Тёмный

T.A.G NATIONAL PRAISE TEAM - MISINGI YA IMANI (Official Video) 

TAG - DMS
Подписаться 3,5 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

T.A.G NATIONAL PRAISE AND WORSHIP TEAM tunakuletea wimbo wa injili wenye kuleta faraja na kuadhimisha "Misingi Kumi na Sita ya Imani" ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G). 🙏🎶 Ucha Mungu utaimarishwa na ujumbe mzuri wa wimbo huu. 🎵✨
Wimbo huu umeandaliwa na Idara ya Muziki na Uimbaji (DEPARTMENT OF MUSIC AND SINGING-DMS) ya Kanisa la TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD chini ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara Taifa, Rev. Timothy Mwita ‪@timothymwita1238‬ na kamati yote ya uongozi.
Executive Producer: T.A.G DMS (Department of Music and Singing) ‪@tagdms‬
Audio Production: Chosen Records International (Mr. Samuel Mboya) ‪@samuelmboya1011‬
Video Production: T.A.G DMS (Media Team) ‪@tagdms‬
Lyrics:
Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
1. Biblia ni Neno la Mungu.
2. Mungu mmoja tu wa kweli.
3. Yesu ni Mwana wa Mungu.
4. Anguko la mwanadamu.
Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
5. Wokovu wa mwanadamu.
6. Ubatizo wa maji mengi na ushirika.
7. Ujazo wa Roho Mtakatifu.
8. Kunena kwa lugha mpya.
Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
9. Utakaso.
10. Kanisa ni mwili wa Kristo.
11. Makusudi matano ya kanisa.
12. Mungu ndiye mponyaji.
Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
13. Kufufuka na kunyakuliwa.
14. Utawala wa Yesu Kristo kwa miaka elfu.
15. Hukumu kuu ya mwisho.
16. Mbingu mpya na nchi mpya.
Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia,
Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha.
#DMS #TAG #CBC #Dodoma #Tanzania #misingiYaImani

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 121   
@lucassegesa1365
@lucassegesa1365 Год назад
Misíngi hii haitikiswi na Imani za uongo au potofu.Fuatilia na ujengwe juu yake hutapotea kamwe
@asifiwegadau9440
@asifiwegadau9440 2 месяца назад
Mungu bariki kanisa zuri la TAG bariki Tanzania 🇹🇿 bariki Afrika
@LaisKivuyo-n9k
@LaisKivuyo-n9k 16 дней назад
Mbarikiwe Sana DMS hakika hatutaiacha jina la yesu litukuzwe milele
@racksirva
@racksirva 10 месяцев назад
Naashukuliwe Mungu kwa kutupatia misingi ya imani ya kweli🙏🙏🙏🙏
@latiphajackson4901
@latiphajackson4901 Год назад
Ipo kumi na sita misingi ya Imani yetu kamwe hatutaiacha🎉🎉🎉🎉🎉🎉 May the Lord keep you my TAG ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@BenjaminKusaga
@BenjaminKusaga 10 дней назад
Najivunia T.A.G ubarikiwe sana
@ereshtchaku749
@ereshtchaku749 Год назад
The way to God! Mambo makubwa yako njiani...
@peterbayo4677
@peterbayo4677 2 месяца назад
Mungu awabariki DMS team kwa wimbo huu wenye nguvu za Roho Mtakatifu. Nilitamani huu wimbo ujae kila chombo cha muziki ikiwepo magitaa na drums. Maana ni mtamu kuliko nyimbo zote nilizowahi kusikia katika Kanisa letu
@timothymwita1238
@timothymwita1238 Год назад
Baba yetu pokea utukufu wote
@tagdms
@tagdms 11 месяцев назад
Ameen, Ubarikiwe sana Director tunamtukuza Mungu kwa ajili ya maongozi na malezi yako
@gaudencevalentino1406
@gaudencevalentino1406 10 месяцев назад
IPO kumi na sita misingi ya Imani,,Yetu,Ahsante Sana Kwa kutukumbusha,,,wimbo uliojaa mafuta
@georgewakota3510
@georgewakota3510 7 месяцев назад
Kwa kweli Mungu awabariki
@JenipherBora
@JenipherBora Год назад
Am blessed ❤🙏🙏
@BahatiMadata-vk6tg
@BahatiMadata-vk6tg 4 месяца назад
Ni wimbo mtam masikioni, wenye maana kubwa Kiroho kuweza kuponya nafsi zetu. Utukufu kwa Mungu juu, baraka kwa aliyetunga na wote mliouimba kwa viwango vya kuvutia katika Roho wa kweli bila kuwasahau wapigaji. Mko vitani maombi kiwe chakula kwenu mtafika mbali, mnakitu ninyi❤❤❤❤ All.
