Тёмный

TAMBO ZA ALLY KAMWE MBELE YA RAIS ENG. HERSI BAADA YA KUWAKANDA 6-0 CBE KWENYE UWANJA WA AMAAN 

Yanga TV
Подписаться 681 тыс.
Просмотров 59 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 163   
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 6 часов назад
Jamani ali kamwe alitabiri matokeo Maisha marefu kwako daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
@JoshuaeliasLugwisha
@JoshuaeliasLugwisha 3 часа назад
Umoja ndo kila kitu pamoja sana chama langu mungu awabariki kila mnapopiga hatua mungu awe mbele yenu one love wananchi wenzangu
@ChenchiKing
@ChenchiKing 7 часов назад
Noma Xana Yanga Daima Mbele Nyuma Mwiko💛💚💛💚🇹🇿🇺🇸🇰🇪🇨🇩🇳🇬
@strawberryrachii12-xh5bq
@strawberryrachii12-xh5bq 3 часа назад
💚💚💛💚💚💛💚💚timu yenye furaha zaidi duniani wengine wasubiri kufurahishwa na mkutano wa jumuiya ya madora😂😂😂Ally nshasema amiin
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu 4 часа назад
Big up msemaji kijana haongei pumba kama mabodoza wengine tunapenda sana uwepo wako Ali kamwe ndani ya yanga wananchiiiiii
@richardJanson-h7c
@richardJanson-h7c 5 часов назад
Hongereni sana young African tuna watazama tukiwa Australia 🇦🇺
@bonifacelisias7092
@bonifacelisias7092 3 часа назад
Habari ya huko mkuu
@joojombi2341
@joojombi2341 3 часа назад
Akhui Al watan mpo vizuri sana hongereni wananchi
@AminoKhalif
@AminoKhalif 4 часа назад
Yanga bingwa alhamdulilah wanayanga raha sana daima mbele 💚💛💚💛💚
@Diselakombo-du4xo
@Diselakombo-du4xo 11 часов назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Yanga bingwa wapewe maua Yao naisi raha jaman
@neemaisrael688
@neemaisrael688 3 часа назад
Hongera kwa wanayanga wote .ila twendeni tukalipie kadi timu iendelee kuwa active.🎉🎉
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 5 часов назад
Safi sana, Hakika wa Kushukuriwa ni Mungu.
@innocentntabanganyimana2111
@innocentntabanganyimana2111 10 часов назад
I am very so happy YANGA 💛💚 TEAM Tunaipenda sana I am here Der es salaam SINZA MORI
@nemamgona5886
@nemamgona5886 11 часов назад
Alikamwe nakukubal semaji salut kwako
@vinny.morales
@vinny.morales 3 часа назад
Ally Kamwe ni bora sana kwenye usemaji. Namshukuru Raisi Hersi kwa kuona mbali na kuamua kumuacha kwenye nafasi hiyo. Good job🔥
@RamseykingGenius
@RamseykingGenius 11 часов назад
Like za Shadrack isack boka ziwekwe pale 👉🏾------------------🎉🎉🎉✨✨✨💥🔋💪🏿
@minazsaid2470
@minazsaid2470 10 часов назад
MashaAllah mambo mazuri 😍
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 11 часов назад
Yanga bingwa 💛💛💚💚🎉🎉🎉
@shabanimnzava
@shabanimnzava 2 часа назад
Timu ya ubingwa mwaka huu inshaalah tutachukua makombe yote 💪💪 Young Africans
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 6 часов назад
NKANE MAN OF THE MATCH
@amaniomar1755
@amaniomar1755 6 часов назад
Imagine Nkane kageuka defender full back ya kulia 🎉🎉🎉
@choggysly3541
@choggysly3541 5 часов назад
Nkane kanishangaza ame improve sana
@sadallahnineka3078
@sadallahnineka3078 4 часа назад
Ka nkane kameutwanga😂😂
@KulthumAbdalla-l7k
@KulthumAbdalla-l7k 4 часа назад
Yaan alipoingia nkane nimefurahi mno
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 3 часа назад
Halafu kawatesa kuwapiga chenga 😂😂😂😂​@@amaniomar1755
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 4 часа назад
Nimefurahi sana tulivofuzu✅✅✅✅🔰🔰🔰🖤🖤🖤💛💛
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 49 минут назад
Nakuomba M/Mungu wajaalie afya nusra Viongozi na Mdhamini wetu Inshaallah
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 часов назад
Alwalton leo umechezeya makofi ya kamwe mamaa akakukande kwa kweli
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 10 часов назад
Yanga kali sana❤😂🎉
@tunumgoto9050
@tunumgoto9050 4 часа назад
Ally kamwe❤❤❤❤
@ManjaHisani
@ManjaHisani 3 часа назад
Injiniya anatisha mwenyez mungu amuweke sanaaaa
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 57 минут назад
Alhamndulilah wanainchi na wanachama tuzidi kumuomba M/Mungu sana Inshaallah
@amaniomar1755
@amaniomar1755 6 часов назад
Mwenyekiti katika ubora wake 🎉🎉🎉
@petereliyamagola6061
@petereliyamagola6061 4 часа назад
Nkane beki wa kutengeneza ananyanyasa watu kiasi kile! Kweli Yanga tuna kikosi kipana.
