Ce Mr je regrette kumujuwa Na tiyari amesha fariki alikuwa nakipaji Sanaa nilitieama mutu ka posty kipande cha mziki wake nikaamuwa kumutafuta bahati mbaya Kumbe kasha toweka dunia djama anajuwa tembea Na Beat Rest in peace Super Nay kazi zako zitakufanya uishi milele