Тёмный

SUPU DAY IMENOGA BUKOBA! WANANCHI WALIVYOCHAPA SUPU KABLA YA KWENDA KUIPOKEA TIMU AIRPORT 

Yanga TV
Подписаться 679 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 23 дня назад
Watatu naombeni like hapa wanayanga wenzangu👌👌💚💚🖤🖤💛💛
@Aviwamwadin-so3vy
@Aviwamwadin-so3vy 23 дня назад
Yaani hadi mwili umenisisimka unajua mm napenda timu yangu ikitoa sadaka kuliko kupiga muziki🎉🎉🎉🎉
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 23 дня назад
Nimependa supu day mikoani yanga kazi nzuri sana
@MagangaJuma-w9d
@MagangaJuma-w9d 23 дня назад
Mungu ibariki yanga baba inshallah tutashinda zd kagera daima mbele nyuma mwiko
@kolosii4351
@kolosii4351 23 дня назад
Maisha yenyewe ndio hayo siki hizi maisha mafupi mno.ukipata muda furahi usijinyime. Michezo na mikusanyiko kama hii inatusahaulisha mengi.
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 23 дня назад
Wananchi kwa supu😂😂😂
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 22 дня назад
Asante Mungu Kwa hii Yanga yetu Mungu atujalie zaidi kushinda na zaidi ya kushinda 🙏🙏
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Insha Allah kwa uwezo wake Allah 2tashinda
@Lameck-f5i
@Lameck-f5i 23 дня назад
Hii imekaa vzr pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote kwa kuwafurahisha wananchi Katikati mafanikio mliyoyapata kwenye uongozi wenu.MUNGU awape afya njema.
@athumanimuhammadam3601
@athumanimuhammadam3601 23 дня назад
Hongereni saaana chama langu yanga,,,inawaunganisha jamii ya watanzania pamoja. INSHAALLAH TUTASHINDA.
@maryfides591
@maryfides591 23 дня назад
Munyegere ge bukoba mwenyezi mungu hawasimamie katika kutafuta poit 3
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 23 дня назад
Yanga Raha Mungu ijalie club hi itawale soka la Africa
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 23 дня назад
Safi saaan pes za magoli y mama,shukrani kwa mashabiki
@PeruthNehemia
@PeruthNehemia 23 дня назад
Safi sana Chama langu 🎉🎉🎉🎉
@lazaronaata2249
@lazaronaata2249 23 дня назад
Yanga ndio maisha yetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-princs
@user-princs 23 дня назад
Safi sana yani iwe endelevu Kila mkoa ni supu tuuuuu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ yanga bingwa
@MariamZanzibari
@MariamZanzibari 23 дня назад
Mashaallah killa la kher Wana yanga
@DoiKamata-y6l
@DoiKamata-y6l 23 дня назад
Ukweli usemwe jezi nyeupe mumezingua mtavaa nyie wenyewe staff ,DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💚💚💛💛
@ZuhuraZiota
@ZuhuraZiota 23 дня назад
Kila la kher chama langu 💚💛
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 23 дня назад
...vizuri kurudishia jamii....
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt 23 дня назад
Safi sana hii inaongeza umoja na mapato maana watu wengi wanajisajili uanachama
@ElizabethFinias
@ElizabethFinias 23 дня назад
Raha sana kuwa mwananchi🎉
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Yanga bingwa inshaallah
@patridabernard9148
@patridabernard9148 23 дня назад
Hongera Kwa kuifaidi supu wengine wanatesekaa
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Daima mbele nyuma mwiko oyeee💚💚💚
@user-princs
@user-princs 23 дня назад
Safi sanaaa kazi iendelee kazi na dawa kam watu wanafanya kazi wale supu Yani ni humu tuuu .supu kwa maisha ya furaha ya yanga YANGA hoyeeeeeerr🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 23 дня назад
Dah Yanga Africa mmenishinda tabia Daima mbele nyuma mwiko 🇹🇿🔰✔️😂😂😂😂
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 23 дня назад
Mkiiga kunywa supu mjue mtafungwa na timu nyingi, supu ni ya wananchi tuuuu,
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 23 дня назад
Love yanga
@Anandezi
@Anandezi 23 дня назад
Supu day bukoba kumependeza sana
@AgenesMugema
@AgenesMugema 23 дня назад
Safi sana ,Aya ndo mambo yetu Wana Yanga. Kagera timu ya nyumbani ila kwa kesho mtanisamehe Wananchiiiiiiiiiiii😂😂😂😂
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 23 дня назад
Mungu azi kuwazidishiaaa
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 23 дня назад
Kilalakheri timu yetu Young Africans spos clab Daima mbele nyuma mwiko
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Yanga 🔥🔥🔥
@smeena3447
@smeena3447 23 дня назад
Yanga Raha,....Tz Raha
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 23 дня назад
Shukrani kwa mashabiki pesa za mamma
@SwidatyOmary
@SwidatyOmary 23 дня назад
Kila la kheri timu yangu pendwa💚💚💚💚💚
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Yanga oyeeeee
@Hapygideon
@Hapygideon 23 дня назад
💚💚💚💚💛💛💛💛hii ndio yanga yetu wakitubeza na wao waige kama wanahela😂😂😂
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 21 день назад
Mashaallah
@kejilekasonde2826
@kejilekasonde2826 23 дня назад
2:49 huyo jamaa akamatwee😂
@mosokaisack12
@mosokaisack12 22 дня назад
Yanga African
@Ba63828
@Ba63828 22 дня назад
Nakuona Privalidinho ukiongoza Bukoba Supu Day by YANGA
@WestChoma01
@WestChoma01 23 дня назад
This is how we do
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 23 дня назад
Ilayanga nilahayup❤❤
@AgenesMugema
@AgenesMugema 23 дня назад
Pata supu kwa Raha zenu Wananchi , Wataishia kusema supu za Bure kumbe sizitaki mbichi izi.😂😂😂
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 23 дня назад
Kuna watu watapasuka mioyo🤣🤣🤣🤣
@feruzifeisaly-nh6ou
@feruzifeisaly-nh6ou 23 дня назад
Daima mbele nyuma mwiko
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 23 дня назад
Sa mbona hamjasema mapema na mm nije😂
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 23 дня назад
Hii yote ni kwa ajili ya wachezaji wetu,kwa juhudi zao.
