Тёмный

SWAHILI WORSHIP MIX BY DANIEL SIFUNA, NI WEWE BWANA UJUAE, ULIONA SITAWEZA, MATIBABU, MSALABANI 🙏🙏. 

Daniel Sifuna
Подписаться 88 тыс.
Просмотров 295 тыс.
50% 1

KENYA, TANZANIA, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, SWAHILI WORSHIP SONGS (MIX) BY DANIEL SIFUNA.
KUNA TUMAINI KUTOKA KWA MUNGU KWA YEYOTE ANAYESIKIZA NYIMBO HIZI.
USIKATE TAMAA KWA YOTE UNAYOPITIA LEO HII.
YAWEZAKUWA NI MAZITO KWAKO LAKINI KWA MUNGU YANAWEZEKANA.
JIPE MOYO TU NA UMWOMBE MUNGU.
Kwa yule ambaye Hana kazi, naomba Mungu akuongoze Kila mahali unapoenda kutafuta ajira upate kibali.
Roho ya kukataliwa ishindwe katika Jila la YESU.
Wewe ambaye unafanya kazi na huoni mapato yako, Kila unapopata mshahara kunatokea janga Fulani pesa inapotelea huko., Mungu akuonekania na akumbuke maono Yako.
Kuna nguvu za Mungu KATIKA NYIMBO HIZI.
Ziimbe Kwa imani na umlilie Mungu. Kuna jambo Mungu atatenda ambalo wewe mwenyewe hutaamini.
MUNGU AWABARIKI.
Kwa shukrani/ support Yako MPESA 0746298853
Mungu AWABARIKI..
#swahili worship song
#Nyimbo za maombi
#christiansongs
#gospelsongs
#nyimbo za ROHONI

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 494   
@AminaNyadzua
@AminaNyadzua 2 дня назад
Amen amen barikiwa mtumishi wa mungu kwa nyimbo za upako
@AliceMarius
@AliceMarius 3 дня назад
Yesu shuka Umrudishe baba wafamilia James arudi nyumbani kwafamilia yake.Chochote kilichomshikilia kimwachie kwajina la Yesu
@الااتاتاا
@الااتاتاا 2 дня назад
Hallelujah Hallelujah praise God amen
@Zkerubo
@Zkerubo 15 часов назад
Maisha yangu nimekuaji wewe pamoja na familia yangu mungu utangulie❤❤❤❤
@Rachealfaida
@Rachealfaida 2 дня назад
Yesu. Shuka hapa saud arebia wanao tunateseka ushaka tutetee mikononi mwako tunaweka watoto wetu uwafinike kwa damu yako pia wazazi wetu uwaonekanie
@kishoshamakoye9015
@kishoshamakoye9015 5 дней назад
Yesu kristo Bwana wa bwana nilinde katika magumu ninayo pitia
@EvalineBisikwa
@EvalineBisikwa 3 дня назад
Hallelujah Hallelujah Hallelujah glory back to God
@jacklinaluoche9109
@jacklinaluoche9109 20 дней назад
Mtumishi nimekwa nikipitia mambo magumu sana,mume wangu alitoka nyumba sai miezi tano,watu wakwao wote wananipiga vita,niliwachwa na mtoto wa mwaka moja,kuna wakati nilitami kujiuwa na mtoto kwa nyumba,nilifika mwisho,lakini nilipoañza kuskiza nyimbo zako,sai nimejipata niko na nguvu na tumaini kila kitu kitakwa sawa.ukweli mungu ni muweza wa yote,vita ni vyake milele❤❤❤may God bless man of God
@RICHARDSOKANYA
@RICHARDSOKANYA 17 дней назад
Amen sister
@PAMELAOLUBUYI
@PAMELAOLUBUYI 14 дней назад
My sister, you have a God in heaven wachana nayeye your life is very important keep praying and in you, you are capable. What can you do as a person? What talent do you have ? Find something that you can do that can bring you money and joy time will tell. Let him go my dear move on
@Tecysony
@Tecysony 12 дней назад
Amen 🙏🙏 dear what God can no one can do continue praying and even fasting like from 6am to 6pm and God will release his favour to you 🙏🙏🙏
@irenkutai236
@irenkutai236 6 дней назад
It's all about you God
@JoelAngango
@JoelAngango 3 дня назад
God has a good plans with you my sister
@Judyse
@Judyse 25 дней назад
Number 1 and 5 😭😭😭..... Thank you so much for such a powerful worship
@jacquie329
@jacquie329 24 дня назад
Hallelujah
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 12 дней назад
Aaaaaamen ❤❤
@mbonimkamba3660
@mbonimkamba3660 9 дней назад
Yesu shuka unisitili na Aibu hii nitetee Yesu🙏
@ItikijaIddi
@ItikijaIddi 2 дня назад
Asante Mungu maana umenipa tumainipa tumaini jipya pale ninapokuwa ktk maumivu na kukata tamaa wewe hunihuisha. Asante Mungu maana wewe ni kimbilio langu.
