Wah 😮😮😮 kibajaji jamni leo kakuwa na kaba kama mwanaume nyie 😂😂😂 yani jeradi alikuwa anatetemeka adi macho cz akuamni kilichotokea 😂😂😂 😂 yani wangapi wanasubiri kibajaji na jerad wakutane walivyotoka maakamni tujuaje jamni tumpe kibajaji❤❤ maua yake 😂😂😂
Chande mwamuaga Mpenzi wake Kua Ametokezewa Safari ya gafla kwaiyo Ataitaji gari Lkn Safariyake Imeishia Police Bila mpenzi wake Kujua Jeee Mpenzi wake Atajiskia Vp Askie Kashikwa Bt all team Congratulation
Mnaongeza mijitu haina umahiri yana sifa nyingi mnautoa katika uhalisia wake baadae mpaka dimond na zari na Ali kiba na mayonaisi na manara na makonda na msukuma namanula na Azizi ki mtawaingiza nyie vipi!!!!!!!!!