Reminder to respect the anointing is a good call. It is easy to get familiar with the Prophet and miss the grace that come with the anointing. Oh God help me to always be humble and submissive to the altar
This story is like mine ,my youngest sister and her daughter they abused me to z but I never replied them any word.. My reply to them was I told them Amen 🙏 And thank you Jesus.💖📖🕊️🕊️🙏🇺🇬 I forgive them from my heart ❤️
Solomon Mkubwa Nakuheshimu sana kwa status yako lakini kwahili kuwasifia wanawake waliovaa sululia tena wengine madhahuni na kusifia mawigi yanayowapeleka kuzimu,mali za yelizabeli unazisifia madhabahuni hapo angalia sana usipoteze taji yako
Mapambo hayo kwa wanawake ni mpango wa shetani kuwafanya kuwa watumwa wake,wambie wayaondoe waishi katika asili yao na watubu usipowambia hayo wakayaacha shetani wanasubili kuzimu.
SOLOMON MKUBWA, Nikweli unamuimbia BWANA Lakini hao waimbaji wako hawatubaliki kwa sababu wako kinyume na maandiko na mmoja amekaa kama kahaba mavazi ya kujisitiri ni bora zaidi 1Petro 3:3, 1Timotheo 2:8-9