Тёмный

SUMU | Ep 01|. 

CHIBU TV
Подписаться 62 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Mapenzi yana nguvu saana na ndio mpaka leo hakuna majibu sahihi ya maswali yote yanayohusu mapenzi..
Binti alitaka kujenga ndoa yake kumbe jitihada zake mwishoni zilizuwa utata kabisaaaa 😔.
Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
Follow us on TIKTOK 👇
www.tiktok.com...
For Bussiness WHATSAPP ONLY
+255 764 397 711

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
HII TAMTHILIA Mr CHIBU umenikumbusha nasheed ya kijana wangu mmoja aliwahi kuniletea inaitwa SUMU YA MUHOGO 😂 Kwakuwa napenda sana stori nikambana maswali hii stori aliitoa wapi akasema ni stori maarufu sana hasa PEMBA ❤ Hatimae umeitolea filamu sasa ❤😂 Naangalia EP 1 nikiwa najuwa itaishaje 😂❤ MAONI: Tusitengeneze taswira mbaya. Chibu umeigiza kama mwenye msimamo wa dini. Wanawake kutembea namna hiyo hususan mke wako sio sahihi. Kuongeza mke ni sunna lakini kuvaa stara ni faradhi. Itakuwaje unataka kufanya sunna haliyakuwa faradhi hauzingatii!?.... 🙏 Hauwezi kutaka kuongeza mke mwenye anayevaa namna hiyo bila kuonesha juhudi ya kumlingania ktk mambo ya faradhi... 🙏 KAZI NZURI tulekebishe vijidosari
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Bismillah, haya tushanuia...twasubiri mwendelezo tujionee sumu itakavyotupeleka japo mashallah mwanzo tushauona na sio mbaya na siku njema huonekana asubuhi 👍
@MICKEYBOYHB
@MICKEYBOYHB 3 месяца назад
Tunaoamini chibu ni mtaalamu nataka niwajue
@JaneGeorge-pf2gr
@JaneGeorge-pf2gr 3 месяца назад
Nice ipoh vzr shabnam Big up ❤🎉
@WilsonWaliuba
@WilsonWaliuba 3 месяца назад
Episode mpya ...tunatarajia makubwa
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 3 месяца назад
Mim movie za chib zinanikatisha tamaa kwasababu haziishag km ufuo cjui ht uliishia wap
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 месяца назад
Wewe ndio hujui kuangalia move ati hujui mfuo iliishaje 😂
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 3 месяца назад
Nambie ni episode ya ngap mwisho Ili nitafute maan Kila nikitafuta sipat naomb nisaidie tafadhal maan mm cjui kuangalia movie kwakwer pia unifundishe namn Bora ya kuangalia movie
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 3 месяца назад
Mzuri sana ianamafunzo ila mtuobgeze mda kidogo jamani chibu tuleteyeni namba 2 Sasa daa Hadi raha
@MariamOmary-tt3fo
@MariamOmary-tt3fo 3 месяца назад
Tuna wakubali team chibu woteeee ❤🎉
@johnjulius6805
@johnjulius6805 3 месяца назад
Ni nzuri ila mazingira ni hayo hayo tu mbadilishe hata location
@directorkakoso
@directorkakoso 3 месяца назад
Kazi kazi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
🏆 Director wa Africa! Nasubiria kumuona #SANDRA atakaa nafasi gani ktk #SNAKE_BOY na #BIG_BOSS season 2. Yule ni miongoni mwa waigizaji wanaojituma sana. Kuhusu vipaji, na kuigiza wote umewafua vizuri sana lakini SANDRA kwa upande wa wanake anashindana na MWASI, na vidada 2 majina yao sijavikalili. Viko vizuri sana ktk uigizaji ❤❤❤ #SNAKE_BOY 🏆 #BIG_BOSS 🏆
@depsonathanase6275
@depsonathanase6275 3 месяца назад
Je suis le 4e depuis RDC
@bongotamuonline3090
@bongotamuonline3090 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 ❤
@mc_donya04
@mc_donya04 3 месяца назад
Hamna kupoa ni mwendo wa kazi tu
@Mkundaviral
@Mkundaviral 3 месяца назад