@barakakiponda5215
@barakakiponda5215 Год назад
Tunamtaka Bwana na Nguvu zake
@shimwelagodbless5561
@shimwelagodbless5561 Год назад
GOD BLESS YOU OUR TEAM
@NeemiaJob
@NeemiaJob Месяц назад
I'm proud to be TAG MEMBER❤️
@joshuamvena8925
@joshuamvena8925 Год назад
Nina jivunia kuwa mwana TAG misingi ya kiMungu hakuna kuchakachua neno hakuna janja janja ni Yesu tu ndiye anaye hubiriwa 🔥🔥🔥
@irenezachariah5511
@irenezachariah5511 Год назад
Amen... ❤
@dorcaskechegwa7432
@dorcaskechegwa7432 3 месяца назад
Proudly me 🔥
@annakazimoto5456
@annakazimoto5456 Год назад
Mbarikiwe saana!
@fashiongrace585
@fashiongrace585 Год назад
Ni yesu tu kuhubiriwa duniani(kazi ni moja tu 👏)
@happinesslukali2595
@happinesslukali2595 10 месяцев назад
Thank you for a reminder juu ya misingi ya imani, Mungu awabariki sana it is a nice song I love it
@caspraisejimbomkkasakazin7844
Ameen Ameen
@SaidahBerdon
@SaidahBerdon 11 месяцев назад
Wawowawo ❤❤❤
@gp.mavukiro6220
@gp.mavukiro6220 Год назад
Pamoja sana
@haggaiipyana3013
@haggaiipyana3013 Год назад
Keep waiting ❤❤
@MonicaKalolo
@MonicaKalolo 11 месяцев назад
Wuuuuuuuh Aleluuujaah
@happylarry5520
@happylarry5520 Год назад
❤❤
@daudideodath7940
@daudideodath7940 10 месяцев назад
HALLELUJAH UTUKUFU KWA YESU NAOMBENI MUWEKE INSTRUMENTAL ILI KWA TULIO VIJIJINI TUTUMIE BITI HILO KUIMBA WIMBO WETU
@happinessmuhanza2005
@happinessmuhanza2005 7 месяцев назад
Point
@amanimlangila9930
@amanimlangila9930 Год назад
We are waiting 😋😋
@emmanuelbitungwa766
@emmanuelbitungwa766 10 месяцев назад
Nimemuona Urio na Saxaphon yake...Mr.Comed😅😅
@KingTimoo
@KingTimoo Год назад
So wow
@haningtonkabuta9387
@haningtonkabuta9387 Год назад
Hii ni hatua kubwa sana katika huduma na kanisa letu la TAG.
