MaashaAllah, ahsante sana kwa mafunzo yako yaani unafahamisha vizuri hata Sisi wengine wenye vichwa vigumu kufahamu basi tunafahamu, Allah akulipe kheir inshaAlah, Aamiin.
Happy new year habibty MashaaAllah napenda sana hio paste yako😋😋 mm hua naongeza na tui ya azam wallahi hua tamu ajab pia asante kwa ujuzi❤️ sijawahi roweka kuku hivi.. Pia nitajaribu
This is Absolutely Beautiful!!! Pls, list the ingridients both in English and Kiswahili for ease of proper understanding for non Swahili speakers. Thank you
Asante kipenz😊.,pirika tuu za hapa na pale hivyo nikashindwa kurudi tena kwa wakati niliotegemea😊.,inshaaAllah Allah atupe uhai nimerudi tena kuwa nanyi😍
Unaweza kutumia mkaa wa aina yoyote kupata huo moshi, and yes unaweza kufukiza kama hivi kwenye mandi isopokuwa kwa mandi utaweka ganda la kitunguu maji badala ya hicho kibaluli..i hope hii itasaidia😊
Utapata maduka ya viungo vikavu.,na kama utakosa basi unaweza kuweka kotmir fresh tuu kwenye maji lakini wakati wa kumtoa kuku hakikisha unayatoa majani yote kwenye kuku☺️