Тёмный

SIO UCHAWI: JAMAA ANANYANYUA TAIRI LENYE KILO 480, ANATEMBEA JUU YAKE HUKU AMEBEBA MTU | MSWAHILI 

Подписаться
Просмотров 137 тыс.
% 1 036

SIO UCHAWI: JAMAA ANANYANYUA TAIRI LENYE KILO 400, ANATEMBEA JUU YAKE HUKU AMEBEBA MTU | MSWAHILI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

17 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 201   
@sulleymanjimmy3199
@sulleymanjimmy3199 Год назад
Mfanyieni mpango aende America got talent nadhan atawashangaza wazungu zaidi ya kina Ramadhan brothers
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Год назад
True Ila kwenda kule ni process mwanangu
@chameleoncorpesprit2986
@chameleoncorpesprit2986 Год назад
Naishi marekani tunaweza tuka msaport vzr sana I even have America got talent acces
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Kwahio ndugu upo malekan?
@blackblue9729
@blackblue9729 Год назад
Inabidi waende na hilo taili maana ndio lenye uwezo woote hilo
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Год назад
@@blackblue9729a 😆😆😆
@gxygxy9143
@gxygxy9143 Год назад
Dogo anaweza kwenda kwenye michezo ya Olympics au Commonwealth na akafanya vizuri, kwa uzito wake wa 62kg nguvu zake ni extraordinary.
@germanomuanga3153
@germanomuanga3153 Год назад
Asante sana Babu Zembwela kwa kutuletea vipaji vilivyo jificha one love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🧢
@stevenchigataa8414
@stevenchigataa8414 Год назад
L0
@awadhisarai4331
@awadhisarai4331 Год назад
Huyo jamaa mpelekeni America got talent
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Год назад
I wish you all the best my brother ☺️ much love from Mombasa Kenya 🇰🇪❤️
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
🙏
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
😄😄😄😄Wanawaza biya 2 ngavu hawana🔥🔥🔥🔥🔥💥💪💪💪💪Masha allah congratulations bro
@is-hakabinruweikh3833
@is-hakabinruweikh3833 Год назад
Dah kaka noma sana wanasema n uchaw waite uwafundishe mazoez na namna na teknik inayotumika wap mguu mguu ukae wap na mkono up ushikilie kutumia nguv xako na z ziada!!
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Год назад
Watanzania nawaombeni mshare hii video sana tu! Huyu ataitwa America trust me guys
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💟
@mainaimma1114
@mainaimma1114 Год назад
Kunyanyua vitu vizitu ambavyo having umbo la pembe unatumia miguu mikono na kifua hii ndio formular
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 Год назад
Hongera sana babu zembwela mkongwe na fundi wa hizi kazi, ila ma Camera man wako wamekuangusha Kwenye shoots za Camera huenda wewe ukawa huzijui coz hauna huo utalaam ila wao wanajua walicho KIFANYA lakini pia niwapongeze kiasi chao wamejitahidi japo inabidi waongeze juhudi coz Camera haishutiwi kwa Mazoea ila kwa Skills. Asante naitwa Director Mavindi
@tevintevin6254
@tevintevin6254 Год назад
Jamaa anapolinyanyua anatumia mikono na kifua kulipush ..... Hao wengne wanatumia mikono pekee bila kupush kwa kifua .....
