Wazee what's going on in our country you have decided to put God away ooooh my saviour just came to save your people tutafika mbinguni tukiwa tumechoka 😮😮😮😮😮
😂😂😂😂😂mko n mambo but alitabiri kifo chake akasema after 5months you will be talking of chira so continue n msitukumbushe vitu sisis tumesahau tumelia tukachoka nkt😂😂😂😂😂😂
Kwendeni huko punda hizi, huyo mganga alikuwa wapi kabla ya kifo cha Chira? Wahenga walisema, kuzuia ni Bora kuliko kuponya, mbona hakuzuia hicho kifo?, haki mnaumiza familia ya Chira Sana, kwani Kwa hii dunia, Chira ndiyo wakwanza kukufa? Yaani hamchoki kuongelelea maiti? Mm najua ya kwamba, kifo ni kitu Mungu alificha kabisa, mtu hajui siku yake, na mtu hajui atakufia wapi? Tafadhali nawaomba, wachaneni hiyo familia iuguze kidonda pole pole, wacheni kutia msumari Moto kwenye kidonda tafadhalini, mhurumie huyu cucu, amezika wandani wake wote, hata muongee nini Chira alishakufa, hata fufuka, Chira alimaliza mwendo wake, je! ww?