YonaBangili Месяц назад
Simba usajili ni janja mtupu
@BabuallyAbdul
@BabuallyAbdul Месяц назад
Waliokuwa wanajiona wamejipata leo wanasema timu itawaua😀
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy Месяц назад
Kipa asituweke roho juu juu hvyo kama ni yanga huwez kumpigia dana dana hvyo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KWANI UTOPOLO WA NINI CHA ZAIDI???
@user-dt9iz2gq3s
@user-dt9iz2gq3s Месяц назад
Ngoma 😂😂😂😂😂
@nilphangakonda8249
@nilphangakonda8249 29 дней назад
Magolikipa wa bongo wana mengi ya kujifunza kwa hawa makipa wa kigeni hivi ndivyo golikipa wa kisasa anatakiwa kuwa.
@BartonmasabhoBartonmasab-xy3vh
@BartonmasabhoBartonmasab-xy3vh Месяц назад
Simba mwaka huu tena hatuna team
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
DHAIFU SANA WEWE KWA HIYO TUNA NINI???
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Месяц назад
Bora wewe umesema ukweli ila wale watakupopoa tu awatakagi kuambiwa ukweli ukiwadanganya kuwa mnachukua kombe watakupongeza
@kakakodokodo7477
@kakakodokodo7477 Месяц назад
Labda ya kwenye family yenu simba safari hi wata wapakata kila atakae ingia himaya yake ni kulaluliwa tu
@Edwardcharleshenry-ni5wl
@Edwardcharleshenry-ni5wl Месяц назад
Andaa ya kwako
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 Месяц назад
Yan nimetaman nikujib vibaya.. ila bas tu, mdomo wang koma😅
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Месяц назад
Mlikamia derby Leo mmeumbuka
@Iamjaysimple
@Iamjaysimple Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4BduxYtZxIk.htmlsi=86qjocgeluWrj7DN
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KAUMBUKA MAMAKO FALA WEWE
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed 29 дней назад
Wachezaji ongezeni sibidi jaman, me naona ubigwa tusahau
@user-dn1wd9ru3r
@user-dn1wd9ru3r Месяц назад
Simba Amna Timu apo
@JosephPallangyo-fd9kq
@JosephPallangyo-fd9kq Месяц назад
We unashid ya akili
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KWA HIYO TUNA NINI?? FALA WEWE
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Месяц назад
Huyu hajui hata kiswahili anaweza kujua team?
@abeidkanyamifu5550
@abeidkanyamifu5550 Месяц назад
Simba nguvu moja
@TrezaPanga
@TrezaPanga Месяц назад
Hap ni mendoza wa ubaya ubwela 🎉
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 28 дней назад
Simba nguvu moja
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Месяц назад
Simba nguvu moja
Далее
MAGOLI YOTE GUINEA VS TAIFA STARS
7:58
Просмотров 79 тыс.
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 509 тыс.
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 783 тыс.
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 509 тыс.