Тёмный

Tanzania yachaguliwa kuwa nchi ya kwanza Afrika kufanya filamu na Korea Kusini 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 3 месяца назад
Idris anajueleza vizuri sana❤
@shd12m55
@shd12m55 3 месяца назад
Ingekuwa kiswahili angeongea Steven Nyerere 😎😎
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 месяца назад
Hongera kwa Idris Sultan kuchapa kingereza swafi. Wasanii wajifunze lugha inasaidia hata kusaini mikataba
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 3 месяца назад
😂hahah
@Maryam나디
@Maryam나디 3 месяца назад
Woooooow❤❤sarang hae
@shemsasalum-yn4zc
@shemsasalum-yn4zc 2 месяца назад
Anyenga-seo👋
@trendz_2548
@trendz_2548 3 месяца назад
❤❤Idris sounded really good
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 месяца назад
Wema sepetu and idriss sultan loves
@Babyzay178
@Babyzay178 3 месяца назад
Wemasepetu wangu mimi 🥰 🥰 🥰
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Well done, indrisa 👌👊👏🇹🇿🇹🇿
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 3 месяца назад
Itaewoon class is also my favorite kdrama❤
@AyubuMsaki
@AyubuMsaki 3 месяца назад
Broo unawezaaaa
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 месяца назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏
@khadijaismail5013
@khadijaismail5013 3 месяца назад
Tanzania oyee❤❤
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 3 месяца назад
Lkn wema sio msanii
@CreyMomo
@CreyMomo 3 месяца назад
Wataelewana sasa😮
@edwardlesian9318
@edwardlesian9318 3 месяца назад
Yan sisi tunafurahi kufka hapo lkn sio kwa umaarufu ni kwa mchongo tushapigwa za uso hapo, ukiona sehemu hapo Nigeria na S/Africa wajafka mjue sisi tumeibiwa pakubwa hyo ni vumba macho tu 😢😢
@starjay3052
@starjay3052 3 месяца назад
iddy na x wake x anachekelea tu kusikia sauti ya iddy unazani badae nini kinatokea 😁😁
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 3 месяца назад
Tanzania itafik mbal sn
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Kwa Jumong atakuwemo?
@vero57
@vero57 3 месяца назад
TANZANIA OYEEEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🏾👌👊👏👏
@CreyMomo
@CreyMomo 3 месяца назад
Stivu hadi wachina wanakupita urefu😂😂😂
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 3 месяца назад
😅😅😅
@OlgaChirezi-qt1pg
@OlgaChirezi-qt1pg 3 месяца назад
Wakorea wame tupiga mazee so kweli
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 3 месяца назад
Pole sana kwa kusumbuliwa na negative mind
@Awatee
@Awatee 3 месяца назад
😂😂😂​@@mosesnyelo1380
@wemakalama6458
@wemakalama6458 3 месяца назад
Big up keep going ❤❤❤
@frocoissango8973
@frocoissango8973 3 месяца назад
Wehusi ni😂nyani tu nishasema nami nikiwemo
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 3 месяца назад
Mapambano bado yanaendelea....
@SelemaniEmail
@SelemaniEmail 3 месяца назад
Wapi we lee min ho na gabo I akutane wakimtaka mwanamke mmoja 😅😅😅
@BoazDillu
@BoazDillu 3 месяца назад
😂😂😂 😢 ni huzini
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 3 месяца назад
Shida mnachagua hao wenye majina mnaacha vijana wenye uwezo uwezo na hisia za kuigiza wapo Sasa wema na kasauti watakua wanamuwekea Mac mdomoni make anabebwa sana
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 3 месяца назад
Kumbuka hata hao waliokwenda nao wanastahili sababu walishafanya mengi kwenye tasnia kusema hawafai ni kuwashushia heshima, pia hao ndio wamepambana sana kujikomba komba mpaka leo wanaipata hiyo nafasi je hao vijana walikuwa wapi kipindi wao wanazungushwa zungushwa kwenye majukwaa na wanasiasa lengo ilikuwa kupata nafasi kama hiyo ambayo leo wameipata halafu mnakuja na mada za vijana wenye uwezo ambao wamekaa tu majumbani mwao wanasubiria kutengenezewa njia
@deusmtiri6341
@deusmtiri6341 3 месяца назад
nothing to say
@boasliberath5798
@boasliberath5798 3 месяца назад
Wapi clam vevo
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 3 месяца назад
🤣🤣🤣Bongo sihami
@goodlegacytv5068
@goodlegacytv5068 3 месяца назад
Mjuba anatiririka ngeri ni kwere yani
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
ukiona Nigeria/SA ajafanya lolote na hao jua sio pesa ni mchongo.
