Nauliza swali liwafikie hawa wasanii wawili: hivi huwa wanacukua mda wa kuangalia hii video ili wajue wapi walipotoka?? Wanao swali kama hili langu nipeni like
THIS IS PURE TALENT I love this song, nakumbuka nlikuwa ndo nimemaliza form 4 "if am not mistaken" nyimbo hii imetoka I used to really like it and till now naipenda.. now Am listening from Abu Dhabi UAE
Naikubali kuliko ngoma zote za stamina Vikombe vya umaminifu nisha vivunjia mtahani na vijiko vya ualifu nimeviweka kwenyesani daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa)