Team Othman! Walah Toka nianze kukufuatilia matokeo nimeyaona kias kwamba natamani cku Moja nikuone live, Allah aendelee kukuongoza update kuendelea kutupa ilmu
WALLAH shekh kheri nyingi na baraka tele kwako mafunzo haya huwezi choka kusikiliza kwan yana ladha tamu,nimekuwa nikifanya adhikar hz ulizotaja kwa uchache kumi swala ya subuh na Allah kaniepusha na mengi mengi mengi sana nionayo kupitia ndoto,na kwa kuniongezea ilimu hii namwomba Allah aniwezeshe kusoma kwa idadi ulotaja inshAllah nipate zaid, NAMWOMBA ALLAH AKUANDALIE TUNDA ZURI PEPON, ALLAHUMA AMINA
Asalaam aleikum she. Mimi nahitaji kuongea nawe kuhusu kusamehe Kwa simu kutokana na madhila yaliyonifika kutoka Kwa Binti yangu ni mazito shekhe sijui utanishauri nini.