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 22 дня назад
💚💚💚🔥🔥🔥
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 23 дня назад
Baadae timu itapoteza mvuto zaidi hata mikoani,maana bila rushwa watu hawaji kuwapokea
@ashamkesa979
@ashamkesa979 23 дня назад
Duuuh kwamtazamo wako supu pia nihongo acha hizo wanasambaza upendo
@godsonmgisha5517
@godsonmgisha5517 22 дня назад
Daima mbele
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 23 дня назад
Iwe chapati harage🎉🎉
@maryfides591
@maryfides591 23 дня назад
Iyo salamu yenyewe sasa halivyoitamka😅😅😅
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 23 дня назад
💚💚💚💚💛💛💛💛
@Musaybah-v1h
@Musaybah-v1h 23 дня назад
Allaah Akbar
@BahatiSego
@BahatiSego 23 дня назад
💛💚💛💚💚💚👏👏👏
@Ba63828
@Ba63828 22 дня назад
nani kama WANANCHI!?
@EdwardMlundi
@EdwardMlundi 23 дня назад
Yanga bingwa
@BarakaMisanga
@BarakaMisanga 23 дня назад
daima mbele nyuma mwiko
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 23 дня назад
Utopolo wazee wa supu😂
@mirajiali3926
@mirajiali3926 23 дня назад
Makolo kamuulize kolo mwenzako makonda ndio alianzisha supu baada nyinyi makolo kupigwa kono la nyani
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 23 дня назад
Unaitaka sio!!utaishia kumeza mate tu😂😂😂
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
💚💚💛💛
@MwitaHamismwita
@MwitaHamismwita 23 дня назад
Wasio na jezi wasinywe😅😅
@barackmoses7003
@barackmoses7003 23 дня назад
Ulimbukeni tu
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 23 дня назад
Kubwa dua
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg 23 дня назад
Hii supu ya yanga inamaana yake kagera mmekwisha
@joshuamakamwa4359
@joshuamakamwa4359 23 дня назад
Pichani watu wancheza wimbo wa Yanga nyie huku mnaweza hii,huo ubunifu wenu mpaka mnaharibu kwanini msiwe mnaweka wimbo wa Yanga?
@RamseykingGenius
@RamseykingGenius 23 дня назад
Yanga 666k like here 🔋🔋🔋💚💚💚💚💚📌👉🏾
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 23 дня назад
Hayawani mnyama wazee wa njaa
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 23 дня назад
Maumivu Toka Pande Zawapi
@amanizavala
@amanizavala 23 дня назад
Utopolo wazee wa supu za bure
@Halima2023-br4ff
@Halima2023-br4ff 23 дня назад
💚🔰💚🔰☘️
@zakayomaendeleo
@zakayomaendeleo 23 дня назад
😂😂
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 23 дня назад
Mimi ni yanga ila simba bingwa
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 23 дня назад
We konokono matako mbuzi mambo ya yanga usilete neno simba mbwa mkubwa wew
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 23 дня назад
Wew ni simba tutolee kiwingu hapa hakuna mwana yanga anaeweza kusema hivo kwendraaaaaaaaaa😂
@AdinanKatunzi
@AdinanKatunzi 23 дня назад
Ratiba usajili wa wanachama kama ilivyokuwa imetolewa naona kama ilibadilika?Kyerwa District Council lini?@Allykamwe @privadino @abdulazizi jibu
Далее
STEVE NDARO NIMEMFANANISHA HUYU MWANAMKE KIMEUMANA
16:03