Тёмный

Sinaga Swagga Session 7 - Msukuma Mjanja 

Msodoki Young Killer
Подписаться 307 тыс.
Просмотров 181 тыс.
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,6 тыс.   
@soudyruge-fi9xv
@soudyruge-fi9xv 3 месяца назад
Kwa mara ya kwanza nimecomment kwenye goma la mwaka nikiwa wa 3 hili goma ni kali Paragraph na Young K....... wakisikia hii watajichimbia sehemu walie
@MatumlaMaulana-n8l
@MatumlaMaulana-n8l 3 месяца назад
Kichaa katoka mirembe watoto wadg wot tulieni 😂😂
@shukunyoni6865
@shukunyoni6865 3 месяца назад
Yeah
@shukunyoni6865
@shukunyoni6865 3 месяца назад
Lunya kajichanganya kwa ngosha
@KajeriFaustini
@KajeriFaustini 3 месяца назад
Msodokiiii
@KajeriFaustini
@KajeriFaustini 3 месяца назад
Naona mipira inachezewa sheli
@princenebs8734
@princenebs8734 2 месяца назад
Mimi fan ya huyu jamaa tanguy dear gambe...nawaombeni likes from KENYA😊😊
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@Mr_movie255
@Mr_movie255 2 месяца назад
Ongea vizur wewe unatuaribia lungha yetu
@Mr_movie255
@Mr_movie255 2 месяца назад
Kwanza nyie c ndo mlisema mziki wetu upo kimya
@luswedukamanambali4716
@luswedukamanambali4716 Месяц назад
noma
@DuncanNdegwa-v9k
@DuncanNdegwa-v9k 2 месяца назад
Shida kanguza kubaya..Kenya mko wapi wamekuza tena mtoto wetu....nagoja OJ aseme kitu...bt chuma Kali...
@salomecomedyofficial
@salomecomedyofficial Месяц назад
Kenya tunakupenda Young killer,, kinyama aisee baba la baba mwenye unyama unyamani aisee
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 3 месяца назад
Acheni Kumfananisha Huyu Msukuma Na Rappers Wenu Wa Ajabu Ajabu!! ✊🏾
@RynoFiree
@RynoFiree 3 месяца назад
Sure
@AloyceLubarisho
@AloyceLubarisho 2 месяца назад
Mtaje tu kutomfananisha na lunya😅
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@Young-Valentin
@Young-Valentin 3 месяца назад
Mr sinaga swagga mm Leo ndo nime anza Ku kufatiya naomba like Ili moyo🫀🫀 uzame kwako miLele Amina boy from DRcongo 🇨🇩🇨🇩
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@EarningsEdge101
@EarningsEdge101 3 месяца назад
Sjawahi kuomba like, ila kwa ukali wa hii ngoma naombeni ata moja tu
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@chuserkibavu
@chuserkibavu 3 месяца назад
Alafu kuna kijamaa kibana pua kelele nyingi kina kuja kushindana hapa chizi kweli yule KING msodoki 1 tuu........SINAGA SWAGGA 7💥💥🔥🔥
@CantonaKunona
@CantonaKunona 3 месяца назад
Tulio rudia kuskilza zaid ya mara 5 tujuane😅 kunawatu wametajwa humu😂
@SethMunisi
@SethMunisi 3 месяца назад
Kutoa ni moyo,,,so Figo ni kujumlisha,,,like zake jmn
@davidnyerere2474
@davidnyerere2474 3 месяца назад
Nyimbo Zake kumi ni sawa na iyeeeee
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@kibinda
@kibinda 3 месяца назад
Naombeni hizo like mimi ndo wa kwanza kucoment hapa 👑
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@rashidmambo1412
@rashidmambo1412 Месяц назад