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 Год назад
Ila WASAFI bwana kwahiyo nyie bado mko 2022, kabisa Haki zote zime hifadhiwa (All rights Reserved 2022 ) wakati tuko 2023
@user-gu7kg3vt3w
@user-gu7kg3vt3w 3 месяца назад
Nice
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Kila kitu mazoea....ndio maana unakuta mtu mdogo tu' ana kilo 60 sokoni anapandisha GUNIA mbili za kilo mia begani.....wakati unaweza kulichukua BONGE la mtu lenye kilo 100 na kitu na linaenda gym, lkn asiweze kunyanyua GUNIA Moja la kilo mia..! Kiufupi ni MAZOEA tu' ..ndio maana huyu Jamaa mdogo lkn analinyanyua...KISHALIZOEA
@nabiljumbe
@nabiljumbe Год назад
Mashaallah
@muhitiraamissy7198
@muhitiraamissy7198 Год назад
Uyoo jamaa salut sana amos kutoka burundii
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Huyu Jamaa aonane na Diamond
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Mmhh ana balaa uyo 🙌🏻🙌🏻
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Год назад
Asee sio vizur kuchokoza mtu usiyemjua,huyo jamaa aliyenyanyua hilo tair ana mwili wa kawaida sana unaweza ukamchukulia poa kwenye daladala ila madhara yatakayokupata yatakuwa sio poa
@Zanga93
@Zanga93 Год назад
Jamaa hajatuna Wala nn
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Allah kamjalia maskini
@dariokisitu9134
@dariokisitu9134 Год назад
Ananyanyua au analisimamishaa
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
2023 tutaon viing
@alhajjngoliomahmud6657
@alhajjngoliomahmud6657 Год назад
Mashaallah tabaraka rahman
@sheagraphics269
@sheagraphics269 Год назад
Ili uweze kuinua Hilo inabidi uwe na strength ya mikono na miguu Miguu ndio inakupa nguvu zaidi ya kuinua
@gershomchallo
@gershomchallo Год назад
Mi nikukucheki tuuu namkumbuka Max...tuambie kidogo habari zake halooo
@salimkibwana4189
@salimkibwana4189 Год назад
Max alifariki
@malickbyanaku5828
@malickbyanaku5828 Год назад
Kuinua hyo NGOMA ndio mtiti..Hyo kutembea juu ya TYRE wakishua ndo watashangaa. Ila michezo ya MA TYRE tumekua nayo, Kuna mchezo unaingia NDANI ya TYRE mwenzako analitembeza kwa mkono Umbali kabisa..
@freyzoo124
@freyzoo124 Год назад
Hatare sana
@salummambo1336
@salummambo1336 Год назад
Mie ningekuwepo hapo ningenyanyuwa Hilo tile
@geradisilivest7744
@geradisilivest7744 Год назад
Thanks
@RobertGwelela
@RobertGwelela 3 месяца назад
Saluti sana kijana.
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda Год назад
Daah. Aisee . Ila nahisi watu wanakosea kuweka miguu. Mwenyewe huwa anarudisha miguu nyuma kidogo ya tairi.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Wonders never end guys 😢🙄🙄
@juniorjackson5062
@juniorjackson5062 Год назад
Wengi wamenyanyua,hukuu miguu ipoo sawiaa,huyoo jamaaa amewekaa mguu mmoja umetangulia na mwengine umetangulia koo n distance ya miguu tu
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Год назад
Hongera yake brother ila iyo habar ya kubebana hapana Kwa kweli 🤣🤣🤣🤣
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Год назад
​@@stanleyngohani3306 😂😂😂hapana Kwa kweli
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Год назад
@@stanleyngohani3306 hongera
@meckcassius3983
@meckcassius3983 Год назад
Iringa ndio kwetu
@azimioalbertongellaalberto4404
Nakubal hzo Mbegu za madog ukizitia kweny viaz na kwenye mboga za majan
@murshidarajabu3456
@murshidarajabu3456 Год назад
Mimi naweza hilo
@fatumadugulu351
@fatumadugulu351 Год назад
Daaah,noumaa thanaa,yaani muda si mrefu tutamsikia yupo majuu
@salimallynassor4972
@salimallynassor4972 Год назад
Mm apo naweza kuinua
@salummzee9739
@salummzee9739 Год назад
Safi sana ajira sio lazima uajiriwe tayar umejiajiri hapo
@ismaelkazungu1917
@ismaelkazungu1917 Год назад
aende American got talent
@user-yh7zk8kp8u
@user-yh7zk8kp8u 9 месяцев назад
Twende Tena AGT wasafi mpeni connection
@adamyusuph1998
@adamyusuph1998 Год назад
Noma sana 💪💪
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Jamaa ana kitu cha ziada kwenye mwili wake
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Год назад
Wacheza ngumi, nendeni mkatafute pumzi kwenye hilo tail
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Jangwani Sea breeze
@byangamartin6998
@byangamartin6998 Год назад
Dah umenitowa Akili mwanangu Yani nimekukubali atari
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 Год назад
Ujuzi tosha serekali imuzamini kijana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@japharymagesa735
@japharymagesa735 Год назад
Eti kilo 400
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Год назад
wa kwanza hassan mwakinyo wa pili huyoo jamaa ✍️
@talkymohamed785
@talkymohamed785 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fadhilmtewa2224
@fadhilmtewa2224 Год назад
Apelekwe jeshini huyo
@shukurually8769
@shukurually8769 Год назад
Ilo laili linanyanyuliwa kwa taimingi sio unanyanyuwatu
@diodaud9264
@diodaud9264 Год назад
Badala yakunyanyu mmtu anatikisa tako tuh
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Год назад
Nimemwona leo 17th Jan pale Mbuyuni karibu na njia panda ya salasala, kituoni akifanya hivyo.
