Тёмный

Siri Ya Kupika Half Cake Za Kupasuka Za Biashara 

Carol Haro
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

mahitaji
unga wa Self-raising 1kg - 1cup
siagi 1cup
sugar ¾cup
vanilla Flavor
Iliki ya kusaga
mayai 2 makubwa ama 3 ya katikati ama 4madogo

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@VeronicaMbuya-t7u
@VeronicaMbuya-t7u 18 дней назад
Ukitumia unga tofauti na huo wako naweza weka baking powder? Maana huo unaotumia wewe unasema huweki baking piwder wala bicarbonate of soda
@carolharo
@carolharo 18 дней назад
@@VeronicaMbuya-t7u ndio unaweza weka zote
@user-xq3cp1wq3m
@user-xq3cp1wq3m 3 месяца назад
Dada mm nataka nipike za biashara kilo mbili naweza towa keki ngap?
@meryasey47
@meryasey47 4 месяца назад
Napenda sana kupika lakini sijui
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 27 дней назад
Ziko poa sana
@AsellaDaudi
@AsellaDaudi 3 месяца назад
Nimeipenda jinsi zilivyopasuka lakini Sina hata friji nifanyeje?
@HellenPascal-tn6zu
@HellenPascal-tn6zu 4 месяца назад
Iyo ya kugeuzia unazoleaga moto wa mkaa??
@user-xq3cp1wq3m
@user-xq3cp1wq3m 3 месяца назад
Wenye friji haugandi
@siannko7597
@siannko7597 2 месяца назад
Jaman hizi nikipika mafuta yanaishaaa zinanyonya mafuta saana
@carolharo
@carolharo 2 месяца назад
Hakikisha moto wako si ndogo sana
@aminakumburu6228
@aminakumburu6228 16 дней назад
mimi nikipika zinakaa siku chache zinavunda kwanini
@carolharo
@carolharo 16 дней назад
@@aminakumburu6228 siwezi jua sababu,zangu zinamaliza week zikiwa Bado laini
@jumakisuse6297
@jumakisuse6297 4 месяца назад
Ulipotoa kwa friza ulikaa mda gan mpaka kuanza kusukuma?
@carolharo
@carolharo 4 месяца назад
Kama nusu saa,ama mpaka ulipoanza kulainika
@jumakisuse6297
@jumakisuse6297 4 месяца назад
@@carolharo much thanx. May God bless you!
@maryammahfoudh1413
@maryammahfoudh1413 2 месяца назад
Me naomba niulize kikombe kipi ulitumia measuring cup ama?
Далее
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Просмотров 9 млн
JINSI YA KUPIKA MIKATE LAINI KWA NJIA RAHISI
5:56
Просмотров 37 тыс.
Upishi wa Mkate wa Kituruki
11:12
Просмотров 195
HALF KEKI ZA HARAKA HARAKA ZAKUPASUKA/HALF KEKI
4:10
Просмотров 112 тыс.