"Hasa shuka ya nini wakati mgeni mwenyewe masai".....kama hili punch limeeza gonna like hapa🎉🎉🎉.....#Msodoko is another level💯
@markovuruga86
@markovuruga86 3 месяца назад
Young killer stail zako za video huwa zinanikosha.... Kama wiz khalifa vile🙌🙌🙌🙌
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@RamadhaniKipimo
@RamadhaniKipimo 2 месяца назад
Oya huu ugaidii tuliukosa kitambo sana 👊 SKUDAI TENA🚶
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@SidniAlly
@SidniAlly 2 месяца назад
Huu ni ugaidi sana huu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Josamjosam8
@Josamjosam8 3 месяца назад
Yule young nasikia " kwao ana BA KWA NYUMA" HIyo imeenda kabisaa😊
@ayoublowlance4645
@ayoublowlance4645 3 месяца назад
Mhuni sana huyu mwamba hapo basata hata kwa tebo ya 2 haishi hiyo 😂😂😂
@Benjaminshushu-v3z
@Benjaminshushu-v3z 3 месяца назад
Home. Boi
@meshakimsacky4746
@meshakimsacky4746 3 месяца назад
nilikuwa naitafuta hii comment
@robertmasha173
@robertmasha173 3 месяца назад
Su - MAKU
@chichamusiq1498
@chichamusiq1498 2 месяца назад
Bila d mbili
@gangstarmsafi-vz9vs
@gangstarmsafi-vz9vs 3 месяца назад
Félicitations Artistes Young msukuma Im from Congo drc 🎉🎉 🇨🇩 On ensemble
@MAXMILLIANMAXLLA-fx6ph
@MAXMILLIANMAXLLA-fx6ph 3 месяца назад
Leo naenda nawakati kesho naenda na wapembeni........asa shuka la nini wakati mgeni mwenyewe maaasai.....kifua cha uji wa ulezi.......roma wa nini huyu kwanza unamficha kwa voko acha wadiscuss.uhisi unacho ambacho huna .......10/10 unajua mzee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
@dreamz16349
@dreamz16349 3 месяца назад
Nilidhani friend kumbe we-kundu wa msimbazi😂😂😂😂
@chibo666
@chibo666 3 месяца назад
walio sikiliza mala mbili kama mimi tujuane kwa like
@richardkirongo4835
@richardkirongo4835 3 месяца назад
mie zaidi ya mara tano
@husseinaboukombo4013
@husseinaboukombo4013 3 месяца назад
ivyo yani
@domajosep3797
@domajosep3797 3 месяца назад
Dangerous
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@pascaltesha7329
@pascaltesha7329 2 месяца назад
Bonge ngoma
@CinderBoy-dk3gt
@CinderBoy-dk3gt 3 месяца назад
Sasa msodoki ww babalao from now and on kama unamkubali mwanetu gonga lake zetu hapa mwanza mwaza 💪
@AyubuBaruti
@AyubuBaruti 2 месяца назад
👏👏👏👏
@SidniAlly
@SidniAlly 3 месяца назад
Haturudishi walioenda tuko bize na waliopo🔥🔥🔥🔥
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 3 месяца назад
Mzigo WA🔥 saaana
@SidniAlly
@SidniAlly 3 месяца назад
@@Georgevasco-ld8be 🔥🔥 hizi ndo Ngoma zinazoishi
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 3 месяца назад
@@SidniAlly hukuti ikichuja Leo wala kesho🔥
@SidniAlly
@SidniAlly 3 месяца назад
Yaaah mahn🔥🔥
@eliusjohn3242
@eliusjohn3242 3 месяца назад
Usiwe kama stranger mwili huwez jengwa Kwa kokooto 😅😅
@YohanaMsungu-talent0220
@YohanaMsungu-talent0220 2 месяца назад
Jamani naombeni na mm like zangu huyu jamaa fire 🔥
