Nmependa Sana message, hapo pa niliskia,sasa nmeona.....very true,dance iko juu , clarity pia n safii....mwana wa batsotso....uko juuu.......#vihiga county #hamisi sub #senende
Kwani nilikuanga wapi kusikiza hizi wimbo jamani I always sing it everday I heard it from my mum everday akifanya kazi zake huimba wimbo hizi sikujua muimbaji aki sibanduki kwako mm
Mbele mbele mbele mbele mbele twende....!!!!Asifiwe sana yesu wangu....!!! Hakika imeweza sana uncle Nico.Hongera sana kwa kazi njema ya bwana.Ibarikiwe sana kazi ya mikono yako.Mwenyezi Mungu azidi kuwainua team zima mubarikiwe tena na tena.