@rashidsimba3680
@rashidsimba3680 6 часов назад
Hongera Sana Young Africans
@jumaramadhani7457
@jumaramadhani7457 10 часов назад
Kaka naomba ufikishe xalam zang kwa please we2 2naomba goli10 kwa ken gold angalau 2kirud kwenye msimamo we2 2we na goli nyingi kwenye ligi ni ushauri wang2 kaka 🙏🙏🙏🙏
@RuhaziMasanja
@RuhaziMasanja 3 часа назад
Well ni muhimu nakuunga mkono
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 часа назад
KEN GOLD 😅😅😅😅
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 часа назад
Lazıma wafe nyingi
@RichEdison
@RichEdison 3 часа назад
Jifunze kuandika inaitwa wetu sio we2. Inaitwa tuwe sio 2we. Sema tukirudi sio 2kirud
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 3 часа назад
@@زيتونتنزانياTatizo hizi Club ndogo zinakamia sana, usishangae tukawafunga Ken Gold moja tu au mbili😊
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f Час назад
Mungu tunakushukuru kwa ushindi mnono
@AtupeleFesto
@AtupeleFesto 5 часов назад
naipenda yanga jmn duh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 5 часов назад
Yanga raha sana jaman ❤
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 10 часов назад
Kumbe una watoto zitapanda kusikia michango ya harusi❤
@SophiaManeno-hc8hl
@SophiaManeno-hc8hl 10 часов назад
Msemaj mwnye furah zaid dunian kuna wengn saiz roh zipo juu juu😂😂😂
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 5 часов назад
Yule msemaji mwingine leo natabiri litakufa jitu kwa mkapa 😄
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 4 часа назад
Yanga bingwa💛💚💛💚🎉🎉🎉🇹🇿
@LucyMshana-c9p
@LucyMshana-c9p 5 часов назад
Safi aliy hayo ndio mambo yetu wp
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 10 часов назад
Msemaji mwenye bahati kuliko wote sio yule mwenye gundu
@eduardogodian6861
@eduardogodian6861 3 часа назад
Basi Mr President anawasikiliza Vijana wake😊😊😊
@IdrissaSheumo
@IdrissaSheumo 3 часа назад
Masha Allah
@IddyNchama
@IddyNchama 3 часа назад
hongera sana mwenyekit wa wasemaji
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Goal 2 Aziiiiiiiiiiik🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@michaelmasalago8068
@michaelmasalago8068 4 часа назад
YANGA🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MohamedSomeko
@MohamedSomeko 11 часов назад
We we we we we we we .......semen nyinyiw Mimi sisem
@KulwaSalum-nd9uw
@KulwaSalum-nd9uw 6 часов назад
Yanga hiii sio poa dha😊
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 4 часа назад
Ombi langu kwa uongoz wa yanga naomba yanga iwe na wimbo maalumu Kila inapocheza lazma uimbwe
@Ambagaye
@Ambagaye 9 часов назад
Yanga imebomoa benki ya Ethiopia na kuiba milioni 30 za mama
@johnvedastus3079
@johnvedastus3079 2 минуты назад
😂😂
@johnmajiulaya
@johnmajiulaya 11 часов назад
Kaka Ally ni mmoja tu
@caroliaugustino588
@caroliaugustino588 11 часов назад
Asante Mungu alikamwe tamba baba
@eliaupendo
@eliaupendo 3 часа назад
Semaji tunae ulichotabili kimetoke asante mungi
@Estarmarwa
@Estarmarwa 4 часа назад
sijaona wakuwaxuiya yanga kwenda fainari boka aziziki chama mdasiri.nawengine yanga mpeni maaua gamodi na wazamin wake nnawapa taazari wapezani wa yangu yanga bele mwiko yuuma
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 7 часов назад
Hawa wakija kushinda kombe Dar-es-Salaam hatutalala itabidi turudi Iringa
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 5 часов назад
😂😂😂😂😂😂😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 4 часа назад
Kombe litakuja uko uko Iringa huna pakujificha😂😂
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 4 часа назад
😢😅😮
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 часа назад
Namna hiyoooo😅😅
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 часа назад
😂😂😂😂😂😂
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 часа назад
Hii Yanga Kuna siku Kuna timu zitakula goli 20😂❤
@ManjaHisani
@ManjaHisani 3 часа назад
Hiii yanga itafika wakati itakisiwa na caf magoli ya kufunga magoli mengi sana yapunguzwe yanga inatishaaaaa
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi 6 часов назад
