Тёмный
No video :(

Sunna ya kumuuwa mjusi Sheikh Abul khatwaab Abdallah humeid(Allah amhifadhi) 

Muslim Massoud
Подписаться 1,4 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@nuria7223
@nuria7223 2 месяца назад
Jazakalahu kheir sheikh
@SaidAlly-mj5iy
@SaidAlly-mj5iy 3 месяца назад
Shekhe Alla akuifazi
@user-hv8ns9wr6c
@user-hv8ns9wr6c 19 дней назад
Baaraka Allah fiikum, Tunaomba Allah akuhifadhi.
@saiditara7235
@saiditara7235 2 года назад
Tunakupenda Sana sheikh wetu, hata wakichukia wazushi na washirikina lkn sisi tunamuomba Allah akuhifadhi.
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
Naam...Allah amhifadhi na amlinde amiin
@SAM_163
@SAM_163 Год назад
😂 😂
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 2 года назад
Jazakallah khayr allah atuwekee wanawazuoni wetu inshaallah wanamchango mkubwa sana kwetu haswaa kwa kipindi hichi cha teknolojia
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 2 года назад
Baraka Allah fiiykum,,,
@ekishaschool163
@ekishaschool163 2 года назад
Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa yaa shaykhu ...
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
Amiin waiyyaka
@sunnimmongo3702
@sunnimmongo3702 2 года назад
Vyema sheikh wetu allah akujalie uendlee ktuelmisha
@abdillahsaid710
@abdillahsaid710 4 месяца назад
Kila la kheri sheikh wetu
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 4 месяца назад
Amiin
@asmajuma4960
@asmajuma4960 Год назад
Nailikua nawaogopa kweli kuwauwa awa wadudu nikajua unapata dhanbi kumbe ndounajijengea swawabu" shuklani sana ostadhi wetu Allah azidi kukuweka akufanyie uwepesi kwa kila lenye uzito mbeleyako🙏
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 Год назад
Amiin
@SAM_163
@SAM_163 Год назад
SHULE SHULE SHULE INAHITAJIKA... ACHENI KUUWA WADUDU WAWATU MNATUHARIBIA ECOSYSTEMS AMBAZO MUNGU AMEZIWEKA KWA STORY ZENU ZAKUTUNGA
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Год назад
Shida wanakaa ndan mm siwapend Sana " na mmeambiwa wanasum alafu mnaosema dhambi kumuua"
@fazalassalafy939
@fazalassalafy939 Год назад
بارك الله فيك
@aminachoga9266
@aminachoga9266 2 года назад
Shukran,shekh
@nurudinisalim290
@nurudinisalim290 2 года назад
nimefurah kwa darsa nzur ila mwenyew pia una kibri muombe m mungu akuondoshee
@salehabri6957
@salehabri6957 2 года назад
Hana kibri wewe muongo jahil
@nurudinisalim290
@nurudinisalim290 2 года назад
sawa mkewe jaahili
@salehabri6957
@salehabri6957 Год назад
@@nurudinisalim290 okay mtoto wa nje ya ndoa wee jahili msenge wee vose Maluku fidyadepota
@nurudinisalim290
@nurudinisalim290 Год назад
@@salehabri6957 sawa mtoto wa haramu
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 года назад
Allah akuhifdhe sheikh NA akulinde
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
Amiin..akhy mkarimu
@bernardsmaelsuleiman8869
@bernardsmaelsuleiman8869 Год назад
Barkallahu fiika ya sheikhekhana asate sana , mungu akulinde
@mussajidd9132
@mussajidd9132 Год назад
Alaaa
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 2 года назад
Nawa bonda Sana wajusi haswa hawa magong'ole .ila shekhe uckashifu madhhab tueleze yalio sawa natueleze yasiosawa na wanaofanya wanajijua usitaje madhehebu utafanya wanaotaka kuingia ktk dini yetu tuna kasoro.allah atufanye tuwe wamoja mpaka peponi inshallah.