@AlbaSnepa-lr4bp
@AlbaSnepa-lr4bp 3 месяца назад
💥✌ mu uwe alafu uni atchiye ni mzike oyo dogo na izi rapu kiswahili zakongo zilizo na machango ya lingala
@ShadrackElimu-r3l
@ShadrackElimu-r3l 3 месяца назад
😂😂😂😂usinitunishie kifua kilicho jaa uji wa ulezi😂😂 young killer 🙌
@marselsirlema681
@marselsirlema681 3 месяца назад
Asiyemwelewa huyu dogo akapimwe akilo
@hancychriss721
@hancychriss721 2 месяца назад
Unabandika maji ya ugali wakija wageni unayaoga 😂🔥
@Uan_Twentiey
@Uan_Twentiey 3 месяца назад
Kama unatoka Kenya 🇰🇪 na unamkubali killer weka like
@SammyTv-zx7by
@SammyTv-zx7by 3 месяца назад
We mpumbav huon tumedisiwa 😂😂😂
@Immahjr
@Immahjr 3 месяца назад
​@@SammyTv-zx7bynae alidiss pia
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@teldoh_Lartist
@teldoh_Lartist 3 месяца назад
From drc🇨🇩 kama unamkubali youg killer msodoki weka like apa 👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@SidniAlly
@SidniAlly 3 месяца назад
Hawana vigezo vya kuwa wapinzanu🔥🔥🔥
@happylimo5766
@happylimo5766 3 месяца назад
Kuna mstari mmoja sizan kama kuna yeyote kauelewa kanasema ... Mwenyekiti si ukae, au kauka nikuvae... daah killer ni muuaji
@TaffMtumbi
@TaffMtumbi 3 месяца назад
Hapo ana mana gn
@roseshauri6399
@roseshauri6399 3 месяца назад
Kuna mxtar unaxema. No cap no mzula ki alhaj🙌🙌🙌🙌
@suleymanjusem8076
@suleymanjusem8076 3 месяца назад
.nguo n moja kila siku anavaa iyoyo..ndio maana ya kauka nikuvae so hapa mwenyekiti hawezi kukaa coz nguo alovaa bado mbichi haijakauka vizur 🙌🙌🙌
@JumaHusein-xe3uh
@JumaHusein-xe3uh 2 месяца назад
😂😂🙌🙌🙌🇹🇿
@SidniAlly
@SidniAlly 2 месяца назад
Mwenyekiti siukae😂😂 ameomba sana kiti Aya akae sasa😂 afu dogo kauka nikuvae mama mamaee
@kingabala1933
@kingabala1933 2 месяца назад
"""Mwenye kiti si ukae,, au kauka nikuvae""" Tunaanza na kauka nikuvae.. maana yake ukivaa nguo ambayo nikauka nikuvae, haijakauka vizuri inakuwa inawasha mwilini,,, na ule ubichiubichi..... Kuna Madogo wa hip-hop wanajiona ndo wenye kiti Cha hip hop.... Ndo anamwambia,,, Si ukae au ndo unawashwa.... Maana yake mtu anaewashwa anahangaika mara akae mara ajigeuzegeuze,,,, Yani anarukaruka ..... 🔥🔥🔥🔥🔥
@SidniAlly
@SidniAlly 3 месяца назад
Tushanyoa vichwa vya habar afu mipango tukasuka🔥🔥
@msangiramadhan1911
@msangiramadhan1911 2 месяца назад
Nilijua ni mwana kumbe we kundu-wamzimbazii😅😅
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@Tanakabj
@Tanakabj 3 месяца назад
Hili goma kweli halinaga swaga ila ni msumali wa moto kwa wanaolopokalopoka kama mtoto wanaokiita lunya ila sijaelewa ishu ya Loma hapo dah ila hili ni jiwe ❤❤❤❤ Kama Kuna anaepingana na hiii ngoma basi kaenda na wapembeni akati sisi tunaenda na wakati🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 3 месяца назад
Album ya Young Lunya ni sawa na ngoma moja Ya Young killer😅🎉🎉🎉🎉 Respect kwako king killer Young........
