Тёмный

Simu zote za Samsung na bei zake(2022-2024) 

SimuNzuri
Подписаться 905
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 Месяц назад
Hello habari nataka ninunue sumsum Galaxy note 20 used je Iko vizuri au toleo Gani naeza ambayo ni nzuri kulingana na fedha niliyonayo laki nne
@simunzuri
@simunzuri Месяц назад
Galaxy note 20 iko vizuri, kwa bei hiyo matoleo ya galaxy a15 na redmi note 13 yanafaa
@JacobKulwa-e2e
@JacobKulwa-e2e День назад
Me Ninaulizia bei ya Samsung galaxy s10e nahtaj kujua bei me Nina Lakin 3 nanitajuaje ni original
@davidmartins4843
@davidmartins4843 2 месяца назад
Kaka naitaji samsung galax kwanzia A15 kuja chini ninunue ipi bora?
@simunzuri
@simunzuri 2 месяца назад
hAPA jibu lipo wazi ni a15
@ArinaitweFatuma
@ArinaitweFatuma 19 дней назад
Nahitaji samsung galaxy 24 bei
@IvanIssa-t4p
@IvanIssa-t4p 3 месяца назад
Samsung galaxy s10 kioo chake sh.ngp?
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
bei yake ya sasa siifahamu ila nitakuangalazia
@nicholauselishakissikissi8311
@nicholauselishakissikissi8311 3 месяца назад
Galaxy a73 5g ina bei gani?
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
mpya inaenda mil 1.2 used chini ya laki sita
@marcombise9984
@marcombise9984 3 месяца назад
Hizo SIM.mikoa gan bei yake nihiyo maana nahitaji Samsung s 450000 je nitapata wali Kwa mikoa ya Kanda ya ziwa
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
Samsung toleo gani
@marando-m9d
@marando-m9d 9 дней назад
Samsung original taijuwaje
@simunzuri
@simunzuri 8 дней назад
toleo lipi, ni rahisi pia kuitambua
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj 4 месяца назад
Samsang ao5s siris sh ngap?
@simunzuri
@simunzuri 4 месяца назад
Bei ya Samsung Galaxy A05s kwa sasa ni shilingi laki nne ikiwa ni ya GB 128
@magesakeyasamba
@magesakeyasamba 14 дней назад
samsang 10 pei gan
@simunzuri
@simunzuri 10 дней назад
sasa hivi inaenda 480,000
@mamakebrighton1337
@mamakebrighton1337 2 месяца назад
Samsung note 10 bei gani plz naomba na no zako
@simunzuri
@simunzuri 2 месяца назад
Inayopatikana sana kwa sasa ni samsung galaxy note 10 plus gb 256, ambayo inaenda 850k
@SalmaJuma-f4m
@SalmaJuma-f4m 22 дня назад
Samsung galaxy a32 bei gn
@sikulumbwetv5200
@sikulumbwetv5200 3 месяца назад
Kioo cha Samsung note 20.bei gani
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
Vioo vyake bei siifahamu kwa sasa ila nitakuulizia
@MasoudNabeel-bk6en
@MasoudNabeel-bk6en 4 месяца назад
Naitaji simu ya mkopo
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
toleo lipi
@SAMWELiShadrack-y4c
@SAMWELiShadrack-y4c Месяц назад
Smdang glx 14 gb 120
@HerbertDaniel-qd5hh
@HerbertDaniel-qd5hh Месяц назад
SAMSUNG S10 BEI GAN MKUU
@SAMWELiShadrack-y4c
@SAMWELiShadrack-y4c Месяц назад
45oooo
@WastaraWastarabosslady
@WastaraWastarabosslady 3 месяца назад
Samsung s20 bei gani
@simunzuri
@simunzuri 3 месяца назад
S20 Ultra ni shilingi 800,000 used
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 2 месяца назад
​@@simunzuri mnapo sema used mnamaanisha ya imetumiwa na mtu au
@simunzuri
@simunzuri 2 месяца назад
@@Fantastic.-gm1eo ndio kiongozi
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 2 месяца назад
@@simunzuri inauzwaje?
@mykiss8148
@mykiss8148 25 дней назад
Mimi Nina Samsung s22 5g nimenunua used Ila inapata joto Sana shida Hua nn?
Далее
КАКОЙ SAMSUNG КУПИТЬ В 2024 ГОДУ
14:59
Просмотров 470 тыс.
СОБАКА И ТРИ ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:24
This is how Halo felt as a kid 🤣 (phelan.davies)
00:14
Hizi hapa Simu 5 bora zenye bei chini ya Laki 3!
4:56
Galaxy S21 in 2024... Is it Worth it?
11:09
Просмотров 116 тыс.
Samsung Galaxy A12 vs A13 vs A14 vs A15
9:45
Просмотров 117 тыс.