@catherineine2114
@catherineine2114 День назад
Yesu shuka unipokanie
@arubiasuza3697
@arubiasuza3697 21 час назад
Bwana yesu nasongea nikueleze,ni wewe tu ndiye waeza ni sikiliza
@user-jg5cl7fu6z
@user-jg5cl7fu6z День назад
Nimetoka mbali na wewe usiniache,guza biasara yangu.
@alicekadenge
@alicekadenge 8 дней назад
Shaka yesu unisaidie
@SarahNdunge-vu3yp
@SarahNdunge-vu3yp 9 дней назад
Amen, Bwana shuka uniinue
@PaulineBosiborl
@PaulineBosiborl 5 дней назад
God bless u mtumizi wangu (baba usiniache pekee yangu baba
@millicentambuso3163
@millicentambuso3163 28 дней назад
Yesu shuka unipinganie unishindanie kwa kila jambo amblo liko mbele yangu,,shuka unilindie watoto wangu vijana wangu na ndoa yangu pia mikononi mwako 🙏🙏🙏🙏🙏 wazazi ndugu na dada zangu na rafiki wote na madui pia mikononi mwako 🙏🙏 nami apa Saud Arabia shuka unilinde in Jesus name 🙏🙏🙏
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 28 дней назад
Aaamen Mungu awe nawe siz❤❤❤
@millicentambuso3163
@millicentambuso3163 28 дней назад
@@danielsifuna7377 amen 🙏🙏🙏
@MartoMurithi
@MartoMurithi 28 дней назад
AMEN Amen Amen ​@@danielsifuna7377
@maureenwanjala6774
@maureenwanjala6774 28 дней назад
Nice song be blessed
@jacquie329
@jacquie329 27 дней назад
Hallelujah. He is the Lord of Impossibilities
@shabanelijah8250
@shabanelijah8250 5 дней назад
Hallelujah
@Roze-so4he
@Roze-so4he 19 дней назад
Yesu shuka ni kualezee ninayo pitia mimi😢😢
@leah606
@leah606 14 дней назад
Hallelujah 🙏🙏🙌
@seureikim4309
@seureikim4309 12 дней назад
Moyo wangu wahumie nitumiee msaanda mungu wangu
@EdinahMuronji
@EdinahMuronji 10 дней назад
Amen mchungaji wa bwana
@BrownyNaiyia
@BrownyNaiyia 18 дней назад
Amen.... amen...amen.
@PeterMalonza-yf8hb
@PeterMalonza-yf8hb 3 дня назад
Amen 🙏🙏🙏 shikiria hapo
@josphinemakokha6401
@josphinemakokha6401 11 дней назад
Barikiwa Sana mtumishi ya mungu
@DeniceOdhiambo-ws1od
@DeniceOdhiambo-ws1od 9 дней назад
Nahisi uwepo wa mungu.ubarikiwe sana
@AliceMarius
@AliceMarius 3 дня назад
Ninayopitia nimengi Yesu wangu usiniache poke yangu
@clareotuba4777
@clareotuba4777 17 дней назад
Hallelujah hallelujah 🎉❤iam blessed when lisern your songs be blessed ❤🎉
@masibojackline2519
@masibojackline2519 21 день назад
Amen thank you Jesus 🙏🙌🙌🙏❤️
@user-wv1pb8bi8p
@user-wv1pb8bi8p 19 дней назад
God this is my end manifest youself and my life as I listen to this song
@alfredmelli2115
@alfredmelli2115 22 дня назад
This worship 😭😭😭😭😭😭 this humble my heart powerful 🙏🙏🙏
@jacquie329
@jacquie329 15 дней назад
Hallelujah. Uliona Niko peke yangu ukamwambia Yesu shuka.❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KemuntoGladys
@KemuntoGladys 6 дней назад
Baba shuka katika maisha yangu Jehova nakuitaji 😢😢
@kevok.k2119
@kevok.k2119 4 дня назад
mungu na akubariki na uzidi kutubariki na nyimbo zako shallom.
@JohadenTalu
@JohadenTalu 16 дней назад
Shuka yesu
@MICAHOLOO
@MICAHOLOO 2 дня назад
Yesu shuka Kwa maisha,kazi, ndoa na jamii yangu😢😢😢
@faithe4063
@faithe4063 27 дней назад
Hallelujah hallelujah Asante kweli kwa worship nzuri kama hii ata malaika wa Mungu ushangilia kweli
@dominicmuoki
@dominicmuoki 16 дней назад
Aki nikisikiza huu wimbo unanibariki sana sana..hadi naona malaika wakinishukia Jesus!..mungu niponye moyo wangu nimeteseka vya kutosha..mungu atasikia kilio cha kila mmoja anayesikiza huu wimbo na uzidi kubariki huyu mtumishi. Amina .
