Тёмный

TAYARI RUBAYA IMEKAMATWA NA FARDC WAZALENDO FDNB SALAMBWE IMEPATA PIGO KALI 

KWETU  TV
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

chat.whatsapp....

Опубликовано:

 

21 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@ManusuraWalumona
@ManusuraWalumona 4 часа назад
Bravo ooh !!jeshi la wananchi JWDRC VIVA FARDC VIVA WAZALENDO VIVA FDN HIYO NDIO HABARI NJEMA SANA tuko nanyi5/5tukifuatilia kila taarifa mnazo tupeperushia mtandaoni ahsanteni sana
@GustaveKiza
@GustaveKiza 2 часа назад
Mungu awatiye Nguvu sana fardc na wazalendo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JaimeMusolo-gr3ty
@JaimeMusolo-gr3ty 3 часа назад
Que Dieu des armées bénisse la FARDC et Waza choux ♥️♥️♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AimeMushaga
@AimeMushaga 4 часа назад
Bravo wazelendo na fardc kama habari hii ni kweli
@Emwituafricaofficial
@Emwituafricaofficial 2 часа назад
Tuko nadjechi ya kubigha Les lions de Sarambwe kweli?!mmmm
@NestorOlonga
@NestorOlonga 4 часа назад
iyi informations ya kweli
@lwambonachigera2614
@lwambonachigera2614 3 часа назад
Kama unapenda tusikuchukiye Sawa zile TV za kinshasa za batu ya udps ukuwe unatia titre ya kusemesha kweli uko wa kwanza kusema ju ya Rubaya kama ni. Kweli utaganye terrain merci
@willlybibentyo
@willlybibentyo 3 часа назад
Umekuwa wa kwanza wakutuambiya kwamba rubabaya imegombolewa !
@bilombelebuchunde6893
@bilombelebuchunde6893 4 часа назад
Bravo wazalendo.
@JustinKabumba-dc2pk
@JustinKabumba-dc2pk 2 часа назад
Tulikuwa tunangojeya tu kama FARDC itafanya kazi muliisha toka wasaliti wa musitafu Kabila
@kamalidavid390
@kamalidavid390 Час назад
Juu ya nini unatudanganya ndugu? Rubaya ingari cini ya wa rebels
@eddyidingi5610
@eddyidingi5610 4 часа назад
Salut brother josue ce vrai que rubaya et recuper par la force de rdc???
@HamuliMuisha
@HamuliMuisha 5 минут назад
Huyu ni muongo kabisa.kama hauna habari uace kutufariji katika uongo.
@GerardMashusha
@GerardMashusha 4 часа назад
Habari hii niya kweli?
@GerardMashusha
@GerardMashusha 4 часа назад
Habari hii ni kweli?
@Emwituafricaofficial
@Emwituafricaofficial 2 часа назад
Unadjuma maeneo ya kule kweli
@GerardMashusha
@GerardMashusha 4 часа назад
Tunalomba uhakika kuhusu Rubaya.
Далее
TOP 7 Justin BITAKWIRA
44:07
Просмотров 47 тыс.
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 60 тыс.