Тёмный

Single FATHER is lost after his Only GIRL started to CHANGE//BabaOlivia Ep 07 

Henry Mwakajumba
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 315 тыс.
50% 1

#BabaOlivia ama #gabozigamba ana anza safari ya kihisia ya baba mpendwa anayejikuta akichanganyikiwa na kupotea wakati binti yake pekee anapokomaa na kubadirika. Shuhudia wakati halisi na wa kweli anapojitahidi kuelewa mabadiliko katika uhusiano wao na kujifunza jinsi ya kukabiliana na sura hii mpya katika maisha yao.
Kutoka kwa siku za utotoni zisizo na hekaheka,ugumu na pirika za ujana, Mpaka kwenye maisha mapya yenye mtazamo na hisia mpya, Episode hii ina angazia uzuri wa upendo usio na masharti wa baba pamoja changamoto za kulea mtoto wa kike. Jiunge nasi kwa hadithi ya kugusa na inayoweza kueleweka kwa kila mzazi na mtoto.
Tazama jinsi baba anavyotafuta ushauri, kufanya makosa, na hatimaye kukua pamoja na binti yake, akigundua kwamba uhusiano wao unazidi kuwa na nguvu kupitia kuelewa na kukubali. Usikose mfululizo huu wa hisia ambao utakufanya uone thamani zaidi ya safari ya uzazi.
......................................................................................................
In this heartfelt episode of Baba Olivia Series, we dive into the emotional journey of a loving father who finds himself confused and lost as his only daughter blossoms into maturity. Witness the raw and honest moments as he grapples with the changes in their relationship and learns to navigate this new chapter in both their lives.
From the innocent days of childhood to the complexities of adolescence, this episode beautifully captures the essence of a father's unconditional love and the challenges of letting go. Join us for a touching and relatable story that resonates with every parent and child.
Watch as the father seeks advice, makes mistakes, and ultimately grows alongside his daughter, discovering that the bond they share only strengthens through understanding and acceptance. Don't miss this emotional rollercoaster that will leave you with a deeper appreciation for the journey of parenthood.
Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
/ henrymwakajumba
#BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 954   
@PatrickMua
@PatrickMua 3 месяца назад
Ila mwalimu ni mrmbo sana nipeni likes kumi jameni kwa kumsifia mwalimu
@bongetimwa4948
@bongetimwa4948 3 месяца назад
Wacha like hata mahari tunaku support
@UmiMarya
@UmiMarya 3 месяца назад
@@bongetimwa4948 😂😂😂
@MwanashaSuleiman
@MwanashaSuleiman 3 месяца назад
​@@bongetimwa4948😂😂😂😂😂
@johnkamira2236
@johnkamira2236 2 месяца назад
Yes she’s pretty beautiful
@KineBoe-f9f
@KineBoe-f9f 2 месяца назад
Upati k2
@UmiMarya
@UmiMarya 3 месяца назад
Kazi mzuri sn wanaotaka maalimu na baba Olivia wawe pamoja wagonge like nyingi apa
@OmariAbedi
@OmariAbedi 3 месяца назад
Kwa ambao wanatamani kumjuwa mama olivia gonga likes nyingi ❤❤❤
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 3 месяца назад
nataka nimjue
@Bonykarupat
@Bonykarupat 3 месяца назад
Mmi hapa nakuwatch nikiwa mombasa Kenya 🇰🇪
@JohnTitho
@JohnTitho 2 месяца назад
Mwalim mwalim mwalim becaful...
