Тёмный
No video :(

TAJIRIKA HARAKA KWA KUTUMIA SURATUL WAQIAH, ISOME KWA UTARATIBU HUU 

Miraj Khan
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Wasiliana na Sheikh Nassoro Muhammad kwa namba hizi 0717749113 kwa Maswali, ushauri na kwatiba za kuwatoa majini na vifungo mbalimbali
⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 745 661 711)
⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@wahidaysf1278
@wahidaysf1278 2 года назад
Shukran snaa ustadh. Allah akuweke pamoja na kipenzi chetu mtume (saw)wetu peponi in shaaAllah
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 5 месяцев назад
Na Mimi naomba msada wa duwa nisomewe hii kwasababu nimejikita kwenye ufakiri wa Siku nyingi sana kbx Jina langu naitwa Ibrahim Rajab napayikana inci jirani ya Rwanda Kigali
@anliomar4308
@anliomar4308 Год назад
Shukuran sana sheikh wangu mungu akubariki daima milele
@nasirshekhi6070
@nasirshekhi6070 2 года назад
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️🤲
@umutetsidayana5770
@umutetsidayana5770 Год назад
Allah akupe zaidi shehk wetu
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 5 месяцев назад
Shukrani kwako bwana Cheikh
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 5 месяцев назад
Awww habari zenu bwana Cheikh
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 года назад
بارك لله فيك
@hyasintajoseph2589
@hyasintajoseph2589 Год назад
Shukran hapo inabid hapa mtu ufunge mkanda khaasa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Tena mkanda wa chuma
@selemansalum
@selemansalum 2 года назад
Jazzakh la kheir maaljm
@wazirisalum8227
@wazirisalum8227 Год назад
Sheikh kwa hesabu ya chini hyo dua itachukua masaa 9 na dakika 8.
@Namanda425
@Namanda425 Год назад
Yani lau ukaanza sa moja asubuhi utamaliza SAA tisa.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
​@@Namanda425hatari kweli. Si utakufa
@user-uf6jm4jr7r
@user-uf6jm4jr7r Год назад
Allah akulipe kheri
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 2 года назад
Shukrani
@user-vf1su9ur5w
@user-vf1su9ur5w 2 года назад
Shuquran
@SaidKatuga-qx1xr
@SaidKatuga-qx1xr 4 месяца назад
Mtume ,saw kafundisha hayo kweli.toa ushahidi jamani usizungumzee tu
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
😂😂21mara 7 wallah ni kweli nimejaribu lakin nimedondka mama mzigo
@saidakunga2586
@saidakunga2586 2 года назад
a alahkum je muda sahihi ni upi
@asiamuhammad8718
@asiamuhammad8718 2 года назад
Sasa waqia 100 na zaidi si uchache wa yaqin kikubwa mtu kutengeneza mafungamano mazuri na mola wako kila kitu kitakaa sawa
@hussenkapaya4723
@hussenkapaya4723 2 года назад
Aalau aalam lakin ukifanya yanatokea kuwa na yakin
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
@@hussenkapaya4723 🙏🙏
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 2 года назад
IDADI kubwa sanaaa jamani 21 kweli kila mubiin Subhanallah nna dhiki sana ila hii nitaiweza kweli maana naamini dua bora niyakujiombea mwenyewe
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad 2 года назад
ondosha uvivu na kukata tamaa utafanikiwa inshaallah
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Sio idadi kubwa Jamillah ukilinganisha na shida zetu Wallahi! Tujitahid kumlilia Allah SW
@alidugesh
@alidugesh Год назад
Hamna kitu hapo.... Ni uongo mtupu.... Hamna hadithi wala aya la hi jambo.... Ingekuwa ukweli mbona maskini bado ???? Yeye mwenyewe angekuwa ame park Lamborghini inje..... Tusikubali kila kitu
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
​@@alidugeshwe huelew sis ni wavivu wa kusoma Qur'an hata angesema mara 2 bado si rahis mi nikaanza Tu usingizi mzito au naongea mambo ya ajabu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
​@@lifeinmiddleeast8179labda una majini
@alidugesh
@alidugesh Год назад
Subhan Allah hamna dalili kabisa.... Naomba tufate quran na suna...... Siyo hawa na Shiekh kupoteza watu
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze qran kusoma na kuandika gusa picha yangu hapo
@sondice3364
@sondice3364 6 месяцев назад
ivi vtu mnatoa wap jmn na mwenyez haikalfish nafsi kw ktu isichoweza
@SalumuMatimbwa
@SalumuMatimbwa 4 месяца назад
uyo anaye zungumza yeye tajir? hizo siri za surat waqiy na hayo matumiz mtume aliyaficha yeye ndio anatuambia
@foodcook3626
@foodcook3626 Год назад
Uliitumia wakati gani ?
@shabanihassan8678
@shabanihassan8678 Год назад
Waqia kwa speed ina dakika 5 unaisoma mara 22x 7 (mubin Za yasin) = 5 x 22 x 7 = 770 dakika Sawa na masaa 12.8 takriban masaa 13 ukisoma slow itachukuwa takriba masaa 15-16 Ivi sheikh iyo kweliiiiii ao unatuongopea 😅😅😅😅 Mhhhh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Yani mda mrefu kweli.
@zawaidarashid7099
@zawaidarashid7099 7 месяцев назад
Unaisoma muda gani sasa
@ramadhaniadinani744
@ramadhaniadinani744 6 месяцев назад
She masaa mangapi
@ramadhaniadinani744
@ramadhaniadinani744 6 месяцев назад
Wanaingiza pesa tu
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
mbona hupokei ukipigwa
@Abdulshakur_fawzan
@Abdulshakur_fawzan Год назад
sasa Kama nimuskiti muda ya usiku
@alidugesh
@alidugesh Год назад
Tuna omba dalili yake... Quran??? Au hadithi??? Wewe ni tajiri???? Wangapi wame tajirika na hi????
@Namanda425
@Namanda425 2 года назад
Mubin ni nini?
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Anamaanisha! Ukisoma suratu Yaasiin! Kuna aya ambazo mwisho wake kuna neno Mubiin
@fredquinbi2389
@fredquinbi2389 2 года назад
Maneno ambayo hayana dalili mwisho nilijua ni udalali tu,,umsomee mtu Ili iweje
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 Год назад
Dalili ya mvua au nn unataka!!
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Год назад
@@broumaiyyah8018 wanataka vya rahisi na hakuna walizoea kulala tu
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 Год назад
@@sfiaalanazi5479 we km iman ako haikufany uamin tulia tuachie sie tunao amin
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Год назад
@@broumaiyyah8018 kabisaaa mtaka cha mvunguni sharti ainame sasa hizo waaqia 21 alikuwq yuwataka aambiwe2 😂😂😂😂
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
​@@sfiaalanazi5479😅😅
Далее
JITIBU MARADHI SUGU YA MAJINI KWA SURATUL FATIHA 71
9:14
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
Паук
01:01
Просмотров 2,6 млн
SIRI YA KUPATA UTAJIRI
14:39
Просмотров 37 тыс.
NAMNA YAKUJITOA KWENYE MATATIZO NIHIVII.
20:35
Просмотров 14 тыс.
Tumia maneno haya kwa idadi hii utashangaa
7:42
Просмотров 14 тыс.
FAIDA ZA  SURATUL IKHILASWI,No.2
30:47
Просмотров 15 тыс.
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33