Semaji mwenyekiti mwalimu..Alisema koro mmoja aliy kamwe mmoja ni sawa na ahmedi aliy 100...Sio mm ni koro mwenzenu anajiita dokta moòo😂😂😂😂
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Daima mbele nyuma mwiko is 🎉🎉🎉🎉
@OmaryMajivuno
@OmaryMajivuno 10 часов назад
❤❤❤❤ good 👍
@immaabukuku7180
@immaabukuku7180 2 часа назад
Yani simba kumbe walikua wana-enjoy iv na chama na hawasemi
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Goli la chama anaakili goal 1
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Goal la mudahir 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 3 часа назад
Wambie. Waseme. Wanavoongea. Makoloxioiiimama❤❤❤❤❤❤❤😂
@TokoroLoyal-uj7kd
@TokoroLoyal-uj7kd 2 часа назад
Big up yanga❤❤❤❤
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Goal ya mzizeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mudathirbaalawy813
@mudathirbaalawy813 7 часов назад
أنا مدينة العلم وعلي بابها 😂😂😂
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 4 часа назад
Fyèka fyeka
@DadyChandaula-xv8dj
@DadyChandaula-xv8dj 4 часа назад
Mkane Nouma sana
@RamadhaniIssa-b5j
@RamadhaniIssa-b5j Час назад
Mungu ibaliki tanga ibaliki Tanzania
@azizasaid7660
@azizasaid7660 9 часов назад
Wachambuzi wamewaponza watoto wa watu walitusema sanaaaaa 😂😂😂😂😂
@kongwaboystore
@kongwaboystore 4 часа назад
Kaka mkubw semaji letu hawaogopi jamani
@MkubwaMohd-h1p
@MkubwaMohd-h1p 11 часов назад
Pamoja sana
@TimotweyMalashi-r9y
@TimotweyMalashi-r9y 2 часа назад
Tena mamelod inatakiwa atueleza lile gori la Aziz ki ni halali au so halali
@JoshuaeliasLugwisha
@JoshuaeliasLugwisha 3 часа назад
Mimi kilio changu ni kwa ali kamwe tu kuna wadau wanaitaji kadi
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 10 часов назад
💚💛🖤🙏
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo 36 минут назад
Yanga bigwa 💛💛💛💚💚💚
@JumaDea
@JumaDea 5 часов назад
Hatari
@PeterSinjore-qj5fp
@PeterSinjore-qj5fp 11 часов назад
❤❤❤
@kadegeolesaita6515
@kadegeolesaita6515 Час назад
Yanga bingwa 🎉
@SamweliMohamed-g6q
@SamweliMohamed-g6q 3 часа назад
Majinius wawili yupo wapi manara
@AliKhalid-to8nv
@AliKhalid-to8nv Час назад
Hongereni yoang African
@MariaMsuku
@MariaMsuku 4 часа назад
💛💚
@AlexMbagata
@AlexMbagata 4 часа назад
Taasisi ikiwa na watu Bora kwenye utawala ubora pia unaonekana
@AlbathiLyuvale
@AlbathiLyuvale 4 часа назад
🔰🔰🔰🔰
@gasperemanuel6342
@gasperemanuel6342 2 часа назад
Mpila upo maneno yapo shidaa imekuwa kubwa sana Africa
@LucyMshana-c9p
@LucyMshana-c9p 5 часов назад
Saaaaa❤❤❤❤❤❤
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 4 часа назад
Nilianza kushangilia Goli la 4.
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Goals 17🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PayanaDaniel
@PayanaDaniel 6 часов назад
❤❤❤ noma sana
@PhillipoLaiza
@PhillipoLaiza Час назад
Ali kamwe tafasali tafuta na muna ya washabiki wawe wanashangilia kwa pamoja kama wenzetu mamelodi au
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 Час назад
Jamaaaa anajuwa allykamwe ungeondoka umuache manala asingeweza kashazeeka mala acholole kachora,udugu umala, ndio upuuzi gan
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉
@restitutamaganga993
@restitutamaganga993 5 часов назад
🎉🎉❤
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 4 часа назад
Mmekutana. Na vibonde
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 часа назад
Ali Kamwe leo kawa kama Miraji
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo Час назад
Alikamwe live 🎉🎉🎉🎉🎉
@kingpower8848
@kingpower8848 3 часа назад
Kama umesikia yuko wapi uyo K*m like apa
@FredThomas-ib4kc
@FredThomas-ib4kc 5 часов назад
Leo semaji imenipigaaa😂😂😂
@aminamacha5594
@aminamacha5594 2 часа назад
Tunajua kuuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🟢🟢💚💛💚💚💚🟢vp baba yako ana hali gani 🤣🤣🤣sipati picha unapofungua mlango
@Jennyjonh
@Jennyjonh 3 часа назад
Ali mpaka saut imekauka 😂😂
@ValentinLuísMualabo
@ValentinLuísMualabo 7 часов назад
Anakera
Далее
18-Year-Old Wayne ROONEY Was an Absolute BEAST!
10:20
Просмотров 864 тыс.
Unique deep painful back massage for Lisa #chiropractor
00:11
Yanga SC 6-0 CBE SA | Highlights | CAF CL 21/09/2024
12:21