@raymondzachariah-xr4ys
@raymondzachariah-xr4ys 3 месяца назад
Jaman wanaotamani Baba Olivia Amuoe mwalimu wa Olivia weka makipa mengimengi hapa
@fyzyx_28
@fyzyx_28 3 месяца назад
@reginamichael-eh8yy
@reginamichael-eh8yy 3 месяца назад
♥️
@ContentOmbreSky-ir6kl
@ContentOmbreSky-ir6kl 2 месяца назад
tupo nyuma yako baba la baba 🤩🤩
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 2 месяца назад
Mi ntamueka diara kipa wa yanga hao makipa wengine tutajua mbeleni😅😅
@lwitcofredy4013
@lwitcofredy4013 2 месяца назад
​@@Xuxu-f7jmanula
@zuberally9351
@zuberally9351 3 месяца назад
Tunao mkubali Olivia gonga like
@StibaMaiko
@StibaMaiko 3 месяца назад
By Mr love hii tamthilia jaman ina maudhui mazuri wanaokubali gonga like
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Njooni huku olivia amekuwa vigelegele 🎉🎉🎉🎉
@bintrashid5108
@bintrashid5108 3 месяца назад
😂😂😂tushapata mwali
@tukusumanicodemus
@tukusumanicodemus 3 месяца назад
Mnataka kumfanya nin mtoto 😂
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
@@tukusumanicodemus 🤣🤣🤣
@OdethaMudugu
@OdethaMudugu 3 месяца назад
Airererereeeeee
@allykamanga4366
@allykamanga4366 3 месяца назад
😂😂😂
@AsherSaydd-bo7zi
@AsherSaydd-bo7zi 3 месяца назад
Yani gabo umu ka act km baba yangu❤❤❤ Allah mlinde baba yangu❤
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 3 месяца назад
Amin 🤲
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Amina ❤️❤️❤️🙏🏾
@UmiMarya
@UmiMarya 3 месяца назад
Ammin na sote
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 3 месяца назад
Amin
@raxdeeofficial
@raxdeeofficial 2 месяца назад
amin
@upendommbaga7070
@upendommbaga7070 3 месяца назад
Igiza ya huyu mtoto kama lulu Michael wa zamani
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 3 месяца назад
Tuzo ya Olivia.........🎉🎉🎉🏆🏆🏅🏅
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 3 месяца назад
Yaani toka nizaliwe ndo napata Kuona Movie kali yenye maadil mazuri na mafunzo yenye kutafakarika kama hii❤❤❤Allah awawekeeni na awape nguvu na maarifa zaidi ili muendelee kutupa vitu adhwim ❤❤nawapendeni kwa ajili ya Allah
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Asante sana na Amina 🙏🏾❤️
@ashiakibwanaashia4934
@ashiakibwanaashia4934 3 месяца назад
Amiin
@Allankibweja
@Allankibweja 3 месяца назад
Kwa ambao wanatamani itoke yoteee kwa pamojaaa naomba tujuane kwa like tafadhali🥹
@estherpaul3864
@estherpaul3864 3 месяца назад
Hata tukijuani haiwezekani😢
@rilianwillium
@rilianwillium 3 месяца назад
Io mara kwa wiki wanatukatili sana jmn at least iwe siku 3 tusipate tabu kuunganisha matukio 😂
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 3 месяца назад
hahahahahahahahaha ...kwelii itoke full
@mlimatvchannel4896
@mlimatvchannel4896 3 месяца назад
mambo mengi wasitupe headache 😏😏
@ClausSawala-dn9bd
@ClausSawala-dn9bd Месяц назад
Kwanini unaniita Mwalimu "Kwan nmewahi kukufundisha" what a statement 🌹🌹🫂🫂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
🥰🥰
@ZakiaLilai
@ZakiaLilai 3 месяца назад
Mwalimu wa Olivia namtazama kwa jicho tofauti kabisa. Huyu mama ni mzuri sana
@marwajoseph1493
@marwajoseph1493 2 месяца назад
Aseeee mm sina cha kusema zaidi ni moja ya bonge la tamthilia asee mmetisha ina maudhui fulank hivi
@HassanSafari-uy9ih
@HassanSafari-uy9ih 2 месяца назад
IYI SINEMA NI ZAIDI YA EDUCATION YA MZAZI KWA MWANAYE GABO NOW YOU ARE THE BEST IN EAST AFRICA WHEN A SEE YOU I REMEMBER MY FAVORITE ACTOR KANUMBA 😓
@justinog3105
@justinog3105 3 месяца назад
Mi nimeona maoni yetu mnaenda kuyafanyia kazi because very soon tutaona Gabo na mwarimu wakiishi pamoja ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AbuuUnais
@AbuuUnais 3 месяца назад
Usifungue cord brow acha WATU wapate utam taratiibu
@ContentOmbreSky-ir6kl
@ContentOmbreSky-ir6kl 2 месяца назад
Jamani mwenzenu nano gewa na Baba Olivia kwaswala lakumuelimisha mwanae 😀🥰🥰🥰
@BenbossMunezero
@BenbossMunezero 3 месяца назад
Baba Olivia tunamupongeza sana sisi tuko Burundi Rugombo tunamufatiliya sana❤✌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Asante sana!