@boasliberath5798
@boasliberath5798 3 месяца назад
Wapi clam vevo
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 3 месяца назад
GPS huu ni upuuzitu anayekuibia lazima akubembereze .Tanzania niwazembe kweli tunapigwa upofu kizembetu
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Umasikini wa fukara ni kiburi na kujikuta anajua
@husseinc
@husseinc 3 месяца назад
ni kweli mtu anaweza kutoa kidogo iliakupigeparefu.
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 3 месяца назад
Ndo.hapo sasa wacha tumpe yeye domo.kaya urais tuone atafanya nini,tatizo kupayuka kwingi,tangu Tanzania kupata uhuru walishawahi kwenda Korea kikazi za uigizaji
@tomsijohni
@tomsijohni 3 месяца назад
Mbona atuoni film tunaona pictures zenu au ndo film hizo 😂
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 3 месяца назад
@@tomsijohni kaah ss watu wameend juzi hiyo filam imetengezwa lini...na sijui km kutakua na film wameenda kujifunz jinsi ya kutengeneza hizo films zenyewe ss
@tomsijohni
@tomsijohni 3 месяца назад
@@isihaqkerdehaqker1403 ongera sana 👊
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 3 месяца назад
Achatu nikoment vingine 😂 Wema na Idris si mrudiane jamani?😢
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 3 месяца назад
Nadhan wamechaguliwa watu sahihi..Mariam Ismail cjamuona hapo🤔, I wish angekuwepo nae
@fj8317
@fj8317 3 месяца назад
Watu sahihi hapo ni idris tu hao wengine sio maproducers
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 3 месяца назад
@@fj8317 Gabo
@DomisianPeter
@DomisianPeter 3 месяца назад
Wema ana tikisa kichwa sijui kama anaelewa 🤷🏾‍♀️
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 3 месяца назад
Wema anajua ngeri zaidi ya idriss ndo nikuambie
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 месяца назад
Chuki yako kwa wema haitakusadia chochote
@OtamarPatrick
@OtamarPatrick 3 месяца назад
Hamjui wema huyo
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 3 месяца назад
@@OtamarPatrick ni kweliiii kabisa ety
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 3 месяца назад
Ana Kiengereza balaaa huyo dada tena gramma
@husseinc
@husseinc 3 месяца назад
hii ni baada ya kuwapa madini na bandali!!
@peninashungu6633
@peninashungu6633 3 месяца назад
Huyo nyerere na wema wameenda kufanya nn sio kama waigizaj, hapo waigizaj wawili tu Anna na gambo Hao wengine wamekula tu pesa za serikal na ambazo awangemsaidia yule mwanafunzi, mlemavu akaenda shule
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 3 месяца назад
Idris ni mshamba hajui kuvaa
@x7hia
@x7hia 3 месяца назад
Wewe uliekua si mshamba umefika wapi !
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 3 месяца назад
Wewe mjanjA inatosha
@maulidimpili698
@maulidimpili698 3 месяца назад
Tanzania bana yunapewa sifa za kijinga sana alaf tunafurah wenzetu wanavumbua vifaa mbalimbali ww inafurahia maigizo
Далее
Find The Real MrBeast, Win $10,000
00:37
Просмотров 50 млн
UTEKAJI SASA BASI, WASIOJULIKANA KUJULIKANA?
7:18
Просмотров 2,8 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 590 тыс.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Просмотров 540 тыс.
This is the Richest Family in Tanzania...
22:59
Просмотров 155 тыс.
Find The Real MrBeast, Win $10,000
00:37
Просмотров 50 млн