@CherotichVerotyMumbavin
@CherotichVerotyMumbavin 19 дней назад
Amen 🙏🙏🙏🙏
@JaredNyakundi-h2y
@JaredNyakundi-h2y 20 дней назад
very powerful song and a blessed one thank u bro
@nicholaskorir9924
@nicholaskorir9924 16 часов назад
God bless you man of God
@user-zw8oy3kp2u
@user-zw8oy3kp2u 21 день назад
God bless you pastor nyimbo zako zinanibariki sana
@SusanMulwa-h8g
@SusanMulwa-h8g 11 дней назад
Amen Amen Glory be God
@JohnNyalo-l5n
@JohnNyalo-l5n 11 дней назад
Amen amen good song pastor
@Paulinenekesa-z1t
@Paulinenekesa-z1t 2 дня назад
Thanks very much for the song truly God is our helper
@GeofreyMwanzia-n8k
@GeofreyMwanzia-n8k 21 день назад
Amen 🙏 🙏 be blessed
@AnnaFwamba
@AnnaFwamba 11 дней назад
Asante ndungu kwa nyimbo za kunitia moyo katika magumu napitia
@JackilineKashindi-bj9iq
@JackilineKashindi-bj9iq 4 часа назад
siwezi peke yangu mungu wangu njoo unisaidiye
@PurityAkwivisa
@PurityAkwivisa 16 дней назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NanjalaLusweti
@NanjalaLusweti 18 дней назад
Uinuliwe katika huduma hii❤
@LupusWarriors
@LupusWarriors 25 дней назад
❤❤nataka kupona kwa jina la yesu
@LusianaLedua-u7v
@LusianaLedua-u7v 25 дней назад
Glory and praise to our God❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RedemptaKatheu
@RedemptaKatheu 9 дней назад
Amina barikiwa sana
@marykilonzo2991
@marykilonzo2991 10 дней назад
Amén and Amen
@elizabethmoraa5566
@elizabethmoraa5566 9 дней назад
Thanks man of God be blessed move on praising our Lord .
@RosemaryBarasa-o1k
@RosemaryBarasa-o1k 13 дней назад
I need you lord nipanguze chozi la moyo wangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@EuniceKamonya-s6z
@EuniceKamonya-s6z 2 часа назад
Najiona mshindi na mwenye matumaini ninaposikiliza na kuabudu pamoja nawe.
@celestinemungoe4177
@celestinemungoe4177 6 часов назад
So powerful.God bless you.
@everlyneG
@everlyneG 10 дней назад
Amen uliona sitaweza ukamwambia yesu shuka
@OliverAkwede
@OliverAkwede 3 дня назад
Amen and Amen thank you Jesus you know my life Jehovah I will continue praising your name Jehovah may the almighty God bless you all and may he add you people more anointing to worship his name 🙏🙏🙏 it really makes me to remember a lot🙏🙏🤱🤱🤱😭😭🤱🤱 stay blessed 🙏🙏🙏
@KevinAgabo
@KevinAgabo 6 дней назад
Ooh LORD MAY U REMEMBER US WHEREVERWE ARE MAY U STAND ON MY SIDE KILA WAKATI 🙏🙏🙏
@DorineOcholla
@DorineOcholla 17 дней назад
Amen 🙏 man of God...Mungu awe nawe siku zote
@ElizabethChiza-z7l
@ElizabethChiza-z7l 8 дней назад
Mungu akubariki sana kwa utume nashukuru sana nyimbo nzinanigariji sana nipo safarini MUngu atulinde tufike salama
@SusanMulwa-h8g
@SusanMulwa-h8g 11 дней назад
Amen 🙏 🙏 🙏 Glory be to God.
@PeterKihara611-q6r
@PeterKihara611-q6r 8 дней назад
Barikiwa my brother in christ
@CateNgei
@CateNgei 15 дней назад
Amen be blessed man of God
@EdinahMuronji
@EdinahMuronji 10 дней назад
Be blessed mchungi nyimbo zako naskilaza kila siku
@SusanDismas
@SusanDismas 16 дней назад
Be blessed man of God 🙏
@user-kq1ms2tw7t
@user-kq1ms2tw7t 4 часа назад
You blessed my heart. Be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Phal0ha-i1u
@Phal0ha-i1u 12 дней назад
Amen
@SusanKhakasa-w7z
@SusanKhakasa-w7z 22 дня назад
Aleluya yesu unastaili kuabudiwa 🙏🙏🙏
@denniskambi3647
@denniskambi3647 22 дня назад
Barikiwa sana Nabii Sifuna.Huu wimbo umeniguza roho sana ukanikumbusha jinzi yesu alitukufia msalabani tuweze kupata uokovu.