@abihudiyohana469
@abihudiyohana469 Год назад
Hii nimependa, hakika TAG tuna Jambo na Mungu, stay connected
@MsombaAlpha
@MsombaAlpha Год назад
Kanisa zuri la TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD🔥🔥
@ruthaloyce1012
@ruthaloyce1012 Год назад
Wa TAG kazi kwetu, kushika na kuishi ktk Muongozo huo ili tuweze kufika mahali pa kumthibitisha Mungu ktk maisha yetu hapa Duniani
@festoshija2555
@festoshija2555 Год назад
# Mungu amewatumia .. inabariki sna
@bethshebaluvinga8507
@bethshebaluvinga8507 Год назад
😊 smiling through the entire song. Glory to God...nawapenda sana
@emasmwazembe5751
@emasmwazembe5751 Год назад
Mungu aendelee kuwatunza na kuwa na umoja
@naomikatharinaandrewmnkai6760
Am very proud to be member of TAG
@ngusen
@ngusen Год назад
Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki sana TAG - DMS
@happyngungur8868
@happyngungur8868 Год назад
What a song Mbarikiwe mnooo watumishii wa Jehovah Kaz yenu n njema mnooo
@collethacarlosy3605
@collethacarlosy3605 Год назад
Mbarikiwe sanaaaa wana wa Mungu
@habilimhapa
@habilimhapa Год назад
I am indeed proud to be a member of Tanzania Assemblies of God and DMS. Our ancestors have built us on the right and good foundations of faith
@annaombay9417
@annaombay9417 Год назад
Hongera National praise team - TAG
@dorcasnaftal4462
@dorcasnaftal4462 Месяц назад
Nimejisikia furaha sana kusikia huu wimbo wa misingi 16 ya imani yetu❤
@gracemliga2837
@gracemliga2837 Год назад
Asanteni kazi ni nzuri sana Bwana na azidi kuwatumia❤
@meshackleonard
@meshackleonard 5 месяцев назад
Naomba Mungu anisaidie niishi hii misingi mpaka atakapo kuja kulichukua kanisa lake. Mbarikiwe watu wa Mungu.
@estherjohnguna
@estherjohnguna Год назад
Bwana Yesu pokea Utukufu woteeeeee
@nuruhalinga9295
@nuruhalinga9295 Год назад
Hongera Sana praise team
@lawrencefrank1910
@lawrencefrank1910 Год назад
Wow powerful song 🙌🏼🙌🏼🔥🔥
@RachelElias-ln1to
@RachelElias-ln1to 5 месяцев назад
Utukufu kwa Bwana Yesu,, Mbarikiwe Watumishi , Kazi Yenu ni njema sanaaa ,,❤
@ericmacharius8837
@ericmacharius8837 Год назад
Such a great masterpiece ❤
@deodavid4587
@deodavid4587 Год назад
Hongereni sana hakika nimewapenda buree
@gaudencevalentino1406
@gaudencevalentino1406 Год назад
Am so blessed
@joshuafred744
@joshuafred744 Год назад
Be blessed asee kazi mnayofanya hakika inampa Mungu utukufu😊 mbarikiwe🙌
@tumainiisrael9378
@tumainiisrael9378 Год назад
Hallelujah Mubarikiwe
@ImakulataKaisile
@ImakulataKaisile 3 дня назад
Napenda huu wimbo sana. Tuendelee kusimama kwenye misingi ya imani
@sabinamsese
@sabinamsese 3 месяца назад
Najivunia kuwa tag mafundisho mazur na malezi Mazuri ya kuukulia wokovo
@AgnesKetto-ib9ui
@AgnesKetto-ib9ui Год назад
Wimbo mzuri hakika 🙌🙌
@GraceSospeter-gp5xo
@GraceSospeter-gp5xo 5 минут назад
Mungu Ambariki aliyetunga huu wimbo.
@Sam_JB
@Sam_JB Год назад
Ameeeeniiiii🎉❤❤❤
@gracekipunde7442
@gracekipunde7442 Год назад
One blessed church❤
@rahelfanuel1880
@rahelfanuel1880 Год назад
Glory 2 God💕
@PaulMwenda-w9v
@PaulMwenda-w9v Месяц назад
Na sasa wimbo umeenea nchi nzima kila kanisa linauimba
@tagyouthtv
@tagyouthtv Год назад
My God🙏
@joshuamganda7389
@joshuamganda7389 Год назад
glory to GOD,mbarikiwe sanaaa naona mnafika mbali sanaaaa
@victoreliah
@victoreliah 7 месяцев назад
When I hear this song It help me about my studies
@boniphacegospel6764
@boniphacegospel6764 Год назад
Napata furaha tele ndani ya moyo wangu ninapo sikiliza Wimbo huu wa Misingi 16 ya Imani yetu, Hakika MUNGU awabariki sana Praise Team 🙏🙏🙏🙏🙏
@OswardMwantondo-lp1fg
@OswardMwantondo-lp1fg Год назад
Wow KAZI nzuri Mungu awabariki mno KAZI yenu ni Njema
@sadockngaro
@sadockngaro 9 месяцев назад
Mbarikiwe sana
@noelkijoji7997
@noelkijoji7997 Год назад
So blessed,,with these pillars we won't be shaken may God strengthen us each and everyday!!!
