Тёмный

SIRI MUJARABU YA DUA HIZI KATIKA KUONDOSHA NUHUSI NA KUFUNGUA MILANGO YA KHERI | Mohamed Alidini 

Mohamed Alidini
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 3,2 тыс.
50% 1

SIRI MUJARABU YA DUA HIZI KATIKA KUONDOSHA NUHUSI NA KUFUNGUA MILANGO YA KHERI | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri ya Dua hizi katika kuondosha nuhusi na kufungua milango ya kheri kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
Maelezo yake:
Surah: DUA NA SWALA YA MTUME
Ayah: HAZINA NAMBA
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
 Kuwa na Udhu na Twahara kamili
 Tia Nia
 Elekea Qibla
 Kila baada ya Swala ya Faradhi soma Dua zifuatazo kwa muda wa siku 14:
1) بعد كل صلاة الصبح تقول: (يَا فَتَّاحُ يَا كَاشِفُ) 110 مرة لمدة 14 يوم.
2) بعد كل صلاة مكتوبة تقرأ آية الكرسي مرة واحدة، وسورة القدر مرة واحدة لمدة 14 يوم.
3) كل صباح تقول: (اللَّهُمَّ صَلِّ عَلى مُحَمَّدٍ وَآلِ مُحَمَّدٍ) 110 مرة لمدة 14 يوم.
4) كل ليلة قبل النوم تقول: (أَسْتَغْفِرُ اللهَ رَبِّيْ وَأَتُوْبُ إِلَيْهِ) 110 مرة لمدة 14 يوم.
5) في وقت الفراغة تذكر: (يَا كَاشِفُ يَا وَدُوْدُ) 110 مرة لمدة 14 يوم.
 Waweza ifanya hii faida mara 1, 2, 3, 4, 5, n.k. Nafasi na uwezo wako.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@abubakarisheha1806
@abubakarisheha1806 13 дней назад
Maashallah, hakika ni mkubwa. tunakuombea kheri kila kukicha sheikh wetu allah akubarik na akulinde na shari, Amiin
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbala 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mealiimwamasai3481
@mealiimwamasai3481 5 дней назад
Masha Allah jazakallah kheir sheikh
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 дней назад
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SamuKassim
@SamuKassim 8 дней назад
Masha Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 7 дней назад
Tabarakallah! Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@Janatinaim-u4v
@Janatinaim-u4v 11 дней назад
Shukran jazilh Allah akulipe kheir
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 дней назад
Ameen Ya Rabb! Sote Insha Allah! Shukran. 🤲🤲🤲🤲🤲
@SalmaShabani-ou6gk
@SalmaShabani-ou6gk 10 дней назад
Shukran sana shekh wetu y0te ya kher❤️❤️❤️ Allah(sw) akuzidishie dunian na akher amiin🙏🙏🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 10 дней назад
Afwan. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! ❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲
@RehemaHassan-o8j
@RehemaHassan-o8j 2 дня назад
Sheeran Allah akuzidishie
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 дня назад
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah. 🤲🤲🤲🤲🤲
@EshyaBakary
@EshyaBakary 4 дня назад
Shukran wajazaakillah khair🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 дня назад
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@AshrafBunu
@AshrafBunu 11 дней назад
Allah barik fiq ustadh kwa kutufaidisha Allah akupe Kila lakheri
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 дней назад
Ameen! Sote Insha Allah. 🤲🤲🤲🤲🤲
@meowzna
@meowzna 10 дней назад
Shukran Sanaa🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 10 дней назад
Karibu Sanaa!
@HawaaMohamed-w8k
@HawaaMohamed-w8k 12 дней назад
Shukran sana Allah akubariq akujaaze kheri aamin
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@hasnashaibu3009
@hasnashaibu3009 12 дней назад
شكرا جزيلا ❤بارك الله فيك❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 дней назад
وإياك. اللهم آمين ❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲
@saidajuma-h6x
@saidajuma-h6x 13 дней назад
Shukran shekh wetu allah akulipe kheri inshallah nitaifanyia kazi
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@شفيعهالجزار
@شفيعهالجزار 13 дней назад
Shukulani sheikh Mohammed Allan akuzidishie na ww pia
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Ameen! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@HauaAliSaide
@HauaAliSaide 9 дней назад
MashaAllah te amo
@mohamedalidini
@mohamedalidini 7 дней назад
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@HauaAliSaide
@HauaAliSaide 7 дней назад
@@mohamedalidini ameen Allah akupe umri mrefu tuzidi kufaidika
@mohamedalidini
@mohamedalidini 7 дней назад
@@HauaAliSaide Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 7 дней назад
@@HauaAliSaide Ya Rabb! Sote Insha Allah. Nawe pia Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 12 дней назад
As salaam alaikum Warahmatullah Wabarakatuh Ustadh ukimaliza kusalia swala za faradh tunasoma ayatul kursiyu je tunaweza kuinganisha na suratul Qadir yaan ayatul kursiyu iyo baadae ya swala na hii iwe moja tuu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio unaweza kwa nia yako na Allah (SWT) ni Mkarimu sana. Afwan.