@alfredmulu2981
@alfredmulu2981 28 дней назад
Kupitia hizi nyimbo zako huwa nabarikiwa sana .....naamini mungu yuko endapo nitashindwa mungu atanitumia msaidizi in Jesus....God bless you mtumishi
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 28 дней назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ZidiKutendaMungu
@ZidiKutendaMungu 10 дней назад
I can't get tired of typing AMEN mtumishi
@jacquie329
@jacquie329 15 дней назад
Thank you Lord for your abundance Grace and Favor unto us. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@evalynekibutit6267
@evalynekibutit6267 21 день назад
Amen.Tumaini langu ni kwa Mungu Baba na Yesu mwokozi wa ulimwengu.
@BonifaceElijah-v9x
@BonifaceElijah-v9x День назад
Touching worship
@susanjamjam8900
@susanjamjam8900 26 дней назад
Amen Amen 🙏🙏🙏🙌🙌
@christinemusau7144
@christinemusau7144 16 дней назад
I love listening to u
@JentrixOkiya
@JentrixOkiya 26 дней назад
Kweli wewe baba yangu kwa magumu ninayopitia 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@ElizabethIsiyo
@ElizabethIsiyo 13 дней назад
Hallelujah,Asante,ukweli,kwa,worship,nzuri,pastor🙏🙏
@samuelkinyamu1186
@samuelkinyamu1186 26 дней назад
Songs of sifuna ever blesing
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 12 дней назад
Amen amen ❤
@petermunyala
@petermunyala 13 дней назад
Yesu shuka aki nagoja unipiganie
@user-pp2hu5uh5d
@user-pp2hu5uh5d 25 дней назад
Glory to God powerful worship
@Shamim-d8g
@Shamim-d8g 5 дней назад
Mungu Akubariki sana
@JOYNaswa
@JOYNaswa 20 дней назад
Mungu nitumie msaada
@DavidSimiyu-q1r
@DavidSimiyu-q1r 20 дней назад
Ubarikiwe my brother unanibariki sana sana
@danielkadenge6232
@danielkadenge6232 23 дня назад
Amina
@EstherNdunge-u1o
@EstherNdunge-u1o 6 дней назад
Hii wimbo ya matibabu ya dunia mbna supati
@Peterolengo
@Peterolengo 5 дней назад
Inatulisa moyo wangu❤
@virginiaimata3794
@virginiaimata3794 28 дней назад
Hallelujah Hallelujah Yesu hunastali kuhabudiwa
@user-dg6vf5jm5e
@user-dg6vf5jm5e 27 дней назад
Amen 🙏 Mungu wangu.Barikiwa mtumishi wa Mungu
@user-bi9lm6dg3i
@user-bi9lm6dg3i 27 дней назад
Amina sanaa. Yesu naomba shuka uone machozi yangu🎉❤❤🙏🏻🙏🏻
@user-xz6wb1hp7n
@user-xz6wb1hp7n 13 дней назад
Yesu shuka unipanguse macho haya nimechoka 😭
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 12 дней назад
Amen❤
@DaughterofZion-r5g
@DaughterofZion-r5g 21 день назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu...when am trouble l used to listen to these music l feel like am in heaven ❤
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 12 дней назад
Amen❤❤❤❤
@ronaldmotari1128
@ronaldmotari1128 24 дня назад
Kweri tu mungu wetu ni mwaminivu kuliko binadamu yeye alisema ndio nikapona glory to God
@jacquie329
@jacquie329 24 дня назад
Hallelujah. He is the Lord our Healer
@marydodea9518
@marydodea9518 17 дней назад
Wastahili kuwabudiwa na kupewa sifa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@KiroteDorcas
@KiroteDorcas 14 дней назад
QA
@tabithalsutaisuta6285
@tabithalsutaisuta6285 28 дней назад
Amen yesu shuka hakika bila wewe sitaweza be blessed
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 28 дней назад
Aamen
@Micah-q7f
@Micah-q7f 13 дней назад
Still available in Jesus name​@@danielsifuna7377
@JosephMutuamwanzia
@JosephMutuamwanzia 22 дня назад
God bless you
@EverlyneJuma-b4m
@EverlyneJuma-b4m 20 дней назад
Najipa imani na matumaini kua utashuka kwa ajili ya ndoa yangu yesu, japo yanaumiza moyo lakini yesu shuka nikuone ukitenda ili utukufu ukurudie wewe mungu,
@danielsifuna7377
@danielsifuna7377 12 дней назад
Aaaaamen ❤❤❤
Далее
ДЖЕФ  ЕЩЕ ПОМОГАЕТ!
09:37
Просмотров 480 тыс.
Ametenda/Yu Bwana by Jose Emodo Ft Pastor Collins Khisa
29:06