Тёмный

Swahiba Movie Starring: Mkojani & Chumvi nyingi 

MKOJANI GANG
Подписаться 253 тыс.
Просмотров 213 тыс.
50% 1

#maujanjaentertainmentmedia #mkojani
pesa utatua matatizo lakini pesa hufanya rafiki kuwa adui pia

Кино

Опубликовано:

 

12 апр 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 106   
@naizertelisha1863
@naizertelisha1863 2 года назад
Daaa muvi inaleta hisia za uhalisia big up wot walioshilik
@jumahamisi3343
@jumahamisi3343 3 года назад
Mbembe og movi kali sanaaaaaaaaa mkojani chizi snaa eti aharibu nyumba wakose wote😂😂😂😂😂
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 года назад
Nimependa neno Ikhtilafu alivolitamka Mkojani.
@saudahshabany1300
@saudahshabany1300 2 года назад
Nzuri sana jmn wallh nimeuzunika ila chumvi nyingi kanifrahisha🤣🤣🤣
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 2 года назад
Daah mwanaume kazi inatufunza life is hard
@shaniaabdallah1832
@shaniaabdallah1832 2 года назад
Ikopowa safisana maujanja
@noahchepe8036
@noahchepe8036 2 года назад
😂😂😂 mtu kama chumnvi nyingi katk maisha wapo
@azizityson2849
@azizityson2849 2 года назад
Aiseeeeee hili ni bonge la movie aiseee lenye uhalisiaa. Ahsant Chumvi nyingi uko vzr nimeinjoin nanimejifunzaaa swahiba."
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 3 года назад
mkojan jamn eti wakt tunajenga baba yak alikuwa anaenda disco 😂😂😂
@mariammbaruku6458
@mariammbaruku6458 3 года назад
Et nakupa 10000 😂😂😂😂 mkojan pepo utaisikia tu
@MosesPascal255
@MosesPascal255 2 года назад
Nakukubar sana kaka mkojani Mimi mdogo wake Adrian
@saidabdalla8927
@saidabdalla8927 2 года назад
😂😂🤣🤣😂😂😂Yan mkojan ety njoo uchukue buku ndan
@fahaddaniel4138
@fahaddaniel4138 3 года назад
Mkojani nawakubal namko gud sana na hizi movie ndo nzur Sana ila naomben muongez ubora tuu
@memomedia7167
@memomedia7167 3 года назад
Kazi nzuriii sanaa mkojanii
@alexsimonibutati1001
@alexsimonibutati1001 2 года назад
Kaz nzur
@masumbukokanisi8506
@masumbukokanisi8506 2 года назад
Mkojani unatupa rahasie endelea kudondosha vitu
@dinahshirima8515
@dinahshirima8515 3 года назад
Movie nzur sana mbe mbe og
@fareedmohd9195
@fareedmohd9195 3 года назад
Mungu awasimamie katika kazi zenu ndugu zangu keep it up 💪💪💪
@honestking714
@honestking714 2 года назад
Mwizi mtakatifu nimeikubari kaka zangu ila naomba namba yako kaka mkojani style ya uigizaji wako nimeipenda naomba kujiunga pamoja Na wewe
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 3 года назад
chumvi nying anabalaa eti bora nikupe kaz
@hamza_tz5718
@hamza_tz5718 3 года назад
Namkubali sn chumvi
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 года назад
Nzurii sana move
@madooog6067
@madooog6067 3 года назад
Watanzania tuna matatizo baada yakutowa msaada kabla ajafa unatowa kwenye msiba mtiani Sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢😢😢
@yongamangale2517
@yongamangale2517 3 года назад
Mwenye nymba anataka kumutomba mpangaji wake sababu yahamusin
@mohammedyabdalah3244
@mohammedyabdalah3244 2 года назад
ii mov ina bonge la funzo
@bellah7467
@bellah7467 2 года назад
Ndo vijana mjifunze hapo fanyeni kazi mwena hata kama ni kidogo kwenye nyumba au bank ndiposa ukaowe marafiki wana kutaka ukiwa na pesa kama hauna hufai kwao mie yasha nifanyia lakini nashukuru mungu mwenye macho aone na mwenye sikio asikie
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp 3 года назад