@officialdon1922
@officialdon1922 3 месяца назад
Actually nilikuwa sifatilii movie zakibongo Ila iyi kuna siku nilijichanganya kuichek daah yani kila ikitoka nawai kuichek movie inaakili sijuwi it Aisha je Iła big up kwa yeyot alie shiriki natumain amto tudisappointe
@037corgj7
@037corgj7 3 месяца назад
Nilijua niko mwenyewe
@goodluckmoshi5544
@goodluckmoshi5544 2 месяца назад
Daah me ndonimekamatwa leo😂😂 yaan ep mpk ep
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma 3 месяца назад
Hii movie napenda sana ila mnachelewa sana🎉🎉
@Habibuyahya
@Habibuyahya 2 месяца назад
Wengine ndo twaiona leo aty😊
@jasphonejoseph2107
@jasphonejoseph2107 3 месяца назад
Olivia is a wonderkid congratulations to her,Gabo zigamba,kama kunakitu unatakiwa ukifahamu wewe ni mmoja ya waigizaji Bora kuwai kutokea katika uso huu wa Dunia mwenyezi mungu asimame na wewe siku zote za maisha yako... Legend Gabo Zigamba
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 3 месяца назад
You nailed it.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️
@sbaam5890
@sbaam5890 3 месяца назад
Olivia kwa umri wake na uhusika aliouvaa 🙌🙌🙌 kipaji kikubwa Sanaa kutoka kwake...... TUKITUNZE KIPAJI HIKI NA AENDELEE KUPATA NAFAS ZAID NA ZAID
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Amina!
@bettykihwele7713
@bettykihwele7713 3 месяца назад
Namtazama baba Olivia, natafakari na wababa wengine kwneye Jamie, mbona kama kuna upungufu wa upendo kwa watoto 😢😢
@JONATHANCHANDA-dh4ir
@JONATHANCHANDA-dh4ir 3 месяца назад
Si wote
@DalmondLaurent
@DalmondLaurent 3 месяца назад
Ila mwalimu ni mrembo kweli anajua kurimbua pokea maua yako mwalimu ❤❤❤
@brodeoofficiel
@brodeoofficiel 3 месяца назад
My peaple from Rwanda Burundi naomba like zenu kama tupo apa pamoja kwa Baba olivia ❤❤🇧🇮🇧🇮🇷🇼🇷🇼❤❤
@Erastusbaba
@Erastusbaba 3 месяца назад
Episode Moja kwa Wiki ni Ukatili, Acheni kutukatili Jamani.... Ikiwezekana Mwe mnaweka Kila siku!
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 месяца назад
Ukatili sana
@Izzoh2021
@Izzoh2021 Месяц назад
Michezo mibaya hutakiwi kucheza baba olivia kastaki hohohoh mambo ya madang dang
@fatumafadhili4701
@fatumafadhili4701 3 месяца назад
Gabo is such a good father, every woman dream to get this kinda man jaman😢
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 3 месяца назад
Leo nimesaau kuomba like
@elizabethyohana9808
@elizabethyohana9808 3 месяца назад
Tanzania naombeni likes zenu❤
@DevotaKazingoma
@DevotaKazingoma 2 месяца назад
Movie nzurii sana inamafunzo balaa
@HOMEPRINTING-k4w
@HOMEPRINTING-k4w 3 месяца назад
For sure Olivia anajua saana kucheza na kamera maana anakuwa kama vile hamna kamera mbele yake very reallife
@Ramlat-lv7uf
@Ramlat-lv7uf Месяц назад
Ndio,,yupo talented sana❤
@NextLevel-fg5ph
@NextLevel-fg5ph 2 месяца назад
Uyu mtoto Olivia anajua hadi Ana kera mpaka gabo haoni ndani dogo yupo vizuri saaaanaa
@Mobilegames807
@Mobilegames807 3 месяца назад
The past 4 years nilkua naangalia movie na TV shows kutoka mbele ila Iii movie imefanya nirudi nyumbani 💯
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Asantee!
