Тёмный

Tazama balaa la Dully Skykes akiimba 'LIVE' ngoma zake kali, Aimba Salome kwa hisia 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 671
50% 1

Msanii wa muziki wa HipHop, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anaenda kufanya tamasha la 'bongo flava honors' kwa lengo la kumuheshimisha mkongwe wa bongo flava, Dully Sykes.
Tamasha hilo litakuwa endelevo ambalo litafanyika kila mwezi kwa lengo la kuwaheshimisha wasanii wakongwe mbalimbali na likiwa kama tamasha la kwanza ameona aanza na muanzilishi wa bongo flava nchini, Dully Sykes.
Tarehe ya tamasha itakuwa januari 27, 2023 ambalo litafanyika kwa mfumo wa 'Live Band' huku likiongozwa na Sugu.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
Далее
LIVE: PRINCE DULLY SYKES LIVE KWENYE XXL
41:50
Просмотров 8 тыс.