@nikolauskabogo6104
@nikolauskabogo6104 Год назад
Kabogo family kabogo
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Bro sogea nisije nikakubadilisha jina🤣
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Год назад
Jamaa ametisha sana😂😂😂😄
@jamessangijo6217
@jamessangijo6217 Год назад
Hii computer au
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Год назад
@@jamessangijo6217 ukimuiga huyo lazima ukatibiwe muhimbili kilo400 sio mchezo😄😄😄
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Yote yanawezekana mazoez tuu
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 Год назад
Hii sasa hua tunasema usishane n ndovuu kun.....🤣🤣🤣🤣utakuja raruka msamba bure,huyu ukijaribu upigane naye atakuinua ka karatasi Wala
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
zembwela ule wimbo wa zamani.ulokua unapiga Kwenye hichi.kipindi Mbona umeutoa? ulikua unazidi kupendezesha kipindi unachangamsha
@kateadam8204
@kateadam8204 Год назад
dah kudadek mungu kambark nataman nimuone live huyo mwamba
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Karibu bich unione
@upendolema3323
@upendolema3323 Год назад
Mungu akuongoze ktk safari yako ya mafanikio
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
🙏
@shijakashita9915
@shijakashita9915 Год назад
Mmmh mi mbn naona Ni kawaida2, kutembea2 Apo juu
@dannyblossproduction52
@dannyblossproduction52 Год назад
Mungu aku bariki bro, Una kipaji
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
🙏
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Asant
@naslee1010
@naslee1010 Год назад
Eti natamani sana kujaribu ila tatizo moyo 🤣🤣🤣🤣
@kawambwagude8340
@kawambwagude8340 Год назад
Jahrou umeniangusha bhana mbavu yote hiyo mzee wangu
@thehunter5920
@thehunter5920 Год назад
Chupi imechanika😀
@stevenhaule8875
@stevenhaule8875 Год назад
Nipo ruvuma... Nina uwezo wa kuliinua pia ..labda kuruka kamba ndio nitashindwa💪
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Nakuja huko
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Ntakuja huko nahilo tairi usjar
@7threst322
@7threst322 Год назад
Anaitwa mtumishi. Jamaa Alafu haringi mwamba mmoja pisi sanaa. Siku aliniambia nilinyanyue nikafeli. Ila nikainuia nae. Siku nyingi akaniambia nilisukume Toka beach ni mzigo.