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 11 дней назад
​@@mohamedalidini Shukran🌺
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 дней назад
@@salmaalkyumi6030 Afwan.
@mwanakhamisally5493
@mwanakhamisally5493 6 дней назад
Mashallah, Mungu akubarik najifunza meng kupitia ww ila nahitaji ufafanuzi kidogo hpo kwny kuhesab mfano tunaposema YA FATAH , YA KASHIF hii tutaipa idadi y mara 1 au 2 kufikia idadi ye2 110
@mohamedalidini
@mohamedalidini 6 дней назад
Hiyo inakuwa ni mara 1. Afwan.
@mwanakhamisally5493
@mwanakhamisally5493 6 дней назад
Shukran, nakupenda kwa ajili y Allah na napenda pale unapojibu comment ze2 pale tunapohitaj ufafanuz zaid. Inshallah Allah akuhifadhi
@mohamedalidini
@mohamedalidini 6 дней назад
@@mwanakhamisally5493 Afwan! Nami pia nakupenda ❤ Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@salimfarid4690
@salimfarid4690 13 дней назад
Masha'Allah!
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Tabarakallah! Shukran Alhabeeb!
@leylaali6958
@leylaali6958 13 дней назад
Mashaallah Allah akubarik
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 13 дней назад
Ma sha Allah tabaraka Allah maalim jazakha Allahu kheri
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 13 дней назад
@@mohamedalidini insha Allah Ammin thuma ammin yaarabi sote insha Allah maalim
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
@@ramlajeffah9831 Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 13 дней назад
Jazaka llahul khair ❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Waiyyaak! Shukran.
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 13 дней назад
Shukran sheikh
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Afwan. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@AzyNass
@AzyNass 6 дней назад
Assalam Alaykum.kaka Mimi nna mwanangu anasaga meno sana usiku ...nimetumia sana dawa sijafanikiwa.naomba msaada wako tafadhal
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 дня назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Niko na video natengeneza ya kutatua tatizo kama hilo. Insha Allah, wikendi hii itakuwa tayari na nitakujulisha nikishaiweka kwa channel yangu. Afwan.
@ZainabIssa-v5u
@ZainabIssa-v5u 13 дней назад
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu hali yako shekh shukran sana pili je ukitanguliza kablaaa ya Sala ya alfajiri? Na je huu uradi tyikusanye wote? Au tufanye mojaa mojaa Kwa hiyo idadi ya siku 14? Asalam alaykum
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa hakika inatakiwa baad ya swala. Ndio unaweza kukusanya ukaufanya uradi mmoja. Nafasi yako. Afwan.
@ZainabIssa-v5u
@ZainabIssa-v5u 13 дней назад
@@mohamedalidini shukran sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 13 дней назад
@@ZainabIssa-v5u Afwan. Karibu. Allah (SWT) Akutimizie malengo yako yate. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatmaOthman-t9u
@FatmaOthman-t9u 12 дней назад
Assalam alykum shekh shukran 🙏 sana kwa masomo mazur,,,, m nlkua naomba dua ya kufahamu jambo kwa wepes ya mfano mtu anasomea fani flan sasa anataka afaham kwa wepes sana fani hyo na kwa haraka inshaallah je kuna dua gn twaeza tumia ,!?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 7 дней назад
@@FatmaOthman-t9u Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kariri hii Dua kila siku mara kumi (10) kwa uwezo wa Allah (SWT) utaona siri yake: فَفَهَّمْنَـٰهَا سُلَيْمَـٰنَ وَكُلًّا ءَاتَيْنَا حُكْمًا وَعِلْمًا وَسَخَّرْنَا مَعَ دَاوُۥدَ ٱلْجِبَالَ يُسَبِّحْنَ وَٱلطَّيْرَ وَكُنَّا فَـٰعِلِينَ (٧٩) يَا حَيُّ يَا قَيُّوْمُ يَا رَبَّ مُوْسى وَهَارُوْنَ وَنُوْحٍ وَإِبْرَاهِيْمَ وَعِيْسى وَسَيِّدَنَا مُحَمَّدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَكْرِمْنِيْ بِجَوْدَةِ الْـحِفْظِ وَسُرْعَةِ الْفَهْمِ وَارْزُقْنِيْ الْـحِكْمَةَ وَمَعْرِفَةِ الْعِلْمِ وَثَبَاتِ الذِّهْنِ وَالْعَقْلِ وَالْـحِلْمِ بِحَقِّ سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمْ يَا رَبَّ الْعَالَـمِيْنَ.
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 12 дней назад
Maashallah jazzakallahu kheir sheikh
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
Tabarakallah! Waiyyaak! Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 12 дней назад
@@mohamedalidini Amiin yarabi🤲🤲🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 12 дней назад
@@FatumaAdinani-o1g Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
Далее
Мои РОДИТЕЛИ - БОТАНЫ !
31:36
Просмотров 555 тыс.
Пчёлы некроманты.
00:46
Просмотров 26 тыс.
Редакция. News: 137-я неделя
42:24
Просмотров 621 тыс.
Ky person e ka Haram Xhenetin!
16:20
Просмотров 975
Мои РОДИТЕЛИ - БОТАНЫ !
31:36
Просмотров 555 тыс.