@SalmaRandu
@SalmaRandu 2 месяца назад
Aaa jamani nawapongeza sana baba Olivia na mwalimu i am watching from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@queensiku
@queensiku 3 месяца назад
Jamani this bond between Olivia na baba ake mpaka raha ❤kama wazungu ivi
@modestking8764
@modestking8764 3 месяца назад
hapo ndo utajua ualimu ni kipaj mwamba kaandaaa na somo na michoro juu namna sasa kueleza 😂😂 kubal tu umletee Olivia mama Kwanza Janet kachoka kuitwa mwalimu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
😂😂😂😂
@josephelemash
@josephelemash 3 месяца назад
Ila atakama inashele mnafudisha vizurii. Kabisa. 🎉🎉🎉 Alf kingine Baba Olivia jiogezee kWa Mwalimu.
@fatumahossein754
@fatumahossein754 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@ancykimario4824
@ancykimario4824 3 месяца назад
Una macho wew 😂😂😂
@josephelemash
@josephelemash 3 месяца назад
@@ancykimario4824 kwafile naona Mwalimu anamuitaji Babake Olivia.
@VILLAMEDIA254
@VILLAMEDIA254 3 месяца назад
Ameshaanza , hatua kwa hatua🤣🤣🤣
@josephelemash
@josephelemash 3 месяца назад
@@VILLAMEDIA254 Yah. Atie bidii. Maana Mwalimu. Achampenda.
@IreneMsacky
@IreneMsacky 3 месяца назад
James anaongea vizuri nyie,, wanaomkubali tumpe likes🎉✨🎉❤️❤️
@lwitcofredy4013
@lwitcofredy4013 2 месяца назад
Mpembaa😂
@Ramlat-lv7uf
@Ramlat-lv7uf Месяц назад
Namkubal
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 месяца назад
🧭🤳 Nimewahi leo kutoka Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 PEMBA CariaCo ❤️❤️🧿 lazima tuwe na haki sawa kwa sis sote
@Neema-m6s
@Neema-m6s 3 месяца назад
Maua yako 🎉
@mrlegend7641
@mrlegend7641 3 месяца назад
Me too I'm from Mozambique Cabo Delgado, Nangade.
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Kumbe Msumbiji kuna pemba pia 😅😅
@OmarAssira
@OmarAssira 3 месяца назад
Ndio msumbiji tunao Pemba pia😂😂😂❤❤❤​@@ukhtymwana40
@OmarAssira
@OmarAssira 3 месяца назад
Não á estresse
@JanethSanga-lv8pv
@JanethSanga-lv8pv 3 месяца назад
Kiukweli iih tamthilia Olivia ndo kanifanya niifatile nimekapenda bure❤❤
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Taem Strong mkowapi sijaona comment zenu 😢
@ZuwenaAbdulla
@ZuwenaAbdulla 3 месяца назад
Muarab kaban pembe zot
@NdindaNdinda-lm3td
@NdindaNdinda-lm3td 3 месяца назад
T
@MERCY254-l3b
@MERCY254-l3b 3 месяца назад
Nakwambia hatuwezi kosa
@NaimahKhalifasalim
@NaimahKhalifasalim 3 месяца назад
Tupo
@ZuwenaAbdulla
@ZuwenaAbdulla 3 месяца назад
@@NaimahKhalifasalim hupo shoga
@LameckMwansa-bb7fj
@LameckMwansa-bb7fj 3 месяца назад
Bonge la movie 🎬 yani 😢du gabo zigamba unajua kaka 👏👏
@Millicent-u6q
@Millicent-u6q 3 месяца назад
Kuna wale wenye tulifika hiyo hali na hatukukua na mtu wakutuelekeza . Ilibidi tutumie elimu ya darasani kujikimu
@emmanuelkato2375
@emmanuelkato2375 2 месяца назад
hongerni sana hakika mliyashinda yote.....
@redemptervictor5006
@redemptervictor5006 2 месяца назад
Mara nivae pedi bila kutoa karatasi yake ya juu😂😂😂no Mara waaaah! Ushachafuka😢😢😢
@SophiaWaise
@SophiaWaise 2 месяца назад
Daaaa ilikua ni kitu kigum kweli​@@redemptervictor5006
@hamisruheya9081
@hamisruheya9081 3 месяца назад
Natamani ningepata kubwa na Baba rafiki kama baba Olivia, the way anavyo mtreat mtoto, malezi na maadili mema daaah nimeipenda sana hii series I wish nije kuwa baba mzuri kwa watoto wangu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
bilashaka utakuja kua baba bora kwa wanao kama umeipenda Baba Olivia! ❤️
@tariqkhassim4059
@tariqkhassim4059 3 месяца назад
THIS MOVIE🙌🙌🙌NETFLIX NEED KIND OF THIS
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Asantee!!
