Mimi mwalimu nimefatilia Masomo yako nikiwa nyumban na nilikua sijui kabisa kompyuta saiz naona unafuu ila naomba sana unielekeze jinsi ya kushusha window na jinsi ya kuweka program au soft ware kwny computer baada ya kushusha window nambangu +255765818478