@pquimdebecare962
@pquimdebecare962 Год назад
Usichukulie POA ila Hongera kwa mwana huo mchongo unahitaji watu wenye Iron body
@anjelistabartholomeujoseph2938
Naomba number yake
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Unaitaji no yake unataka ujifunze kuinua
@anjelistabartholomeujoseph2938
@@stanleyngohani3306 😁😁😁😁we aka mi sitaki kuvunjana migongo
@anjelistabartholomeujoseph2938
@@stanleyngohani3306 nahitaji kuongea nae
@siliakirojasi399
@siliakirojasi399 Год назад
Hajanyanyuwa Bali ameliinuwa2
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Mungelituita kajala analiweza walai
@DenisPiter-pn2gj
@DenisPiter-pn2gj 3 месяца назад
Oya zembwela hakuna alie jamba hata kidogo br
@maubreezy9378
@maubreezy9378 Год назад
Mfanyieni mpango aenge kwenye got talent yyte
@ahmedyare5089
@ahmedyare5089 Год назад
Kuna mambo ya kujarabu kama kula lkn sio iii🤣
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Год назад
Kiuno na mgongo vinaweza kuachana
@frankmchome8493
@frankmchome8493 Год назад
Wazee wa sabuni hata tairi ya bajaji hatunyanyui🤣
@Ibrahim-lc2jo
@Ibrahim-lc2jo Год назад
Mandonga anaweza kweli?
@timanyere9052
@timanyere9052 Год назад
Alikula pufyaaa
@jengenimsuva377
@jengenimsuva377 6 месяцев назад
Ndauli kabogo
@petermboje5839
@petermboje5839 Год назад
Dogo umeunza Asante mungu akusaindie
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Asante
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Asant
@bonabonaza8947
@bonabonaza8947 Год назад
Babu mvaamodo Kama max au machenini
@bishikhaji
@bishikhaji Год назад
Hongera kaka
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Asant🙏
@psttitonakazaelimjema.9562
@psttitonakazaelimjema.9562 Год назад
Serekali iangalie Vijana na vipaji kama hivi.
@victaboy7273
@victaboy7273 Год назад
Arafu iwafanyeje
@rashidami7933
@rashidami7933 Год назад
Hata mm naweza 💪💪💪
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
utakunya 😂🏃
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
Muleteeni bedera jamn ipo Oman 🇴🇲🇴🇲
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Anakujaje
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Hay
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Mara paap umeingia mziki wa mwana utachakaa mpaka ujikatae
@kugotwa004
@kugotwa004 Год назад
Mambo madogo sana ayo mbona tunainua ayo matairi ya ma roller na wheelloader
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 10 месяцев назад
Wp upo nikurete utest
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
ongera kwakipaji chako chakipekee,mahan japo nimeona lakin bado sierewi erewi🙄Natamani nikuone live 🤦
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Huerew nn ndugu
@manasa2449
@manasa2449 Год назад
Zembwela jaribu 🤣🤣🤣🤣🤣
@cosrevynewchord2022
@cosrevynewchord2022 Год назад
Safi xana haise
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Год назад
Yani zembwela eti njoo huku
@drmussa1220
@drmussa1220 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-trGROLrv6Qs.html DAWA ZA KUPANDISHA NYOTA YAKO ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-trGROLrv6Qs.html
@edwardmenawezkuzamakwadaki4825
Kipaji cha kipekee xana
@rajabundauka
@rajabundauka Год назад
Nitakachoshindwa kutembea juu ya Hilo taili sio kuliinua.
@stanleyngohani3306
@stanleyngohani3306 Год назад
Karibu uje ufanye
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 Год назад
Nyie watu msije mkajamba tu
@lucaslaurent2920
@lucaslaurent2920 Год назад
Mmmh! Huyo jamaa ni hatari.
@amirabdallah6984
@amirabdallah6984 Год назад
Kipaji iko
@josephmtuanga7815
@josephmtuanga7815 Год назад
Huyu inaweza ikawa 👇 HAWAFU wa leo DAUDI wa leo Na wengine wa enzi hizo kwa nguvu walizojaliwa kustaajbisha waliowazunguka au hata Ulimwenguni kote❗👏🙏
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
😂😂😂😂😂😂nikiksa mb nais presha
@jacksonchristopher6310
@jacksonchristopher6310 Год назад
Mi nakuja kujaribu hapo jina kilo 62
@thehunter5920
@thehunter5920 Год назад
Nenda kamuite yule jamaa wa tabata kisukulu anayenyanyua pikipiki na kuvuta gari,ananyanyua hilo
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
kabisaaa👊
@jacksonchristopher6310
@jacksonchristopher6310 Год назад
Kazima nije kulinyanyua