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 Месяц назад
Yan huyu mwalim kafanana na purv wa kwenye mke kijakaz tamthilia ya kihindi naipenda sana
@LugyPlan
@LugyPlan 3 месяца назад
Amina baba wangekua wote kama wakina baba Olivia tungekua na kizazi Cha aina yake
@emmanuelbaby3785
@emmanuelbaby3785 2 месяца назад
Baba Olivia na Olivia na mwarimu nawapenda sana asante kwakuturetea hii firm nawaomba ienderee mpaka ep nambu 200
@evasstafford2033
@evasstafford2033 3 месяца назад
Naisubiri episode 8 kwa hamu kubwa aisee. It gives a lesson kwakweli nice job. Muhimu tuu mama Olivia ajulikane kama hayupo basi madame Janeth awe wife kabisa aisee
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Ijumaa hii mapemaa!
@Voxmediatz
@Voxmediatz 3 месяца назад
Set Designer apewe Maua yake 🔥🔥🔥
@Gwest2012
@Gwest2012 2 месяца назад
Hakuna kitu kigumu kwenye hii Africa kama elimu ya afya ya uzazi toka kwa mzazinkwenda kwa mtoto hasa baba kwa binti yake..hii tamthilia nzuri sana
@AmeRashid
@AmeRashid 3 месяца назад
Dah walah mnatisha good story inasisimua na inavutia sana❤
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 месяца назад
Hivi huyu mwalimu ni msomali au maana si kwa urembo huu jamani❤🎉🎉❤❤❤
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 3 месяца назад
Mapenzi ya uyu jamaa ni makali kweli tunatakiwa tuwe ivi wanaume
@AloniMdenye
@AloniMdenye 2 месяца назад
Unajua mwalimu n mrembo sana au nyie mnaonaje😂
@JonathanRichard-sh9zk
@JonathanRichard-sh9zk 3 месяца назад
Mwamba unajua ndoo maana mm bongo hii napeda kuangalia movie 🎥 zako kaka tuzo zote zako mwamba
@AishFadh
@AishFadh 3 месяца назад
Movie nzr mpk raha jmn ❤❤❤ hizi ndio zinafaa ziwekwe kwenye Azam na Dstv
@abelremmy9223
@abelremmy9223 3 месяца назад
Mimi ninaamini hii kazi wakiitangaza zaidi itapata watazamaji dabali ya dabali kazi nzuri kwa waandaaji
@KhairathLwoga
@KhairathLwoga 3 месяца назад
Baba Olivia muoe madam Madam mwenywe anakuelewa ila anaona Soo kukuanza 😂
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
Wa 5 ❤ team strong piteni hapa tutiane moyo
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 3 месяца назад
Kweli kutiana moyo kwa maisha ya hivi viumbe 😂😂😂
@ndayisabaparfaitburundi8209
@ndayisabaparfaitburundi8209 3 месяца назад
Baba olivia you so interesting for me really ilove you so so so much well and good the way you acting seriously i wish one to become a film actor like you God bless u Gabo long life livng❤️❤️🇧🇮
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
❤️❤️❤️
@UNKNOWN-np7qp
@UNKNOWN-np7qp 3 месяца назад
Ila olivia anaonekana muongeaji even kwenye real life
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 3 месяца назад
Umeonaaa eeh😅😅
@givenessemmanuel3463
@givenessemmanuel3463 3 месяца назад
When will baba Olivia and teacher fall in love 😂I can’t wait
@joseymhina5025
@joseymhina5025 3 месяца назад
mko vizuriii jamaniiiii safiiiii, ila katibu ana jeuriii😀😀😀😀😀😀😀😀
@MartinKhizzer-bi4gw
@MartinKhizzer-bi4gw 3 месяца назад
Katibu nimemkubali kawa chamba kijiji kizima ..😂😂 mzee naye hakumuacha kijiji si cha baba ako😁
@Ramlat-lv7uf
@Ramlat-lv7uf Месяц назад
😂😂😂😂 kanichekesha sana
@GODLOVEMATERU
@GODLOVEMATERU 3 месяца назад
Hongera Sana baba Olivia uko vizuri filam hizi ndio zinatakiwa Sana kwenye jamii
@g.m166
@g.m166 3 месяца назад
Best series forever. anae bisha na abishe
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Thank Youu!