@Tanakabj
@Tanakabj 3 месяца назад
Hapa kaka nadhani ukitumia formula hii ndo UTAPATA jibu sahihi (sinaga swaga season 7÷3=albamu ya young lunya)maana naona hakuna usawa kabisa
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 3 месяца назад
​@@TanakabjTuendelee kuenjoy HipHop ni maishaa halisiii Fazaa
@JosephKimaro-u7d
@JosephKimaro-u7d Месяц назад
Huyu ni story nyinginee big up 2024
@Jukwaa-7
@Jukwaa-7 3 месяца назад
Naamm Hii nyenyewe kabisa.hii ndo Ngoma bora ya rap Kwa mwaka 2024
@Ommymidungo
@Ommymidungo 3 месяца назад
Dude la mwaka sio wale wanna jiita buumzii 😅😅😅😅 msukuma mjanjaaa 🙌🙌🙌🙌📌🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑 NIMMOJA TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@EinsteinFromEastern-vh6lo
@EinsteinFromEastern-vh6lo 3 месяца назад
Eti ana-bakwa-nyuma "ana bar kwa nyuma" punchline 🔥
@MwidadySayyid
@MwidadySayyid 3 месяца назад
kama kutoa ni moyo basi figo ni kujumlisha,,,mkali wetu a big fan from 🇰🇪❤😂
@nelsonmarwa-ni9nq
@nelsonmarwa-ni9nq 3 месяца назад
Sanaaa msodokii🔥🔥🔥
@Lad-l1z
@Lad-l1z 3 месяца назад
USAMAKI sio UNYAMA 😂😂😂😂😂 ❤❤❤❤❤ We kweli sukuma😂😂
@jomiAfrica
@jomiAfrica 3 месяца назад
Unajua sana mwanangu hii ngomaa ni album ya mbuzi kagoma kwenda😂😂😂😂
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 3 месяца назад
Naona mbuzi kajisfia mmemsema ila young killer kajisifia ila mmenyamaza
@jomiAfrica
@jomiAfrica 3 месяца назад
@@saleheabdallah5461 wenye uelewa mdogo ndo huwa wanamshabikia mbuzi sikiliza verse ya kwanza ni album mbuzi kagoma kwenda 😀😀😀😀👇👇👇ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4IIgtXoVtQg.htmlsi=MzNKfGkrMHv17B-V
@tabasamutv24
@tabasamutv24 3 месяца назад
Hahaha we jamaa umefanya nimecheka sana
@Lu_keng
@Lu_keng 3 месяца назад
Mbuzi kila ngoma anajisifia
@Lu_keng
@Lu_keng 3 месяца назад
​@@saleheabdallah5461ujue killer anaongea facts ila lunya kila ngoma jau😂
@HAJIMTOGOLE
@HAJIMTOGOLE 3 месяца назад
😭 I can't stop crying like a kid, We jamaa unajuha mpaka unakera. unajua..kuandika mamae! Namuomba ..mungu Afanye tufe siku moja.
