Тёмный

TAMKO: CHADEMA WATANGAZA KUVAMIA BARABARANI, HATUA KALI MATUKIO YA UTEKAJI,"CHADEMA WOTE NJOONI DAR" 

Uhondo TV
Подписаться 602 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@chachacharles7763
@chachacharles7763 5 дней назад
Asante kumsemea SSH Nakubaliana na Mbowe kuwa SSH MUST GO IKULU NA MITANO TENA.
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz 5 дней назад
Bora kufa tukitafta Uhuru wetu kuliko kuishi kama wakimbiz Ndan ya Nchi Yetu hatukuzaliwa hapa kwa bahati mbaya ni mpango wa Mungu
@LinusMbeye
@LinusMbeye 5 дней назад
Must gooooooo forlever
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 5 дней назад
Apo mbowe umenenaaa umeonyesha ujasiriiiiii
@ChrisUromi
@ChrisUromi 5 дней назад
Nawaunga mkono makamanda
@RaheliMollel-v3d
@RaheliMollel-v3d Час назад
Jamani andamaneni sana Mimi nawatafutia wanangu ugali
@ajaymkali4842
@ajaymkali4842 5 дней назад
Aandamane yy sisi tupo bize na michongo ya kusaka noti mbele ukae ww mbowe na lissu bila shaka wakumbuka mbeya kipi kiliwakuta kenge ninyi...tena muwe mbele na wake zenu na watoto wenu na wazazi wenu
@BorySaronge
@BorySaronge 4 дня назад
Mbowe huo ubavu hauna usidangaye watu utapata aibu bure mbona huko nyuma hamkudai kama leo au hao waliopotea hawakuwa na umuhimu kwako
@DevidMarhias
@DevidMarhias 5 дней назад
Hapo mambo yamewiva 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-pw4bc7sr5y
@user-pw4bc7sr5y 5 дней назад
Mungu..NDIYE..Anapanga so binadamu
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 5 дней назад
Shida ya raiya wa tz ni waoga wanaogopa serekali
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 дней назад
Sio shida raha ya watanzania ni woga
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 5 дней назад
Mama Samia kuwa makin na hawa
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 5 дней назад
Yuko makini na wewe
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 5 дней назад
wela 🎉🎉🎉 pameanza kuchangamka 😂
@ajaymkali4842
@ajaymkali4842 5 дней назад
Jichanganye wakuchanganye zaidi
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 5 дней назад
Hilo limama lilipataje urais
@happymrema7487
@happymrema7487 5 дней назад
Hahahaha
@ShabaniAthumani-q3r
@ShabaniAthumani-q3r 5 дней назад
Aliuwa ndio akaupata
@cosein
@cosein 5 дней назад
😂😂😂
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 дней назад
Alipewa na mungu na yy ndio ataamua
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 5 дней назад
@@ShabaniAthumani-q3r makamu mpango anazubaa hatari ilikuwa fursa
@dwasinjebele5361
@dwasinjebele5361 5 дней назад
Nan aandamane yaan tuache kazi zetu akuuu
@obbykiki9652
@obbykiki9652 5 дней назад
Uhondo tv 😂😂😂😂
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 5 дней назад
Hasira haitendi haki ya Mungu ,Mungu amkawambia Israel mtanyamaza kimya nami nitawapigania, KUTOKA,14:14 ,naushari wangu kwenu wananchi mnaoshangilia niwaulizeni mnayo paspot, na Je mnayo viza, maana hao wenzenu wamejipanga wakiharibu wanapanda ndege wanaondoka, ninyi mtakuwa mmeshaumia , mwenye akili ayatafakari haya,
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 5 дней назад
Aliyekuambia Kuna fujo zitatokea Nani?
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 5 дней назад
Dea, huo ni utashi wako binafsi, wanayopanga chadema hayakuhusu ila yatakuhusu siku mtu wako wa karibu atakapotekwa na kuuawa itakuhusu. Lol
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 5 дней назад
ACHA UJINGA WAKO.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 дней назад
Nani alikwambia Israel inapiganiwa na Mungu nayo imekaa kimya? Kasome upya maandiko. Israel inalindwa na siraha za maangamizi. Dini zimeharibu.
