Тёмный

TANZANIA WAWAPIGA BAO ULAYA 

TanAfrica TV
Подписаться 35 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@jsmtupoa
@jsmtupoa 4 года назад
Mzee hadi akiondoka sheria kama hizi na nyingine nyingi zinazotulinda kama Tanzania ziwe zimeundwa na utekelezaji uwe kwa asilimia mia moja. Tusikubali tena kuwa chini ya hawa mabeberu. Mungu ibariki Tanzania .
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Na hapa hakuna kulala kiongozi
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 года назад
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@nyantabathemonster6332
@nyantabathemonster6332 4 года назад
Weed jamaa unanifuraishaga kila sehem nakutaga hii comment yako
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 4 года назад
Hata mimi huwa namkuta sehem nyingi xna humu Utube ni mzalendo wa nchi yke xna
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 3 года назад
Mungu bariki tanzania vyombo vya ulaya huo nfiyo ukombozi pigeni marufuku. Watanzania wenzetu walio ajiliwa na ulata ndiyo chanzo cha waruwengi kumchukis kikeke na kumdi lake la watanzania magaiidi. Tuko hutu sasa kama wazungu wasiotaka mambo yao yaingilliwe.
@eddymeshack
@eddymeshack 4 года назад
This is very nice...although am a Kenya..I realy envy Tanzania policies..
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Afrika ni moja na sisi ndio waafrika tunapswa kuwa wamoja
@estarjuma7983
@estarjuma7983 4 года назад
JAMANI siwabadilishe tu KATIBA abaki tu Rais wetu Magufuli
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 года назад
Na bado tu, vibaraka wa mabeberu wataisoma namba, Hii ndo Tanzania Mpya.
@maryamshaibu1918
@maryamshaibu1918 4 года назад
Ok. Safi sana
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 года назад
@@maryamshaibu1918 kabisa, mpaka serikali kuamua kuchukua sheria hiyo imeshalichunguza nakugundua kasoro.
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 года назад
Mungu ailinde tanzania yetu mpya iwe na nguvu ya kuheshimika na endelevu daima ikue maradufu kiuchumi Amen
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Mabeberu wana mbi mupya kila siku
@johnkassonta3092
@johnkassonta3092 4 года назад
Tena wakome kabisa kuifuatilia Tz ye2.
@Tiffany340
@Tiffany340 4 года назад
Safiii.. Magufuli ni kiboko.. kwenye Tanzania 🇹🇿 yetu tukikwepa. BBC tutawashinda mabeberu
@Nyanda506
@Nyanda506 4 года назад
Safi sana TanAfrica..Spain tunakupata vizuri sana
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 года назад
unafanya nini huko Spain, wanaziki hao, rudi nyumbani kaka.
@babanjuru8738
@babanjuru8738 4 года назад
Hapa kazi tu
@AIG7187
@AIG7187 4 года назад
Africa rising Tusonge mbele#Watatuelewa tu
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Pamoja tunaweza
@nasserrostom6340
@nasserrostom6340 4 года назад
Safi sana mbona korea kaskazini kuna chanel 3 tuu za tv pia za serikari alafu mitandao ya kijamii hakuna sasa naludi nyumbani kwani africa kuna nchi moja tuu Tanzania peke ake mbona wameishuparia sanaa mimi mwenyewe nilikuwa najiuriza sana awa jamaa wana mpango gani na tanzania? Nilichojua wanataka kutuvuruga tuu hawana lolote hawa bora iwe kama bulundi kwa machine marehemu nkurunzinza mbona walikaa kimya pia wajue watuwahitaji wala habari zao hatuziitaji zinatutosha za kwetu; pia jamani naomba kitabu cha historia kifutwe kimejaa uongo mtupu kiandikwe upya kuanzia mwanzo hadi mwisho
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Elimu kama hii inahitajika ili pia watu wajue upade kwengine tofauti na waliouzoea
@markomkimbo7532
@markomkimbo7532 4 года назад
Hata mfumowa wa elimu uundwe upya
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 4 года назад
Jpm Kama zote 5 ++++
@nicromezb
@nicromezb 4 года назад
Tz on fireeeee 🔥
@kenethfanuel4015
@kenethfanuel4015 4 года назад
Lissu ni kibaraka wa wazungu. Isitoshe anatumiwa na mabeberu.