@yassersalleh8409
@yassersalleh8409 3 месяца назад
Na waamini wasukuma ndio wa kwanza kugonga pas nakuingia Nairobi 😎
@tjay_tz
@tjay_tz 2 месяца назад
Baada ya wiki mbili mmeondoka wote😢 Nan bado yupo🙌
@TheUpdatemedia
@TheUpdatemedia 3 месяца назад
Wanaonipanda kichwani wananipa siti ya dirisha💥💥
@YnFTaroe
@YnFTaroe 2 месяца назад
kama unaamini msodoki is the rap God leteni likes. From kenya young Lunya tunamvalisha dera
@kissengababa
@kissengababa 3 месяца назад
Huyu jamaa anamjua sana kuimba❤❤
@mikeogk8480
@mikeogk8480 3 месяца назад
Rap shit wakina naniii waje waibe maujuzi na album zao mnovuuuu,,,gaddam hii ni like shwaaa😂😂
@georgekitaponda7407
@georgekitaponda7407 3 месяца назад
msukuma mjanja haturudishi walioende tuko bize na waliopo
@muniraaziz5814
@muniraaziz5814 2 месяца назад
Apo 3:03 np
@Mnyaksi134
@Mnyaksi134 3 месяца назад
Dream come true unatak kuwek heshima baa kwa buku🎉
@JustinBisimwa-yh1oh
@JustinBisimwa-yh1oh 3 месяца назад
Mkali sana uyu jamaa
@KelvinSagenge
@KelvinSagenge 3 месяца назад
Wakukaya🙌 super mwenye nyota sio waganga wa tangawizi😀
@Kalifikra
@Kalifikra 3 месяца назад
Sio kila Young ni Killer!!! Sio Michano tu hata Futaa hawakuwezi.. 🎉🎉🎉
@explorer_255
@explorer_255 2 месяца назад
Nilizani friend, kumbe we-kundu wa msimbaz 🔥🙌🙌😂
@methodyrn_arts
@methodyrn_arts 3 месяца назад
Sijawah pata like wakuu ata hii asee...sema me mchoraji nipeni subscription wakuu wekeni na Oda ✏️🫶🏾🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@SilasCharles-os2hv
@SilasCharles-os2hv 3 месяца назад
Sawa kabisa ila umekawia kuwa jibu...💣💣💣🔥🔥🔥🔥🙌🙌ingine kama hiyo msukuma mjanja
@leonardgreyson3196
@leonardgreyson3196 3 месяца назад
Ningekua na uwezo ningemueka msodoki na con boi kwenye biti ya lufa
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 3 месяца назад
Ingekaaa poa sana Man
@bello255
@bello255 3 месяца назад
😂😂😂😂😂 daaah umewaza nnacho kimiss mwanang
@LilianMasasi
@LilianMasasi 2 месяца назад
Umewaza mbali master kila siku nawawazia ivo bongo moja la hit naliona hapo
@richardjacob2134
@richardjacob2134 Месяц назад
Leonard unaujua mziki sana Kaka🔥🔥🔥
@andrewmalekela3577
@andrewmalekela3577 2 месяца назад
🔥🔥🔥 Kwenye ukweli tuongee... Dude kali... #competition muhimu lakini ✌🏻
@bendachi_the_artist
@bendachi_the_artist 3 месяца назад
Young Killer Mwanza Mwanza
@Science-concept1234
@Science-concept1234 3 месяца назад
Young lunya ni mpiga kelele tu broh bendachiiiii zeee la kuedit😂😂
@bendachi_the_artist
@bendachi_the_artist 3 месяца назад
@@Science-concept1234 Iko waziii!!!!!!!!!! Damu yang
@matugarecords
@matugarecords 3 месяца назад
Hili goma ni kali sana, naomba likes za killer na producer wake palla midundo 🔥🔥🔥🔥🔥
@JunokizzyTz-ph2ck
@JunokizzyTz-ph2ck 3 месяца назад
Huyu ndo msanii wa hiphop ,tunae mheshimu,
@CrownPrince2099
@CrownPrince2099 3 месяца назад
Hakuna kinachosalia mfukoni kwa sababu hakuna kanisa, nipeni hizo like sasa
@sundayulende9727
@sundayulende9727 2 месяца назад
Hapa akimaanisha nini?
