I love this song for God is my only refuge.Mum Upendo Nkone may God bless you abundantly as you continue to bless us with touching songs in real life situation!!
Nimefanya uchunguzi nimegundua yesu ni mwamba msaada wa karibu tena nguvu ya mwenye haki ,,,anaupendo na watu wake Rehema zote zipo kwako niende wapi niyapate mema,,,,,,hii nyimbo inanibariki sana mamaangu,,,mungu akuongoze
Wimbo ulipigwa sana wakati wa msiba wa baba yangu mzazi isaac kadyanji 06.01.2023. Unanifariji sana, upumzike kwa amani baba, tutakukumbuk daima. Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Endelea safari ukitembea katika njia nyoofu, mshahara ni karibu. Usimlaliti Yesu Kristu mwokozi wako kwa faida za mda mdogo zisizo faa. Yale tunayo andaliwa ni mazuri , mema, ni yenyi mafaa na yatadhumu milele na milele.