@OfficialDanny-p7w
@OfficialDanny-p7w 3 месяца назад
😅😅😅😅😅 duuh gabo bwana. Eti mamb ya madang,i dang,I..........😅😅😅
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 3 месяца назад
Baba Olivia hata mm namwambia mwalimu Janet ni mzuri piga ndoa ya mkeka😂😂😂
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 3 месяца назад
Mwalim na Baba Olivia wot wameingia katika penz Bado kufunguka tu
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 3 месяца назад
Kazi nzur sana hiii mpaka naona raha ya bongo movies 🎉🎉🎉🎉
@MWENDA2020
@MWENDA2020 3 месяца назад
Athar, Janeth and Olivia you are so amazing dear actors, this series is so nice full of moral, you can watch together as family, what i want to tell you our dearest friends just release even two episodes per week 🥰🥰. all in all mr.GABO since Bado natafuta up to day you are to Hot🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 may god blessings be up on you. SUGESTION FOR THE TITLE OFTHE SERIES MAY BE "A PEFECT SINGLE FATHER"🔥
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Asante sana, Shukran kwa kufuatilia!🙏🏾
@GiftAbduly
@GiftAbduly 3 месяца назад
Nzur sna jmn nipenda Olivia na baba ake 😅😅❤ hongereni waigizaj na waandaj kaz nzur sna ila mwalim si uwe tu mama Olivia 😅🎉
@aminamohammed-rq7ew
@aminamohammed-rq7ew 3 месяца назад
Ather na janeth wanapendana jmn waoane tu naam wanaendana 😊❤
@michaelprofessional7574
@michaelprofessional7574 Месяц назад
hii imeenda ,siangaliagi za kibongo ila hii mwalimu,olivia na baba olivia ndio wamenivuta , iko poa
@revocatuskahabi7395
@revocatuskahabi7395 3 месяца назад
jaman si itoke yote aseee maana sio kwa Utamu wa story hii alooo🎉
@abdallahchande-fe2ow
@abdallahchande-fe2ow 2 месяца назад
Bonge Moja la tamthilia sijutii kabisa kutumia mb zang kuchek hii tamthilia. Baba olivia🔥🔥🔥🙌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asante sana🙏🏾🙏🏾
@saimelody5844
@saimelody5844 2 месяца назад
Salum ahmed best actor nakukubal sana bro
@abdulhakimsaleh6899
@abdulhakimsaleh6899 2 месяца назад
I real like this man his is the best , husasa when he play role of family
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 месяца назад
Arthur amuoe madamu wa Olivia please
@MaryamHAMISI-ei9fq
@MaryamHAMISI-ei9fq Месяц назад
❤🎉🎉 kwakweli yaani kipande cha Leo kimenitoa machozi
@abbydanny8721
@abbydanny8721 3 месяца назад
Haf baba Olivia wanapendan na mwalim janet
@ElishahMwaisaka
@ElishahMwaisaka 3 месяца назад
Daah mechekewa sana leo ila olivia give up 🎉🎉 then plz make it. Two days per week plz mr@henry. Help us in this situation 😢😢 and then add time if two weeks fails add at least to 40 mints or even 50 mints plz plz
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@dalkenmalonje100
@dalkenmalonje100 3 месяца назад
Poxaaaaa filamu hi nimeipenda sana. Boy from moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Mueda
@thetrends472
@thetrends472 3 месяца назад
Katibu kayatimbaa😂😂 nimependa reaction ya wanakijiji na hapo kuna cha kujifunza, kongole kwenu team nzima❤❤❤
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 3 месяца назад
Amekua zakayoo😂😂😂😂😂
@iddibaruani5615
@iddibaruani5615 3 месяца назад
baba olivia unazingua kwani huwezi kushusha voko. kondoo kashaelewa bado kuchinjwa tu
@kamarhelo
@kamarhelo 3 месяца назад
Watu mna maneno 😂😂😂😂😂
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 3 месяца назад
Namcheka katibu😅😅😂 mbn Kawa mpole ghafla 😂
@Ramlat-lv7uf
@Ramlat-lv7uf Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@Paschlmarco
@Paschlmarco 3 месяца назад
kamoment furn hiv.. Ety,,Kwanini unaniita mwalimu, kwani nishawahi kukufundisha ww🤗😁
@claudepascal2290
@claudepascal2290 3 месяца назад
😂😂😂😂
@MartinKhizzer-bi4gw
@MartinKhizzer-bi4gw 3 месяца назад
Umenichekeshaaaaa😁😁