😂😂😂Mkojani mjinga eti nyumba naivunja tukose wote
@bellah7467
@bellah7467 2 года назад
🤣🤣🤣🤣😂
@mrnoely4848
@mrnoely4848 2 года назад
Nakubal
@fesalidaudi5956
@fesalidaudi5956 3 года назад
Sato umecheza powa mwanaa
@qassimayoub1616
@qassimayoub1616 3 года назад
Maanina Chumvi unazngua😄
@evayakobo4960
@evayakobo4960 3 года назад
Nc
@mankamushi9567
@mankamushi9567 Год назад
Iki kibaruti mimi nikipata hela ntakitafuta kinaonekanaa 😋😋
@kakaimma6977
@kakaimma6977 3 года назад
Nice mwanangu sato nakuona mbali
@judithtemba4430
@judithtemba4430 3 года назад
Jaman mi nimepend kamziki
@lucasmathias3315
@lucasmathias3315 3 года назад
Mpaka nimedondokwa na machozi 😤😤😤😤🙆🙆
@qassimayoub1616
@qassimayoub1616 3 года назад
Dah mtu akifa michango inajaa😢😢😢
@rokadialesilwa7966
@rokadialesilwa7966 2 года назад
Yan me move zangu za mkojn tu axaiv😂
@eliawankuru2070
@eliawankuru2070 3 года назад
Dah utu ni bora kuliko uzm
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 3 года назад
Dar wanangu nimejifunza k2 humu ndani 👏👏
@backunit24199
@backunit24199 2 года назад
Mkojanii cfa kwako
@mbembefilms5379
@mbembefilms5379 3 года назад
Maujanjaaaa fayaaaaaa
@justinkikoty486
@justinkikoty486 3 года назад
Movie qaliiiii
@kilungule
@kilungule 3 года назад
Ningeondoka na magunia ya mkaa 😂😂
@purityneema218
@purityneema218 2 года назад
Maskin kijana wawatu anaonewa
@rwekasimlizi2029
@rwekasimlizi2029 Год назад
Nawaelewaa
@kidekuletv5218
@kidekuletv5218 3 года назад
Noma sana
@tanzaniamusiclyrics611
@tanzaniamusiclyrics611 3 года назад
Haya bwan mbembe asante kwa link kazi nzuri ila sijakuona huku
@nasraathumani8148
@nasraathumani8148 2 года назад
Na Mimi nitumie link
@madooog6067
@madooog6067 3 года назад
Mkojani kwa pesa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saudanyagawa2749
@saudanyagawa2749 3 года назад
Hongera Sana
@babakey5395
@babakey5395 3 года назад
Good work
@mbembefilms5379
@mbembefilms5379 3 года назад
Kali kijana
@amisajuma6832
@amisajuma6832 2 года назад
Iko poa
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
Chumvi nyengi maneno mengi mlaghai🤣🤣🤣
@dancunshigali9912
@dancunshigali9912 Год назад
Mkojani wewe ni wazimu 😂😂
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 3 года назад
Nimejifunza kitu ✌️✌️
@allymawazo7189
@allymawazo7189 2 года назад
Chumvi 😂😂😂
@haidarymigeyo8902
@haidarymigeyo8902 3 года назад
Hila mkojan baati. Yake kakuta
@abibahussen777
@abibahussen777 2 года назад
Ikopowa
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 3 года назад
Jamaa mjingaa sana sasa kama mkeo anaumwa sana uzaa hata cm utibu mgonjwa
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
Hata angempeka spitali mwanzo akapata matibabu kisha akalipa baadae.spitali hawaezi kataa mshughulikia bila pesa
@kingoyefilm3959
@kingoyefilm3959 3 года назад
Kaz kaz
@jumahamisi3343
@jumahamisi3343 3 года назад
Movie inafundisha sanaaa
@emmakifimbo6792
@emmakifimbo6792 2 года назад
Ndiyo maana siitaji lafiki
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 3 года назад
Mbn kalipwa pesa kaikataa kisha anapija kelele anasema amezulumiwa
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
Hakumlipa waqti amemaliza kazi hii ni dhuluma tosha mtume amesema mlipe mfanyakazi wko kabla jasho halijakauka.
@amisajuma6832
@amisajuma6832 2 года назад
Kazi nzuri
@francesgabriel1634