@robertterry8909
@robertterry8909 4 года назад
Tanzania tunajivunia
@josephmsanga6751
@josephmsanga6751 4 года назад
Nimeipenda iyo Sheria! Tanzania Safii! Mziwanda oyee
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Tanafrica mbele daima
@jkaaya3639
@jkaaya3639 4 года назад
Is true tanzania imefanya vizuri sana
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Asante sana kwa kuliona hilo
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 года назад
Tanzania 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hajjiyasin4255
@hajjiyasin4255 4 года назад
Rukia Asc?
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 года назад
@@hajjiyasin4255 what U mean? I'm Tanzanian
@hajjiyasin4255
@hajjiyasin4255 4 года назад
Rukia lm from kenya l was saying Asalamu aleikum?
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 года назад
@@hajjiyasin4255 waleikum salam shukrani
@hajjiyasin4255
@hajjiyasin4255 4 года назад
Rukia shukran vpy tanzania? Napenda tanzania sana.
@geriadsuku1237
@geriadsuku1237 4 года назад
futa sheria za hovyo zote ndio mwarobain kwa nchi yetu
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Tena hao Deutsch Wele wameanza kuandika uongo juu ya tanzania wanasambaza Google Yaani hawa majamaa weupe walizoea kutugeuza shamba la kuchuma pesa africa, watuache, kabisa na nchi yetu
@pendael02
@pendael02 4 года назад
Hata mie niliona habari zinapitia google za uongo.
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
Hata mimi mimekuwa nikifuatilia hivi vyombo vya habari vya nje kwa umakini mkubwa baada ya kugundua hila iliyojificha ndani mwake. Kwa nini kwenye lile swala la korona walikuwa wanaishambulia sana Tanzania ilihali korona ikiwa inateketeza watu huko kwao? Hizi ndizo hila wazifanyazo ili waendelee kuchonganisha watu na kupenyeza mambo yao. Kwa mtu atakayeifuatilia sheria hii juu juu lazima atailamu serikali lakini kwa mtu mfuatiliaji wa vyombo hivi, atajua kuwa hii sheria imekuja wakati muafaka kwa ajli ya maslahi ya nchi yetu.
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Wengi huwa hawafahamu hili swala wamiliki hao wenye vyombo hivyo vikubwa ndio wenye huo mradi wa covid19 moja wao alijitokeza jana Akasema kuwa corona itamalizika mwishoni mwa 2021 Mpaka sasa ni China pekee ndio Alitengeneza faida ktk dili hili la covid
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
@@tanafricatv1301 Ni kweli. Watanzania wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu utanzania wao na uafrika wao. Ni muhimu wajue adui yao ni nani na wamkwepe kwa akili kubwa bila ushabiki. Naishi huku kwao na ninawafahamu vizuri.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Ni kweli Wao ni wafadhili wa wanasiasa wanaowaahidi kuwa wakipata nafasi watawaruhusu kupata aridhi ama madini Pia wakibahatika kuleta vita kinachotokea ni kama kile cha Libya, Afghanistan, Iraq na Siria wakishaleta machafuko wanaanza kuchota mafuta wala hawajengi chochote na wala utawasikia wakiongelea tena hali ya nchi hiyo wala kusikia wakiongelea democrasia waliosema inahitajika ndani ya iyo nchi imefikia wapi wanapiga kimya ila wakisikia kuna kiongozi anafanya vizuri afrika, wakataka kumrubuni kwa pesa akawatolea nje watamuandama wataandama nchi yake utadhani waliiumba wao.katika nchi zao kuna watu wanalala vituo vya train huwezi ona wanaongea hilo.yaani hawa jamaa wanafiki kuliko ibilisi
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
@@juliethhouseofdesigns147 Umesema vyema ndugu yangu tatizo ni watu wachache sana wanafahamu siri hizi. Lkn nafuraha taratibu taratibu watu wanaelemika
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
@@temuemanuel4671 wengi wa watanzania au waafrica wanaoishi nchi za nje walikuwa hawasemi wakirudi nchini wamevaa bring bring wakapewa sifa wanaona waliko kuzuri kuliko nyumbani. Hii ndio iliwapa nguvu hawa watu kuendelea kutushusha lakini sasa hivi watu wameamka wanayaonyesha madhaifu ya huku Angalia kama marekani kuna watu hawama makazi wa kutosha Wengi wao wanaishi kwenye magari iyo huwezi ikuta inasemwa CNN, BBC wala aljazeera Lakini ingekuwa ni Africa ingeshika headline kwasababu wanataka kutuaminisha sisi tuko chini na hatuwezi panda bia wao.