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Hao mijusi ndio tulivyokuwa tukiwaita ni kweli sio yy Shekhe katunga hapana hao tunawaita hivyo mijusi kafir na Ukafir sio upande huo unaoufikiria ww mtu anaweza akawa muislam na akawa na mambo ya ki kafir Halafu binaadam hatisihi kuitana hivyo na ndio mana shekhe wetu ametumia kwa mijusi hivyo ndivyo iitwavyo mijusi kafir
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 2 года назад
@@fathimamct232 aujanielewa nimeongelea Mambo 2 madhhab namijusi kafiri (gong'ole)nandio maana kaweka hadi picha.unataka kusema shkhe kfnanisha na masufi?tusizidishe Mambo kwauwelewa wetu Allah atuongoze inshallah.🙏
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Mijusi ndio antena za wachawi, utumwa na wachawi kurekodi taarifa zote za nyumbani kisha uzituma kwa wachawi. Wafukuze kwa dua, au mafuta. Kama ni mjusi wa kichawi lazima apotee
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 года назад
Kuua viumbe wa Mungu ni koss kubwa sana. Viongozi wa dini tutetee uhainwa viumbe na sio kuleta hadithi za kusadikika. Kila kiumbe kimeumbwa kwa umuhimu wake
@swaumuyusuph6869
@swaumuyusuph6869 2 года назад
Wewe unayo ilim ya kubishana na aliye umbaa wee tulia pembeni sio kila uonalo unaliact. Nauyo sheikh apo sio kama ago maneno ameyatoa kichwani mwake.nawewe soma ufaham sio wajisemeatu kwani vipo viumbe wengine wameumbwa likini vinadhuru ivo vinatakiwa tuviuee
@salehabri6957
@salehabri6957 2 года назад
Silimu,ingia ktk uislamu ufunzwe hujui kitu
@abdulkabila787
@abdulkabila787 2 года назад
Kwan ww kunguni umuui au sio kiumbe
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 года назад
Eti mjusi unapuliza moto🙆‍♀️🙆‍♀️ hizi hadithi za abunuasi ndio tunadanganyana leo karne hii kila mtu anaakili. Hayo waliwadanganya nayo wale machifu wa jinga wa zamani. Haya jamii ambazo hazina imani hiyo na haziui viumbe hao wapole wasio na hatia basi wangekuwa wamekufa wote. Niambie basi tangu umekuwa ukaona mtu kafa au kaenda hospitali na kuambiwa kapulizwa na mjusi. Naamini sio kwamba kila mwenye kipara au anayevaa miwani kajaza material ya maana kichwani. Unaweza kusoma miaka hata 20 unajiza upotofu kama huu kichwani
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 года назад
@@salehabri6957 Ndio nije nifundishwe kuwa mjusi anapuliza moto?😀😀
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
Minilimpaga maji😀😀
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 года назад
Aisha.aisha.akili zako wazijua ww.kha..
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 года назад
Nimecheka nanguvu sana
@salehabri6957
@salehabri6957 2 года назад
Fanya istighfari kwa Allah
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
@@salehabri6957 ALLAH atanisamehe maana sikujua alafu mimi nili mkuta mjusi yuko nje ya ukuta haoni sura imepondeka nilimkuta kaganda kama siku mbili basi mimi nilichukua maji nikayateremsha kwenye ukuta kidogo kidogo basi akawa anaramba ramba yani sijui
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
@@salehabri6957 ndo mniombee duwa mungu anisamehe
@amirinestory
@amirinestory 2 года назад
Mjusi aliepuliza Moto wa Ibrahim uwake so mmoja,kwa Nini wengine tuwachukie,kila mmoja abebe zambi zake...
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
Hakki inapokujilia..si vizur kufanya inaad..tekelezwa na hupaswi kuhoji kwa sababu hujui ni IPI hekma ya Allah kwa waja wake
@amirinestory
@amirinestory 2 года назад
@@muslimmassoud2673 Ni vyema kujua zaid na kujua zaid Ni kwa njia ya kuuliza,nadhani Allah aliimba kila kiumbe kwa kusudi lake...na mjusi anakusudi la kuishi kwa hiyo Allah anajua zaid...Ila kosa lako la kuzini Ni kupondwa mawe Hadi kifo,Ila kosa Hilo sio kila mtu akionekana apondwe Hadi kifo...kila mtu Ana nafasi yake ya kufanya na kulipwa kwa anachofanya...kwa hiyo mjusi apulize wa kipind Cha Ibrahim Tena mmoja,Ina maana wengine walikuwepo na hawakupuliza,kupitia huyo ndio toka kizazi Cha Ibrahim Hadi let tuue tu mijusi kwa ajili ya kupuliza Moto,utadhani wote walipuliza sio haki kabisaa...labda kuwe na sababu nyingine ya kuwaua Ila sio hiyo
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
@@amirinestory akhy ilieolezwa ni hadithi ya Mtume(swallaAllahu alaihi wasallam)..tena ni hadithi sahihi..Allah amejaalia hivyo sunnah yake katika ulimwengu...mathalan tuchukulie ile hadithi ya raauul alaihi swalatu wassalam alopoamrisha wanyama watano wauwawe..ikiwemo panya..so hili ni agizo kutoka kwa Allah na hatuna budi kulifuata...Allah akuongoze na akuhifadhi ndug yangu..
@amanamaa2661
@amanamaa2661 Год назад
.