@wiper92
@wiper92 3 месяца назад
😂😂😂 rapper wangu Bora wamda wote 😢 nakubari 🔥🔥🔥🔥✊ day yes tutasimama ote on stage
@WINNER_BITE
@WINNER_BITE 3 месяца назад
My favorite rapper 🙌🙌🙌🙌🙌
@GracewizMsodoki
@GracewizMsodoki 3 месяца назад
Classic sounds sio kila young ni killer 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤜🤛💪
@Nzota50ty
@Nzota50ty 3 месяца назад
Kumbi leo mtazamaji Kula chuma😂😂 mama maeeee
@Razy2626
@Razy2626 3 месяца назад
Always kaka we ni mkali nakukubali sana na mimi ninaimba kama wewe young killer forever sinaga swagger
@oxyMahewa
@oxyMahewa 2 месяца назад
hili pini nilikuwa sijalisikiliza khaa.. ni🔥🔥🔥 mbuzi kagoma ajipange kwakwer sio young ni killer tofaut na killer mwenyewe.
@tedychriss
@tedychriss 3 месяца назад
ngoma ni kali sasa na shangaa huwa mnaomba like zanini kwani zina wasaidia nni come on guys 🙌
@deusnyengo9324
@deusnyengo9324 3 месяца назад
Wanakeraga hao jamaa
@mkalmoyotv1274
@mkalmoyotv1274 Месяц назад
kama unaamini kauwa hili dude gonga like twend sawa mwambieni yule young mwingine asubili
@starjay3052
@starjay3052 3 месяца назад
killer mtu makini muda wote na ngoma kali imetulia 🔥🔥🫂✅✈️🇺🇸
@humtomreyson5032
@humtomreyson5032 3 месяца назад
It’s time to wake up!!! Young killer msodooookiiii shoutout Sanaa kaka 🤛🤛
@heiskann
@heiskann 3 месяца назад
Huyu ndo kendrick lamar wa 255😈🔥🔥🔥
@dadyvypa
@dadyvypa 3 месяца назад
Hamna Kendrick apo😅😅😅
@ChrispinMwaitege
@ChrispinMwaitege 3 месяца назад
Mtoto wajana huijui hip hop bola uvunge tuu😂😂​@@dadyvypa
@RajabMussa-qj2om
@RajabMussa-qj2om 3 месяца назад
Achana na anavocha chana hanaga swaga kabixa, big killer num one, leo kivumbi leo mtazamaji haya kula chuma 😮
@babagwamaka1105
@babagwamaka1105 3 месяца назад
Kumbe We Kundu wa msimbazi 😂😂😂😂
@enchihouse
@enchihouse 2 месяца назад
Na hizi sio habari za sahizi, ni habari za baadae, mwenyekiti si ukae, ama kauka nikuvae, kumbe familia, oya hae hae hae, mamamaeee mzuka upae, ngoma itambae, oga ung'aaeee🙌
@MuadhRamadhan
@MuadhRamadhan 3 месяца назад
Bongo hiphop ni mmoja tu MSODOKI
@charlesnyaluke7202
@charlesnyaluke7202 3 месяца назад
😂na DIZASTA
@IsackLameck-wc4fv
@IsackLameck-wc4fv 3 месяца назад
THe GREATER RAP of Tanzania 🇹🇿 msodoki❤❤❤❤ no swager kabisa🎉🎉🎉
@Theone12673
@Theone12673 2 месяца назад
Gonga like acha udwanzi ww ,,,Ngoma ya moto hii🔥🔥🔥
@filbetdaud4597
@filbetdaud4597 3 месяца назад
Oyaaa weeh nimesubir sana hii midondoko ya mzee killer aiseee oya ni moto tu kmk💥💥🔥
@collinsmalila
@collinsmalila 3 месяца назад
nime sikiliza mala 100 naombeni like zangu
@wilsouja2672
@wilsouja2672 3 месяца назад
Unafki utakuua..