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
😂😂😂
@emmanuelkato2375
@emmanuelkato2375 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@rechokizumbe7314
@rechokizumbe7314 3 месяца назад
Baba Olivia ni baba mzuri sana kama Baba flani wangu hakika ni baba mzuri kwa mwanae
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 месяца назад
Baba na mtt leo nimecheka km mjinga😂😂😂.nani anaamini anaeandika barua ni J ?.Baba Olivia muoe mwalimu mwanao atapata furaha sana
@anisiatabu2768
@anisiatabu2768 3 месяца назад
Hahahaha ata mm nimeshituka nahis n j nd anaandika zile barua
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 3 месяца назад
James linampenda olivia😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 месяца назад
@@DinahNish-bm9sr umeona alafu anasema katumwa
@ancykimario4824
@ancykimario4824 3 месяца назад
😂😂
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 3 месяца назад
@@DinahNish-bm9sr 😂😂😂eti linampenda 🙌🙌
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 3 месяца назад
Siwemaa nimekupendaa❤❤ huyo kiongozii hana adabu😂😂😂 eti kofia kma kibuyuu huyo bibi amefutwa kazi kama rutoo hatumtakii😂😂😂😂
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 2 месяца назад
😂😂😂😂😂jamani
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 3 месяца назад
Ebane mungu awazidishie neema na baraka tele katika kazi yenu Iyi tamthilia nzuri
@monysanga7516
@monysanga7516 3 месяца назад
Haya baba Olivia kazi iendelee ❤❤❤❤❤❤❤❤
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
Hii hali ya Olivia inanikumbusha mm nilipatwa nipo kwenye daladala halafu nilivaa skirt nyeupe Subhana Allah 😢 ilikua kizaa zaa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 месяца назад
Pole tuambia ulifanya nini kujisitiri?
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 3 месяца назад
@@henrymwakajumba em nenda uko😏 kalete muendelezo kwnz ndo uje na maswali yako
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
@@henrymwakajumba kwa muda huo nilikua sijui sababu mara ya kwanza kidogo tuu ilitoka na kuacha doa niliposhuka kuelekea kwa dada yangu mdogo nilikua naenda kuchukua vifaa vya shule kwa ajili ya kujiunga na form one nilipofika ndio aligundua na kuniambia nikambishia na nilikua mkali sana 🤣😔 akaniacha kampigia dada mkubwa simu maana ndio nilikua nakaa nae niliporudi nae akaniuliza ukali ni ule ule maana siku hiyo nilitakiwa nisafiri kwenda kijijini kwenda kusoma ndipo wazazi wangu walipo mpaka nilipofika nyumbani mama nae kumbe anataarifa tiyar nae nilimbishia kisha mama alikagua nguo niliokua nimevaa na akagundua baadae ndio alinielekeza namna ya kujistiri.Namuomba Allah azidi kulipamba qabri lake mama yangu 😭nour ala nour na amsamehe makosa yake Allahumma Aamiyn
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
@@ingabireshakira9631 kwan muendelezo wewe hujui ni ijumaa hadi ijumaa au unajizima data
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 3 месяца назад
Yalinikuta nikiwa shule wee nililia mimi😂😂😂😂😂😂 mpka amani ikaisha
@NelsonManase
@NelsonManase 3 месяца назад
Kazi mzuri director na wote kwa ujumlA
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 3 месяца назад
"Namshukuru Mungu kuwa na mtoto kama Olivia karibu yangu huwa napata faraja sana".😢
@RobertLaizer-tk8ym
@RobertLaizer-tk8ym 3 месяца назад
Mwalimu nimempenda sana ❤❤❤
@SixTechlmt
@SixTechlmt 3 месяца назад
Niko tayari mjengoni, nipeni likes za kutosha
@mohamedcharming7432
@mohamedcharming7432 3 месяца назад
Saivi sina wasi wasi pengo la kanumba tyr limeshazibwa na gabo jamaa ni mnoma sana🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
MBUZA | Ep 1 | Love Story ❤
20:03
Просмотров 2,8 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [49]
29:03
Просмотров 23 тыс.
Vincent Kigosi & Jacob Stevin | FAIR DECISION Part 1
1:34:31