Slay Danga ni tamthilia inayoonyesha maisha halisi na changamoto wanazokutana nazo wanawake katika mitaa kutokana na hali ngumu za maisha wanazokutana nazo, ungana nasi kufuatilia kisa hiki kitachokuwa kinaruka hapa hapa Adam Leo Studios.
Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Fu1K5aTTj10.html
@@AdamLeoStudios kabisa kwanza mie ningekuwa nishamshtukia mie mwanaume mwenye tantalila nyingi najuwaga kabisa niwaongo na jicho lake moja dogo moja kubwa 🤣🤣🤣🤣maneno yote yale ata aftatu ajamuwachia 🤣🤣
Mngekuwa mnajitahidi kuziweka zote kwa wakat mmoja ingekuwa powa sana na views wangekuwa wengi maana unapoitoa ya pili kwa kuchelewa unakuta watazamaji nao walishaisahau kuifatilia ili hata kama inaendelea ya 3 watu wanakuwa na mzuka wa kusubiri nini kitafuata ila mnajitahidi sana yani balaaa❤