@henrysamson2767
@henrysamson2767 11 месяцев назад
Good work, congratulation servants of God.
@JoelBonifaceMwantona-i1r
@JoelBonifaceMwantona-i1r Год назад
Very powerful
@freiterbetuel9985
@freiterbetuel9985 2 месяца назад
AMINA
@olivakalulunganya-io4sd
@olivakalulunganya-io4sd 4 месяца назад
Najivuna kuwa m TAG🙏🙏🙏🙏
@LazarobalamLazarobalam
@LazarobalamLazarobalam 2 месяца назад
Amen watumishiiii
@TaboraKitete
@TaboraKitete 2 месяца назад
Utukufu kwa Yesu
@rahelfanuel1880
@rahelfanuel1880 Год назад
Glory 2 God
@ngusen
@ngusen Год назад
I found myself coming back for the song this morning. Glory to God.
@asifiwehaule2228
@asifiwehaule2228 4 месяца назад
Inabariki sanaa
@Sir_Derick
@Sir_Derick Месяц назад
WHAT A NICE SONG...
@VoitaMbembela
@VoitaMbembela 10 месяцев назад
Hakika Kila mda nafrahia nakucheka pale ninapo ona TAG❤ inazid kufany vyema naamin sjapotea kua TAG
@pendosabanja9842
@pendosabanja9842 Год назад
Utukufu kwa Mungu
@jescakimbwili3275
@jescakimbwili3275 5 месяцев назад
❤❤
@elihurumamunisi1208
@elihurumamunisi1208 Год назад
Ongereni sanaaaaa
@emmanuelmponela9211
@emmanuelmponela9211 Год назад
Tunabarikiwa sana
@HopeMwampamba
@HopeMwampamba Год назад
Mbarikiwe watumishi
@dostovan5142
@dostovan5142 11 месяцев назад
Jamani misingi ya ukovu wetu ni ipi?
@gloryjoseph5627
@gloryjoseph5627 10 месяцев назад
❤❤❤
@DorcasAlex-kv1nh
@DorcasAlex-kv1nh 10 месяцев назад
Jaman ninapokuwa naimba huu wimbo Moyo wangu una furaha sana. 🤣😭😭🥰🥰🥰🥰
@danielaangel657
@danielaangel657 Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ZelaKibona
@ZelaKibona 2 месяца назад
AMEN
@JoshuaAlbert-k1r
@JoshuaAlbert-k1r Год назад
T a g inamisingi mizur sana
@winfridasegesa2155
@winfridasegesa2155 Год назад
Proud of you
@mbokamwakalinga796
@mbokamwakalinga796 5 месяцев назад
Utukufu kwa Mungu wetu. Wimbo huu ni msaada kwa Kila mwana TAG kuijua misingi ya Imani yetu. Hongera sana kwa kazi hii nzuri.
@agnessmgeni6696
@agnessmgeni6696 4 месяца назад
Mm sio mwana TAG lakin huu mwimbo unanibariki Sana, nausikiliza Kila siku
@emmanuelbitungwa766
@emmanuelbitungwa766 10 месяцев назад
Nimewafaidi mnoooo ktk kongamano la DMS 2023 November
@eliyajohn4388
@eliyajohn4388 Год назад
Mnaupiga mwingi kwa Yesu 🔥 🔥😍
@PauloPascal-pd7vu
@PauloPascal-pd7vu 5 месяцев назад
Amen, nmeipenda mungu ibariki kanisa la TAG
@LeahSengo
@LeahSengo 11 месяцев назад
Ooh!! Thanks Lord umekikumbuk kizazi chetu
@kemiivani2353
@kemiivani2353 5 месяцев назад
Elevan kasembe nakuona ongera sana mim editha
@rachelsabzal791
@rachelsabzal791 5 месяцев назад
Mbarikiwe sana watumishi wa mungu ❤❤
Далее
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
ZIJUE AINA KUU MBILI ZA UZEE-DR.BARNABASI MTOKAMBALI
10:43
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA  - KELELE ZA SHANGWE
10:57