Nakumbuka wakati natoka south Africa kwa bus niliketi seat moja na Sister du wakizimbabwe aisee tulipofika sehemu ya kwenda kupata chakula na vinywaji yule Dada akaenda kunya nakumbuka alibeba hayo makaratasi sasa basi pind aliporudi basini habari niliipata alikuwa anatema pwia sio lakitoto yaani safari ilikuwa mbaya sana hata lengo lakumtupia mistari likakata hapo hapo
hi 👋 s mlela na mutanganzanji piya also mie nina sema hi 👋 from here home 🏡 swirtzenland conutiry international world 🌎 and yes get enjoy my voice writing ✍ from faer faraway home 🏡 swirtzenland
Toilet paper sio kama unatumia peke yake tu kama unavyofikiria unaanza kwa kujifutia kwanza uchafu wako halafu ndiyo maji yanafuata unakuwa hunuki mikono.maana mzigo.mwengine mmmh harufu inabaki mikononi hata unawe na sabuni,kwa hiyo toilet paper muhimu ndugu 😀