@alphageorge5563
@alphageorge5563 Год назад
Uislamu una ugomvi na kila kiumbe
@SAM_163
@SAM_163 Год назад
Hii dini kuielewa na kuifuata inabidi Usitumie hata common sense tulizopewa Na MUNGU . Yaani wewe KUBALI KUMEZESHWA NA KUKARIRISHWA KILA KITU 😂
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Год назад
Assalamuaikm Allah mtukufu ameamrisha kupitia hadithi kuwa baadhi ya viumbe wauliwe iwapo waleta dhara mfano mnge. Kwa hiyo baadhi mnaokomenti msiseme jambo nlikua hanna elimu nalo ni dhambi kubwA na mtakwenda kuulizwa
@Sheba4651
@Sheba4651 8 месяцев назад
Shetani 😈 ndio ana ugomvi na kila kiumbe, muulize Yesu kwa Yuda.
@swiddiqabubakar7500
@swiddiqabubakar7500 Год назад
Wala haijakuwa kibri Ibrahim kusema hayo maneno ila wewe shekhe ndo umeelewa makosa,Ibrahim kumjibu jibril maneno hayo hakumaanisha ana kbri kwanzaah,sababu SI maneno ya mashekhe kutunga ,vitabu vingi vimeeleza kuwa Ibrahim alijibu lakini alivyomaanisha Ibrahim ni kuwa ALLAH ndie atosha kunisaidia kwa Hali hii ,hakusema simuombi ALLAH chochote ,huku ni uzushi wako wa lugha shekhe ,acha kuingilia wenzako ,huezi beba ilmu yote ya dunia ,Kisha chako kizurii ila tu umeharibu kwa kutaja wenzako vibaya ,(الامور بخواتمها
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Год назад
Kitabu kikisema ndio lipo? Lazima kuwe na dalili katika Quran au sunna, sababu hakuna anaejua khabari za Ibrahim ila kupitia Quran na Sunna! Haya toa dalili ikiwa yapo.
@swiddiqabubakar7500
@swiddiqabubakar7500 Год назад
Nikiongezea kukujuza zaidi shekhe hata mtume muhaamad alipokuwa akipigwa mji wa twaif jibril alimjia hivyo hivyo nakumuukiza mtume nikusaidie ?mtume alimwambia hapana ,hivyo hivyo mtume alivyomjibu jibril ndivyo Ibrahim alimjibu jibril kuwa mungu mwenyewe ajua nnachhitaji zaidi, hakusema simuombi mungu hapo untudanganya shekhe ,twashkuru sku hizi watu wansoma ingekuwa ni wakati wa zmani tungkukubali mia FIL mia lakini rekebisha ulimi wako shekhe
@jumaalfane5225
@jumaalfane5225 Год назад
Huyu shekhe anamatatizo elimu ndogo hii ndio tatizo kubwa pia Allah kamnyima hikma
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Год назад
@@jumaalfane5225 kiboko wa makhurafi ndio maana mnamsrma vibaya... kibokooo huyo
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Год назад
Toa dalili sio maneno tu kaka, visa vya kirongo mnavyo vingiiiiiiiii, hapo shkh twasikia aya nyingi sana alhamdulillah, haya wewe una dalili???? Niliuwacha usufi sababu ya upuzi huu wa uongo, mashekhe wa kisufi WAONGO SANAAA...
@zizuzidu9803
@zizuzidu9803 Год назад
Sahih Muslim 2240. Sunan Ibn Majah 3231. Kwa Anaeamini hadithi za Mtume ushahidi huo: Shekh amesema kweli kuhusu kuua hawa mijusi ya nyumbani.. tuache kulopoka na kuanza kupinga tu bila kujiridhisha kwa kitafuta ushahidi...
@fazalassalafy939
@fazalassalafy939 Год назад
Baba wajua wasema nni wwe nyewenyewe kiswahili pia kuandika wakosea hizbi mkubwa wwe
@abdallahkabuto8392
@abdallahkabuto8392 Год назад
Kuita watu makhurafi ni hadithi sahihi,pia
@Better_Planet
@Better_Planet Год назад
Nadhani ipo sababu nyengine iliyosababisha Mtume aseme hivyo iwapo hadithi ni sahihi kweli. Kumuua kiumbe kwa sababu ya kosa la watangulizi wake ni kama...
@zizuzidu9803
@zizuzidu9803 Год назад
Anasumu kali sana
@zizuzidu9803
@zizuzidu9803 Год назад
Ndo maana anauliwa pia
@shawegally1367
@shawegally1367 2 года назад
😁😁🤣🤣eti kidude kiovu 😄😄
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 2 года назад
umizimu kidogo, dini kidogo giza mtupu. nendeni mkatafute kwenye yutube hii hii, masomo ya PROFESA WATER VEITH- MUINGILiANO KATI YA ISLAM NA UKATOLIKI, dini hizi ni za kimizimu
@vitalcool9266
@vitalcool9266 2 года назад
Kamwambie babako na mamake hayo maneno..