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 5 дней назад
sawa subiria uone ,
@petermogha7025
@petermogha7025 5 дней назад
Kwa sababu gani haya CDM
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 5 дней назад
SAMIA MUST GO FOR THE SECOND TERM, SAMIA SULUHU HASSAN OYEEEE
@jamescyprian-jz7ft
@jamescyprian-jz7ft 5 дней назад
Mtashtukia JWTZ wanafanya zoez la usafi 😅😅 mtaani
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 5 дней назад
Ogopa sana mijituu isiokuwa na Elimuu ikianza kuandamana Kenya itasubiliiii
@hajjisanga789
@hajjisanga789 5 дней назад
Ndio nini sasa hivi sasa kumbe si mliandamana vp Tena mnaanza lini tujue kwahiyo mmeshindwa siasa au
@StevenMwakatebe
@StevenMwakatebe 3 часа назад
Mbowe hauna akili
@MusaJastini-po8hm
@MusaJastini-po8hm 5 дней назад
Siku ametangazwa magufuli kufa nchi ili nyamaza kimya vibaka walitakiwa waibe kwel kwel siku iyo lkn adi vibaka walikosa nguvu yakufanya uhalifu Ukimya na vilio vya Raiya wengi ulikuwa huna maana kubwa mungu tuongoze Kila mmoja haijue njia sahihi😢😢😢😢
@jumaothman9449
@jumaothman9449 5 дней назад
Raisi Samia mm naomba iweke huru Zanzibar na Kisha njoo utuongoze sisi wanao tunakuhitaji
@BakakarIMaulid
@BakakarIMaulid 5 дней назад
Yeye Anafata Sera Ya Ccm Awez Kuvunja Muungano Pia Iyo Unguja Karibu Watu Wote Asili Yao Bara
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 дней назад
​@@BakakarIMaulidalokudanganya nani eti wengi asili yao bara.... wazanzibar halisi unawajua kwa sura na rangi
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 5 дней назад
Kumeanzaa kchangamkaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 5 дней назад
Hii ndoshida yakuongozwa namwanamke wakigeni
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 дней назад
Kwani yy sio mtanzania yeye acheni ubaguzi nyie ... sasa ndo mnajionyesha makucha yenu
@jamescyprian-jz7ft
@jamescyprian-jz7ft 5 дней назад
Sikuiz SMG sio siraha tena bal ni SAMIA MUST GOO😅😅
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 5 дней назад
Macho kusambaa bhana
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 5 дней назад
Mama muwaji kisa madaraka hii tanzania sio kma rwanda au uganda
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 5 дней назад
Hawa wasenge damu yangu inachemka nkiwaskia wanavyo chocha wananchi. Nngeoenda nfungiwe chumba kimoja na hawa jamaa niwfinye . Wanafki wakubwa, yy mwnyw yupo madarakan miaka ya kobe.
@YasinIddi-zb3fi
@YasinIddi-zb3fi 5 дней назад
Acha kuwa danganya watanzania wewe huyo samia ndio alliye kupa uhuru w Kuongea akafu leo una waambia wanainchi waandamane kwleli?
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 дней назад
⏸️
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 дней назад
Kweli kabisa hawafadhiliki amesahau nyuma alikuwa wapi....
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 5 дней назад
Tunaona mengi humu ndani. Mi napita ruu.
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba 5 дней назад
ataenda wapi,hakuna wakujiudhulu katika ccm,kama wanaiba kura sio rahisi kujiudhulu
@emmanuelmahenge-z7u
@emmanuelmahenge-z7u 5 дней назад
Hamuwez bwana Tanzania syo Kenya
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 дней назад
Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia
@bigdad1816
@bigdad1816 5 дней назад
Ukiona kiongozi wa chama cha siasa analamba matako ya wazungu jua huyo ni bomu Ukiona kiongozi anaita Scotland yard jua huyo hakuna tofauti na Tumbiri why unanita Scotland ili swala sio la kukulupuka kama chamdea wako na ushaidi waende Hague full stop.Mr Mbowe kama mko na ushaidi mwende kwenye koti ya kimataifa muishitaki Serikali .
