Тёмный

SIRI ZA UONGO WA NABII AZIWEKA WAZI HUYU KAKA 

Robert Tv Tanzania
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 76 тыс.
50% 1

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official RU-vid channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@myself4128
@myself4128 5 лет назад
Usimuinue Mungu wa mahali hapo Mungu hakai sehemu moja wala hakuna Mungu wa mchungaji fulani wala wa madhabahu fulani Mungu hana mipaka
@emmanuelmuwanji1311
@emmanuelmuwanji1311 2 года назад
Hapa tatizo ni moja Tu, kukosa ufunuo WA kweli unaotokana na roho mtakatifu, ili kutofautisha orijino na feki,unaweza usitumie vitu ivyo vyote lkn ukawa feki, mfano watoto wa kuhani skewa, nacho jua kila kitu cha kiroho lazima kijalibiwe kwa njia ya kiroho, mfano 1yohana4*1 msiziamini kila roho Bali zijalibuni Kwanza kama zinatokana na mungu , je na hii roho ya ukosoaji inatokana na mungu! Yesu alisemaje! Hubilini mkisema ufalme WA mungu umekalibia,pozeni,fufueni, takaseni, je haya yote mnayafanya! Kama hamna basi ! Kukosoana sio njia ya kimungu, na mungu hawezi kuku tumia kwa KAZI kubwa zaidi
@nelsonthuo5094
@nelsonthuo5094 2 года назад
#justgoruto by #wajackoyah the #trumpofkenya
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 лет назад
Hongera kwa ushindi, jina la Yesu peke yake linatosha. Halihitaji visaidizi vyovyote ili lifanye kazi!
@ibrahthebest
@ibrahthebest 4 года назад
Amina
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 3 года назад
Wanadamu kalama za mungu haziuzwi !!hao wauza mafuta maji sabuni chumvi ni matapeli tu
@graciew1780
@graciew1780 4 года назад
Yesu aliwaambia wagojwa waombewe na wapakwe mafuta. It's not the water or oil that has a problem but the minister or any servant of God. If satan is a counterfeiter then originals are available ie genuine servants if God
@saulimayage8201
@saulimayage8201 2 года назад
)
@barakajuma2085
@barakajuma2085 4 года назад
Barikiwe kwa kumuinua Yesu aponyae.
@tantinemwemendi8790
@tantinemwemendi8790 3 года назад
Amena
@mapenzimumbere5946
@mapenzimumbere5946 3 года назад
Yesu atusaidie sana
@nikitarewis2598
@nikitarewis2598 5 лет назад
Amen
@gilberthmollel3066
@gilberthmollel3066 4 года назад
Mungu ainuliwa milele muujiza wa ajabu
@gilberthmollel3066
@gilberthmollel3066 4 года назад
Gilberth mollel arusha naitaji maombi yako pia naomba namba yako ili tuwasiliane 0753815688
@samueljr9105
@samueljr9105 5 лет назад
Huwa naskiliza lkn sitoi maoni yangu ya hizi ushuhuda Yesu jidhihirishe kwa watu wote
@rosesubi3842
@rosesubi3842 5 лет назад
amina
@naomilemi4717
@naomilemi4717 5 лет назад
achani udhalimu kila Mtumishi ameitwa kwa namna yake. fanya kazi yako uliyoitiwa.
@jhonasijumma8896
@jhonasijumma8896 5 лет назад
kila mtumishi ameitwa kwa namn yako sidharau hata mm ni mtumishi
@faidasikabwe8395
@faidasikabwe8395 5 лет назад
Mchungaji naomba namba zako ili tuongee nimeteseka kwamda mrefu.
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 года назад
Hawaangaliagi comment
@musamsafiri2164
@musamsafiri2164 4 года назад
Mimi naitwa Eliza msafiri nikoamerka nasumbuliwasana namapepowachafu kuotandotombayasanamaranageuka jini maranaotanafugwa nikodondocha mtumishi naitaji maombi
@junefother7890
@junefother7890 4 года назад
Mchungaji naomba namba tuongee frm Burundi
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 2 года назад
Hiz.biashartu.
@petrojames1373
@petrojames1373 2 года назад
lakini yesu atusaidie kwasababu Mimi nikieoma Marko 6-7-13 inasemaje
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 2 года назад
Shida inakuja pale unapoona vifaa hivyo viitwavyo vya kiroho vinainuliwa kuliko Mungu kila anayeinuka anataka maji na mafuta wala hataji maombi kwa kweli sipati jibu nisaidiwe wapendwa
@sayunikasimiri509
@sayunikasimiri509 2 года назад
Baba naomba namba zako masihi wa Bwana
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 3 года назад
Kemee mch watu hao wauza mafuta bangiri lips wamelainiwa ni mataperi wanaiba kutumia jina la yesu
@tumainnkone2413
