Тёмный

SIMERA:TULIMTEKA KABLA YA SAFARI/WENZANGU WAMEKUFA/CHINI YA MELI/MEXICO,BRAZIL VITA YA RISASI.... 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Jamuna baharia wa kitanzania aliyesafiri na kuzunguka katika mataifa mbalimbali duniani, amepitia magumu ya kutisha na ya kufurahisha, Jamuna anakuwa miongoni mwa vijana wengi wa kitanzania, waliyowahi kuondoka nchini na kukimbilia mataifa ya ughaibuni , kwa ndoto za kwenda kutafuta maisha.
Kumbukumbu ya safari yake inaanzia mwanzoni mwa mwaka 1992, akiondoka na baadhi ya vijana wenzake kutoka mitaa ya Kinondoni na kuingia mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kwa kuuvuka mto Ruvuma,
Safari ya kuzamia meli katika bandari ya jiji na Maputo-Msumbiji, na mpaka kuingia katika mataifa kama Brazil, Mexico, Paraguay, Argentina, na Mengine mengi na huko ndipo aliposhuhudia mambo ya kutisha katika maisha yake......KARIBU KENYE MBANGA UPATE MKASA HUU KWA UNDANI
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mbanga #baharia #dupamdupange

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 10 дней назад
Once again mwanetu dupa Safi sana tulikumis sana
@wakishuatouches3132
@wakishuatouches3132 17 дней назад
Saf sana Dupa.. Story Unataka Hatuna kwa hatua.. wengine wanarusha tu.. TUMETOKA DAR MTEARA MSUMBIJ HAD SOUTH.. Matukio ya kusafil hapa kat wanaruka.. Binafs napenda Story pindi Wanapofika Msumbij
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 12 дней назад
Mpaka sasa stori ya BAHARIA CHAD au Man Chad ilikuwa kiboko na bora zaidiii
@mohammedmussa6740
@mohammedmussa6740 22 дня назад
Appreciate 🖐️
@jotafungo4622
@jotafungo4622 21 день назад
Ok sawa
@BarakaJames-f1r
@BarakaJames-f1r 21 день назад
Super🇧🇦
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 22 дня назад
Tulimith thana hii kitu aitheee
@GIVEN994
@GIVEN994 12 дней назад
Muda mdogo sana aiseee dakika 17 hata kama jamani
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 21 день назад
Muuni azeeki
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft 19 дней назад
Brother vp dumba vp baharia mwega ameshaodoka au yuko tz apo tuonamba sana mrete apo hewani
@MamaJoseph-n9c
@MamaJoseph-n9c 22 дня назад
🇹🇿🎉🎉❤❤
@JfourHumbi
@JfourHumbi 21 день назад
Baharia hazeeki
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 22 дня назад
Mahfoudh alikuwa ni Mzanzibar Mtanzania aliyewahi kuwa Commando enzi hizo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 21 день назад
Ni mtu ambae historia yake ni kubwa mnoo ispokua haisemwi
@MassoudAlly-c9e
@MassoudAlly-c9e 20 дней назад
Canal Mahfoudh yes
@ASALABOY
@ASALABOY 21 день назад
Brow iyo Maik mbona kama inakutesa sana
@user-gz4fb6if7u
@user-gz4fb6if7u 22 дня назад
Dupa weka dakika 30 kaka au 45
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45