@isharashukuru
@isharashukuru 2 месяца назад
Disi yanga izi extravaganza 💪
@hamfreymagelo1859
@hamfreymagelo1859 27 дней назад
kaka ngoma zako kali sana ss tatizo hazitembei sana ndo cjui shida nn😌
@smokietz9851
@smokietz9851 3 месяца назад
Kendrick Lamar wa bongo💪
@MohamedJuma-wn5hh
@MohamedJuma-wn5hh 3 месяца назад
Bado levels zako chini (village)khaligraph international 💪💪
@ElvisIrakoze-pj8ym
@ElvisIrakoze-pj8ym 3 месяца назад
"Kama kutoa ni moyo basi figo ni kujumuisha"🔥🔥🔥🔥🔥
@aziziabdulrahman3914
@aziziabdulrahman3914 3 месяца назад
Young killer najiskia fahar sana nikimwita young Pele maana hip hop inamjua mpaka inampa siti ya mbele. ❤❤❤❤ salute young Pele killer.
@chanbaraha1418
@chanbaraha1418 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 oya hupingwi mzeee kkkaleee sanaaaaaa
@allymwihuva7473
@allymwihuva7473 2 месяца назад
UZURI NI KWAMBA HUYU MSUKUMA HAJAWAHI KUKISS AZZ YA MDAU YOYOTE ANAAMINI KWENYE TALENT YAKE..... something many Tz cats cannot live without. binafsi im happy we still have main stream rappers who can speak their minds without hesitating about wadau fake waliojaa drama. (mamae akina Petwoman)
@C7Simulizi
@C7Simulizi 3 месяца назад
Dah! daah daah daaaadadada🎉 maua tu
@dollarz9
@dollarz9 2 месяца назад
Siwez kuacha kuskiliza Ngoma za hyuu jamaa coz yeye ni jitu sio mtuu maan uandishi daah killing 🌟🌟🌟🌟🌟
@kazinjaally5992
@kazinjaally5992 3 месяца назад
Content hatr saan mkal!killer always killing bro Gonga like kwa killer wanang🙌🤝
@GodloveKomba
@GodloveKomba 2 месяца назад
Msodokiiiiiiii 😂😂😂😂 The sun 🔥🔥🔥🔥🔥 Nilichokaliliumuuu mpak saiviii we kundu msimbaziii na maku😂😂😂
@mkandarasi1946
@mkandarasi1946 3 месяца назад
msukuma mjanja on top top
@AbuuLee-m7p
@AbuuLee-m7p 2 месяца назад
Nausiulize kuhusu Roma tulipanga tufanye ngoma 😮😮😮😮😮😮
@bashirinoah5640
@bashirinoah5640 2 месяца назад
Kitambo sana hatukuskia michano kwenye beat ya real HipHop #Bum,ku,Ba Thanks for this Msodoki You are my Idol since day one ❤💥🔥 #Goat @self.discpline.sio.kila.mtu.kapewa😎🙌
@godwinloburu8646
@godwinloburu8646 3 месяца назад
Kali sana bob
@AlviinGhost
@AlviinGhost 2 месяца назад
Ahhhhhhhhh❤❤❤ bhana killer upwe dunia yko tu
@Ufunuo97
@Ufunuo97 3 месяца назад
Umekunya sanaa humu😊😊😊😊
@MamentPaschal
@MamentPaschal 3 месяца назад
Kawanyea kinoma yan
@Dkg_environmental_001
@Dkg_environmental_001 3 месяца назад
Mamaeee hapa kama vita tyu✌️✌️💯
Далее
YOUNG KILLER MIX 2023.
1:04:40
Просмотров 10 тыс.
Msukuma Mjanja -  Msodoki Young Killer
4:09
Просмотров 146 тыс.
TUKO WITU 6 October 2024
3:33
Просмотров 52
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Просмотров 115 тыс.
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Просмотров 410 тыс.
Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)
3:58
Просмотров 1,6 млн
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)
3:18
Просмотров 1,5 млн
Баста, MIRAVI - Туман
3:50
Просмотров 130 тыс.
ЭGO -  Хочу любить | 2024
2:59
Просмотров 87 тыс.
Светлая полоса
3:52
Просмотров 157 тыс.
Слава КПСС - IntroFreestyle2024
3:10
Просмотров 173 тыс.