@francesgabriel1634 2 года назад
Mpo good Sana Mazee
@razeenarazee1775
@razeenarazee1775 3 года назад
Bora uvunje mkose nyote 😀😀
@rhoidakalinga3043
@rhoidakalinga3043 3 года назад
Nawakubal
@memomedia7167
@memomedia7167 3 года назад
Asante kwa link mbembe
@sampachino5184
@sampachino5184 2 года назад
Mona hamuweki movies Maya ?
@oscarngalawa551
@oscarngalawa551 3 года назад
Wana kaz kaz
@wandindiactor766
@wandindiactor766 3 года назад
Pw kaka
@mwajumabalongelwa3274
@mwajumabalongelwa3274 3 года назад
ninzuri inafunza
@memomedia7167
@memomedia7167 3 года назад
Mbembe kazi nzuri ila kuweni makini mnapofanya kaz zenu kuna sehemuu kun stakiii sijui mmeliona tatzo
@saidikhalipha9710
@saidikhalipha9710 2 года назад
Wakati mwingne tuwe tunakumbuka tunayo yasema sio kujilaumu tu hyo alisahau kama alisha fanya kosa
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 2 года назад
Mzuri sana
@saidiramadhan5872
@saidiramadhan5872 3 года назад
Nice mkojan
@maulidhassan3922
@maulidhassan3922 3 года назад
Nan kaona jamaa kasameh buku
@iddiasan2857
@iddiasan2857 2 года назад
Saana tuuuu
@imelkutest1670
@imelkutest1670 2 года назад
Vbbbhju⁵yuyýuhyy677⁷0
@jonasmwasile3489
@jonasmwasile3489 2 года назад
Mechi ya leo ya smba
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 года назад
💯👍
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 года назад
Kazi nzr inafundisha
@jamaliddi595
@jamaliddi595 2 года назад
Xxxd3e
@jamaliddi595
@jamaliddi595 2 года назад
Bbuh f HBO bknbtnzbb8b6dbzen23bxckzlfvvb. B 'b
@hashimothman5605
@hashimothman5605 3 года назад
Hhhhhhhhh et eboo aludishe uhai wa mkee wako
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 года назад
Ebwana Huyu jamaa wamemchosha kishenz kumbeba Huyu dada
@sharifahussein8034
@sharifahussein8034 2 года назад
😀😀😀
@a.856
@a.856 2 года назад
👏
@sadichamis2115
@sadichamis2115 3 года назад
Gud
@jumahamisi3343
@jumahamisi3343 3 года назад
Mbembe wewe haupo kenge wewe
@fatumarashid356
@fatumarashid356 2 года назад
2
@abdulmalikmassoud2229
@abdulmalikmassoud2229 3 года назад
Shuhul za mbwa
@moxiamme7287
@moxiamme7287 3 года назад
Mtu mzima dawa
@noahchepe8036
@noahchepe8036 2 года назад
🤣😂😂mkojaniiii.
@dianamathias6271
@dianamathias6271 Год назад
Imenfundixha
@balegadaffi801
@balegadaffi801 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@cynthiaachieng8927
@cynthiaachieng8927 2 года назад
Ramogi efm
@madooog6067
@madooog6067 3 года назад
Watanzania tuna matatizo baada yakutowa msaada kabla ajafa unatowa kwenye msiba mtiani Sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢😢😢
@amisajuma6832
@amisajuma6832 2 года назад
Kazi nzuri
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 2 года назад
Co unajiregeza namna iyo utauponza 🤔🤣🤣🤣🤣
Далее
SWAHIBA |1|
11:39
Просмотров 8 тыс.
SIKILIZA PART 1 STARRING: MKOJANI/TINWHITE/NAGWA
15:32
Просмотров 127 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 37 млн
MSULI  Full movie
1:00:01
Просмотров 55 тыс.
DINGI MTATA | 3 | Mkojani, Mtinda, Kijiko
13:26
Просмотров 6 тыс.
ANKLALI [ MKOJANI ][ BAGA MTEME ][ SAMOFU ][ FULL MOVIE
1:11:00
MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.   #directorgozi. #hanifa.  #chado
1:55:27
MSITU WA ZAMANI  -- SESSION 1
31:29
Просмотров 118 тыс.
FAMILIA YA MZEE KICHECHE - FULL MOVIE (Ep 1-10)
3:14:46
Просмотров 142 тыс.
Starman #starman #superman #starmanmeme #shorts
0:16