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 2 года назад
@@vitalcool9266 ni vizuri kwamba angalau coment yangu imeonekana na watu na baadhi wamejibu kama wewe ulivyofanya, sasa nakusisitiza fatilia hilo som la profesor water veith-muingiliano kati ya uislam na ukatoliki, nimemaliza usisieme kuwa hukuambiwa, maana mmezoea kutukana kila kitu kwenye mtandao
@vitalcool9266
@vitalcool9266 2 года назад
Huyo profesa wako kazaliwa juzijuzi TU hapa,na ni myahudi kama mayahudi wengine,wapo wengi hao na sio huyo majimaji pekee...lengo na makusudio na kuuvuruga na kuwavuruga waisilamu hasa wasiojielewa, SABABU UISILAMU ni ukweli na Haki kutoka kwa muumba wa Dunia na vilivyomo....hiyo kujifanya kuuchanganya na ukatoliki ni mbinu kama mbinu nyengine za kuwazubaisha watu ili ionekane haushambuliwi UISILAMU pekee,ila malengo yenu na Yao tulishayajua kitambo, SABABU mwenye UISILAMU wake(ALLAH)alishayabainisha kitambo tu,kabla ya huyo maji wako hajui kama ataletwa Duniani...
@vitalcool9266
@vitalcool9266 2 года назад
Mnaambiwa ukweli eti,mmezoea kutukana!...unatafuta kiki!..
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 Год назад
Masumbuko Maganga, we kweli mbwa wa kipagani,... Yaani mimi niache kumsoma na kumsikiliza ALLAH S.W, Mtume S.A.W, na WAALIMU(ULAMAA) wetu, eti nikamsome mchambia rungu mwenzio tena shetani kama wewe profesa water veith, nyoooo bora nife ktk dini yangu kuliko huo ufala wenu.
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Год назад
Huyu sheikh elimu anayo ila hekma Hana ,, Huwez ukawatoa akili masheikh wenzako hadharan huko ni kukosa hekma ,
@sunnimmongo3702
@sunnimmongo3702 Год назад
Km shehe naan tafadhali wataje mashehe sio makhulafi
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Год назад
Masheikh wengi wa kisunni huwapa vijana wao misimamo ktk majamb fulan lakin sio elimu ,, hawapewi elimu hupewa msimamo,,
@abiabi9353
@abiabi9353 Год назад
Yani mawahabi bwana.walipo ona darsa zao za maulidi na bidaa zimebuma wameona watuletee visa vya mijusi
@zizuzidu9803
@zizuzidu9803 Год назад
Shida zenu umezoeshwa visa vya uongo, mkiletewa hadith sahih mnazipinga kama mayahudi
@abiabi9353
@abiabi9353 Год назад
@@zizuzidu9803 Hicho chenyewe nikisa cha uongo.
@rahmamasudi9322
@rahmamasudi9322 7 месяцев назад
Sheikh Muqbil asema "ukimskia mtu asema wale mawahabi basi tambua mtu huyo ni mmoja kati ya watu wawili ima MUOVU au MJINGA . "
@abiabi9353
@abiabi9353 7 месяцев назад
@@rahmamasudi9322 Angalia jahili wakiwahabi mwengine sijui yupo dunia gani.sisi tunazungumza facts yeye anazungumza vigano hadith za pawkwa pakawa. Kwanza ujue tu ujahili wa mawahabi upo wazi sana wala huhitaji tochi.hivi kuna mtu mwenye akili akaamini kuwa mungu ana viungo au mungu yupo mahali maalum.huwo ni ujinga uliowazi nakukosa uwezo wakutafakari mambo kwa kina
@alphageorge5563
@alphageorge5563 Год назад
Andiko lipi linasema Ibrahim alitupwa ndani ya moto. Leteni vifungu vya andiko sio kupambana na mijusi.
@seifsalim5817
@seifsalim5817 Год назад
Kasome utaelewa
@alphageorge5563
@alphageorge5563 Год назад
@@seifsalim5817 kitabu gani na aya gani
@SAM_163
@SAM_163 Год назад
@@seifsalim5817 upo kifungoni Ndugu Mfuate YESU TU. Nafsi yako yenyewe inapata ukakasi kwa hayo masomo yenu ya kusadikika 😂
Далее
RADDI KWA MAZINGE, DR SULLE NA KISHKI
9:49
Просмотров 18 тыс.