@tumainnkone2413 3 года назад
Mbeya lini jaman?
@aishaail4455
@aishaail4455 5 лет назад
Kufumba macho ndiyo mapozi au vipi?
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 лет назад
😁😁😁😁😁
@peacekatembo6944
@peacekatembo6944 3 года назад
Haaahaaa
@nikitarewis2598
@nikitarewis2598 5 лет назад
Kweli huo baba kasema ukweli kuhusu maji
@amosmichael3875
@amosmichael3875 3 года назад
Acha kupinga ukuu wa mungu utapata matatizo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 года назад
Hakuna wokovu bila kutubu dhambI na kuacha
@elesiamwaisanila7758
@elesiamwaisanila7758 5 лет назад
mchungaji naomba namba zako nikupigie nipo dar nimeteseka muda mrefu nahitaji msaada nipo dar
@RobertTvTanzania
@RobertTvTanzania 5 лет назад
0766506008
@RobertTvTanzania
@RobertTvTanzania 5 лет назад
Tuwasiliane kwa hiyo namba tafadhali
@agnesskuyi678
@agnesskuyi678 5 лет назад
The FL LIKE THE LOOK
@joshualeparan9143
@joshualeparan9143 4 года назад
Naoba namba sako
@elesiamwaisanila7758
@elesiamwaisanila7758 5 лет назад
mchungaji naomba namba nimeteseka muda mrefu nahitaji msaada wako
@agnesskuyi678
@agnesskuyi678 5 лет назад
1hgk
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 года назад
Haiwezekani watumishi wa Mungu wakaotisha mkutano wa wale anautumia visaidizi hivyo muwakanye basi bayana? Mana kelele ni nyingi, lkn uponyaji upo kwa baadhi. Mungu ni NURU na mmoja, hatuelewi Vito sahihi vya kupeleka mapepo hayo yasombwa ba nguruwe tu jamani. Saidieni basi wenye mamlaka za kutowesha majini na viumbe hivyo hatarishi jamani mpendwa mchungaji wewe? .
@hamedabdallah6728
@hamedabdallah6728 5 лет назад
Huyo mwamjua nimkaazi wa hapo au mwashangiria tuuu huo nimchezo tuuuu hawana llt hao wanapangwa tu
@aishaail4455
@aishaail4455 5 лет назад
Hamed Abdallah waandike kichwa cha habali hivi ilituelewe UONGO WA NABII
@roidatadey8656
@roidatadey8656 5 лет назад
Sasa wewe yanakuuma nini
@pericykiko6198
@pericykiko6198 5 лет назад
Hata wewe Yesu akikushulikia utaachana na majini yanayokuongoza
@fetrishakaza1473
@fetrishakaza1473 5 лет назад
mleta mama ako afuuta juakama tunapangana aulaa
@brunosewando9296
@brunosewando9296 4 года назад
@@fetrishakaza1473 Yesu ndo kila kitu we amin utaona nguvu zake
@yussufally8668
@yussufally8668 5 лет назад
Je wajua makafiri wote motoni?
@hildajohn4526
@hildajohn4526 4 года назад
Yussuf Ally kafiri anaetenda dhambi na anaenda kwa waganga
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 лет назад
hata mimi naomba namba ya mchungaji jamani niko Rome Italy
@nyanjunasoro7151
@nyanjunasoro7151 5 лет назад
MUNGU ni mwema
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 лет назад
Sasa wewe uko kwa mutowaj wa baraka na msamehevu wa mazambi 😁😁😁😁vip wewe wot haw mafremasson au wataka kujiunga wanajifica nyuma ya yesu mmmmjjjjj
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 лет назад
Zainabuh Mbabazi Mimi siwezi nikajiunga Kwa mambo yasiyo faa dadangu ilekidogo napata inanitosha mungu ndiye mwenye kunipa sina tamaa ya hela ila kumbuka mungu anasamehea wote muhimu kumutafuta ukimuita naye ataitika bila kusita I am a believer
@neemadamasi3603
@neemadamasi3603 5 лет назад
Judithmelvine Aluchio ameee
@jamilaiddy8236
@jamilaiddy8236 5 лет назад
@@neemadamasi3603 mambo
@roidatadey8656
@roidatadey8656 5 лет назад
Mchungaji naomba namba zako
@RobertTvTanzania
@RobertTvTanzania 5 лет назад
+255764769744
@wiza2309
@wiza2309 5 лет назад
Alikuwa anaumwa nini hasa mpaka anazunguka hivyo?
@shukulumshani4014
@shukulumshani4014 3 года назад
Kidogo Kama nakuerewa kuliko wengine nilio waona
@joanandayi8606
@joanandayi8606 5 лет назад
Amen
@teresiamutiso532
@teresiamutiso532 5 лет назад
Amen
@cookie8969
@cookie8969 5 лет назад
Jamani muniombee namimi nikomare kani nisaidie
Далее
NABII TITO AWAKEMEA WANAO MTEMA MATE
8:52
Просмотров 41 тыс.
KAFARA ZA MIGODINI ZAWEEKWA WAZI
22:42
Просмотров 3,2 тыс.
WOSIA WA MAMA RWAKATARE | UTAJIRI WAKE, HISTORIA YAKE
18:40
MCHUNGAJI ANUSULIKA KIFO CHA WACHAWI WALIOTUMWA
37:14