MASHAALLAH
@Innocentfilm
@Innocentfilm 3 месяца назад
Ni zuri sana . Ni wenu director Innocent kutoka Congo 🇨🇩👉🎉 naomba SUBSCIBE zenu wa dungu
@fguy2687
@fguy2687 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@JaneGeorge-pf2gr
@JaneGeorge-pf2gr 3 месяца назад
Nzuri sana shabnam upo vizuri❤🎉
@WaziriMahadhi
@WaziriMahadhi 3 месяца назад
Yani kwenye hii huyu dada anatisha sana anajua sana
@chardtz6218
@chardtz6218 3 месяца назад
🔥🔥
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 3 месяца назад
Ukisikia mkenya anaomba like jua yeye ni failure, Hana maisha
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 месяца назад
Kabisa😂
@ZenabAli95
@ZenabAli95 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@revocatusfelix-vg6xh
@revocatusfelix-vg6xh 3 месяца назад
Greatest bro
@cadmax_
@cadmax_ 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@paschalmtatiro9850
@paschalmtatiro9850 3 месяца назад
Story nzuri kaka Big up sana
@ZuratyAkida
@ZuratyAkida 3 месяца назад
Mzri msicheleweshe mwendelezo
@MohammedSaid-jm5hm
@MohammedSaid-jm5hm 3 месяца назад
Wa5 like zangu
@paschalmtatiro9850
@paschalmtatiro9850 3 месяца назад
🔥🔥🔥
@rojaasha7024
@rojaasha7024 3 месяца назад
🎉🎉🎉
@Tabiatz
@Tabiatz 3 месяца назад
Shangazi mmh umetowa sum kweli unaupendo wewe au😢
@MussakKhan
@MussakKhan 3 месяца назад
Leo na mim wa Kwanza naomben like zangu
@sharifahemed6328
@sharifahemed6328 3 месяца назад
😮
@SurprisedBurrito-vn8qv
@SurprisedBurrito-vn8qv 3 месяца назад
❤kazi nzuli
@machozimukucha
@machozimukucha 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 3 месяца назад
Aiseee😂😢
@qurthummrabdllh3635
@qurthummrabdllh3635 3 месяца назад
Oooh Mashallah hii tamthilia ni kisa kimoja ivi cha kiislam mtu na wifi yake ndani nyumba walikua mhawapendani wifi akaenda kununua sum ili amuue wif yake yan mdogo wa mumewake ila alivoenda dukan mwenye duka akampa dawa ya .............................😅 💖nachadhan tusubire tamthilia indelee😊 good job Mr chibu🎉🎉
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AllyYamkiwa
@AllyYamkiwa 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@calvinntinder3722
@calvinntinder3722 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@HusseinMandary
@HusseinMandary 3 месяца назад
Chibu hujawahi kukosea umetisha San kweny hii movies nakubal San
@KANUMBAMASINDE
@KANUMBAMASINDE 3 месяца назад
MOVE HII NI NZURI SANA ILA TUMFATILIE KANUMBA MASINDE ANA MOVE NZURI PIA
@KANUMBAMASINDE
@KANUMBAMASINDE 3 месяца назад
KAKA ANGALIA NYUMA AKO WAMEKUWEKEA SUMU USINYWE
@ummialey6391
@ummialey6391 3 месяца назад
Chibu unazingua humalizi tamsilia zako unaanza mpya ilimradi hatukufahamu jipange
@Matlida_karembo
@Matlida_karembo Месяц назад
Kazi nzuri
@DaudWest
@DaudWest 3 месяца назад
🎉
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 3 месяца назад
Bravo
Далее
SUMU | Ep 02 |.
18:37
Просмотров 19 тыс.
#kikakim
00:10
Просмотров 8 млн
OYUNCAK DİREKSİYON İLE ARABAYI SÜRDÜ 😱
00:16
Просмотров 2,1 млн
# Rural Funny Life Wang Ge
00:18
Просмотров 750 тыс.
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Просмотров 362 тыс.
maisha yangu ep 1
18:26
Просмотров 519
MUUZA UREMBO
9:08
Просмотров 554 тыс.
WAGENI WA KIJIJI | EP 01 |.
18:06
Просмотров 69 тыс.
WAGENI WA KIJIJI | EP 05 |
13:52
Просмотров 15 тыс.
#kikakim
00:10
Просмотров 8 млн