AS SALAAM ALEIKUM, I FEEL SO NICE AFTER LISTENING TO THIS ZIKR ,ALHAMDULILLAH VERY HEART TOUCHING. MAY ALLAH SWT FOR THE SAKE OF HIS BELOVED PROPHET MUHAMMAD(SALLALAHU ALEHI WASSALAAM) FORGIVE OUR SINS & MAKE US FOLLOW THE SUNNA OF HIS BELOVED PROPHET. AMEEN YA RABUL ALAMEEN.
Hii ni 2011 lakini bado ni clear. Tawasul takes my memory back to late 90's in west indies eldoret in madrassa. Mostly my maalim iddah could take us to muslims houses to do dua especially on Thursday.,sometimes we could do it at the madrassa...kusema ukweli ilikuwa inaleta khushu'u sana Baada ya Tawasul tulikuwa (tunatabaruk) kwa mafans mtaelewa ni nini maana ya tabaruk. Shukrani zote za dhati ziende kwa maalim idda ambaye alinisaidia katika kuhifadhi haswa juzuu aama sijamuona zaidi ya miaka ishirini Allah akuhifadhi popote ulipo .... Allah awarehemu waliotangulia na masheikh na wenye haja ya kidunia na akhera. Ujumbe ni ahlu wal jama'a ndio muelekeo. Na yeyote anayeisoma hii comment Allah akurehemu na akuhifadhi.
ALLAHU YA ALLAHU YA ALLAHU! ALLAHU YA RAHMANU YA RAHIMU! ALLAHU YA HAYU WA YA KAYUMU! ALLAHU YA KAWIYU YA KADIMU! ALLAHU YA ALIYU YA AZIMU! ALLAHU YA LATIFU YA ALIMU! ALLAHU YA RAUFU YA HAKIMU! ALLAHU YA TAWABU YA HALIMU! ALLAHU YA WAHABU YA KARIMU! ALLAHU YA MALIKU YA MUNIRU! ALLAHU YA MALIKU YA KADIRU! ALLAHU YA MAULA WAYA NASSIRU! ALLAHU ANTAL MALIKU KABIRU! ALLAHU YA SHAKIRU YA SHAKURU! ALLAHU YA AFU YA GHAFURU! ALLAHU YA ALIMU YA KABIRU! ALLAHU YA FATAHU YA BASSIRU! ALLAHU YA BAHIRU YA JALILU! ALLAHU YA BATILU YA WAKILU! ALLAHU YA SADIKU YA JAMILU! ALLAHU YA HAFIZU YA KAFILU! ALLAHU YA GHANIYU YA HAMIDU! ALLAHU YA MUGNI WA YA RASHIDU! ALLAHU YA MUKDIRU YA MOHIDU! ALLAHU YA AZIZU YA MAJIDU! ALLAHU YA KADIRU YA MUKTADIRU! ALLAHU YA ALLAHU YA ALLAHU!
Ndugu ungeiweka yote hapa ungenisaidia saana kaka ningekopi moja kwa moja na kuanza kupitia mara kwa mara. Ni mambo ya kheri haya ndugu yangu kwaiyo kama utaweza ingekuwa poa sana.
Subhannallahu wa bihamd - NATAMANI niondoe hitma kwa ajili ya MZEE WANGU ALIYEPITA -KISHA ISOMWE DUA HII ila tu hakuwa MUISLAMU ---------bali alikuwa mtu mwema sana !!!!
Nakumbuka maalim wangu Juma Kininga, baba yangu Al Haj Cheikh Kombo Ramadhan, Babu yako Maalim Juma Bakari. Nawashkuruni kwa Nazi mnayo ifanya kua jina wa Allah Jala jelalu Subhana wa taala. Wazir Kudura Kasongo bin Cheikh. Kinshasa- Congo
YA ALLAHU SUBAHANA WATA ALLAH! YA ALLAH AZAJAWAL! YA ALLAH RABUL ARSHIL AZIM! ASTAFIRULAYE AZIM ALAZY LAHILAHA ILLAHUWA AL AYUL KAYUMA WA ATUBU ILLAHI! May we get the best Here in Dunia and in the Here After in Akira! Amina YA RABI YA ALLAH! ASH ADU AN LAHILAHA ILLALAH ASH ADU ANA MAHAMAD ABDUHU WA RASSULUHU! Salalat Aleyhi Wa Salam!
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_uBroYCZDwQ.html That's the original channel. I uploaded by mistake on my colleagues work computer and didn't change user.