@micamathew2595
@micamathew2595 4 года назад
Wakome kabisa na pua zao zenye makamasi.
@josephkasika6755
@josephkasika6755 4 года назад
Pamoja Sana 🙏🤝
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 года назад
Asante JPM wewe ni shujaaa
@antonymangu3221
@antonymangu3221 4 года назад
Watoe wote Manghufuli HONGERA
@GREENPOINTCoLtd
@GREENPOINTCoLtd 4 года назад
Duh, ni kazi kweli ... kuelimisha hii jamii
@peterbillas9131
@peterbillas9131 4 года назад
Yeah tumeuchoka umbea wao hata huku sauzi ndo hiyo hiyo
@irenewile
@irenewile 4 года назад
Waingereza na wajerumani hawataki kuiacha Tanzania salama....
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 года назад
Bado wanafikiria ni koloni lao na sasa wanapoona madini na kila aina ya mali ghafi zinazopatikana hapa Tanzania lazima watumie propaganda na sasa wamejikuta wanagonga mwamba.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 года назад
Mbona wanatufuatilia sana? Washindwe na walegee
@kasindeehjoseph4594
@kasindeehjoseph4594 4 года назад
Mungu ibariki Tanzania
@kiatu
@kiatu 4 года назад
Comments hazitoshi jamani. Hii habari nzuri sana.
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 года назад
Tunashukuru kutuelimisha juu ya hili inabidi elimu hii iende mpaka while za misingi kama wao wazungu wanavyo somea maswala ya utawala kwetu sisi tusiojua kituu
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Karibu sana kiongozi
@kahroogall5695
@kahroogall5695 4 года назад
Asante sana
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 4 года назад
Pamoja sana jpm
@hamdaniyasinimunguibarikit6734
@hamdaniyasinimunguibarikit6734 4 года назад
Uhurubila mipakaniutumwa wakifikra
@charlesager8360
@charlesager8360 4 года назад
Uhuru bila impaka ni uwenda wazimu
@charlesager8360
@charlesager8360 4 года назад
Uhuru bila mipaka
@jamesjames2368
@jamesjames2368 4 года назад
👌👌💪💪💪
@ndeankaminde7271
@ndeankaminde7271 4 года назад
Watanzania tuwe machoo na awamabeberu s watu hawaa
@ndeankaminde7271
@ndeankaminde7271 4 года назад
Naipongezaa serikal ya tanzaniaa kwakuwa makn na hawa watu naiombeaa tushindee majalibu haya asanten
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 года назад
Safiiiiiiii✔
@charlesnjau2423
@charlesnjau2423 4 года назад
Safi Sana!
@nassorali1260
@nassorali1260 4 года назад
Good luck
@vitolomohd4979
@vitolomohd4979 4 года назад
Mbona watashika adabu mzee magu kiboko yao.
@tanafricatv1301
@tanafricatv1301 4 года назад
Wameshaanza kinyooka
@rogerslaurence4325
@rogerslaurence4325 4 года назад
Afadhari maana ni mashetani waha
@joearm5551
@joearm5551 4 года назад
Kiboko yao
@SuperKibwana
@SuperKibwana 4 года назад
Imetulia sana hii
@charlesager8360
@charlesager8360 4 года назад
Watu wengi wanapotezwa kwa kukosa maarifa. Ujinga ni ugonjwa hatari kuliko magonjwa yote duniani. Wazungu wanaendelea kutuvuruga kwa sababu ya ujinga with watu weusi
Далее
China's MEGAPROJECTS Are Changing Africa's Future
14:29
THE BLACK SIDE OF AUSTRALIA 🇦🇺
46:17
Просмотров 56 тыс.
Who are Kenya's 42(+) tribes?
12:59
Просмотров 17 тыс.
Could China potentially replace Russia in Turkestan?
9:41