Team ya watayarishaji wa kipindi cha Kilimo chenye tija kutoka ASILI TV walifika kwenye mashamba ya LIZDE COMPANY LIMITED Kiwangwa Bagamoyo ambayo wanazalisha mazao mabali mbali na zao kuu likiwa ni Nanasi ambapo Mtangazaji wetu Mohamed Gojo #Gojo_xgzoo alipiga story n meneja wa shamba Bi Aloyce Mashaja na Mkurugenzi Msaidizi Elisifa Sanka kuhusu furusa zilizopo kwenye zao la Nanasi mafanikio na changamoto
Usikose kufuatilia mfululizo wa makala zingine kutoka Lizde company
#Lizdecompany #xgzoo #ASILITV
18 сен 2024