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 5 дней назад
Ulitaka Amlete mama yako Achunguzeee...? Hayaa yanayo tokea Tanzania
@bigdad1816
@bigdad1816 5 дней назад
@@ABBASIKANDULU-kl8zc wewe ni Tumbiri asiye na miguu na akili ujui kitu kuna kitu kinaitwa sabotage within the ruling party or external force ambayo inataka damu imwagike langu ni moja kama chadema Wana evidence ya watu wanaoteka watu wafunguhe kesi Hague,wachakuwa na kichwa kikubwa kimejaa maji
@ibnusleyyum9743
@ibnusleyyum9743 5 дней назад
simba kw maneno lkn panya kweny vita😂
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 5 дней назад
Samia huyo huyo ndio alikutoa jela wewe una Maisha. Mazuri unawadanganya Walala hoi ambao Hawana hata Uwezo wa Kula millo minne ya Kwa siku
@ChrisUromi
@ChrisUromi 5 дней назад
Alimtoa kwakosa gani kuma wewe
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 5 дней назад
Ukika kimya ndio hiyo milo inapatikana?
@HamidMnyau
@HamidMnyau 5 дней назад
Wapenda amani tutabaki home.Mungu obariki tz na zaidisha kufanya kuwa kimbilio la waliokosa uhuru ktk nchi zao.
@user-wc4eq9eh6f
@user-wc4eq9eh6f 5 дней назад
paka wew
@HamidMnyau
@HamidMnyau 5 дней назад
​@@ChrisUromindugu yangu kuna siku maneno yako na matusi yatakuhumu,lakini ukiwa mtaka hakika,huoni matusi yako yataamsha hasira kwa wengine? Kikubwa kaa chini tafakari busara ni ipi? Kwa huenda wewe ni mlala hoi mwenzangu.acheni mamlaka zifanye kazi yako huko siko tulikozoea ndugu yangu.tuwaone walibya walianza hivi hivi sasa ni miaka zaidi ya 10 hali Yao haijaimarika bali wanaendelea kuishi kwenye kauli ya wanhenga fahari wawili wagombanapo ziumiazo ni nyasi tuache kushabikia uasi kama kuna changamoto njia muafaka ya kuzitatua itumike ambayo haitaleta athari mbaya kwa jamii
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 5 дней назад
Ujinga wenu ndio huo. Hiyo njia haitawasaidia .msimtishi Mheshimiwa Samia.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 5 дней назад
Unaumwa. Kweli we fisiemu tutaandamana na kama ni kufa tutafua hapahapa
@user-bo2ms3pu6u
@user-bo2ms3pu6u 5 дней назад
Washenzi tu nyie mnauwana wenyewe kwa wenyewe ili muanze kuanzisha fujo tu
@henryndosi2002
@henryndosi2002 5 дней назад
DJ acha uongo utaponza nyumbu wewe utakimbia
@JabiriMfaume
@JabiriMfaume 5 дней назад
Hawa waoga kweli baada kusema nchi nzima eti, dar, da watu wapo bize nyie familia zenu mshahamisha,, mboe mwenyekiti wa milele cdm kuhoji mnashindwa, cku kinuke kwanza Ili tujue vurugu nzuri au mbaya, jeuri zenu nchi imetulia ingekua vurugu hao watu ucmgewaona
@signtv9848
@signtv9848 5 дней назад
hichi ndicho chadema milichokuwa mkikitaka.ila mimi kama mtanzania sintokubali kutoka barabarani eti kwa maslahi ya watu wachache.nitangoja uchungizi na ninaamini ya kwamba haki itatendeka
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 5 дней назад
No
@johngibson3089
@johngibson3089 5 дней назад
Kinukishe Mwenyekitiiiiiii....
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 5 дней назад
Sasa nyie ndy rais wenu mpaka aondoke hakuna kuondoka mtaondoka nyie na manyumbu yenu hy
@RamadhaniAlly-mi2dg
@RamadhaniAlly-mi2dg 5 дней назад
Wew ni kondoo
Далее
Школьник угомонил бандита!
01:00
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38
Kimeumana: Acting IG Masengeli lands in big trouble
8:44
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08