Wakati wa Mungu. Akira ubwo buhanuzi Mbonyi wacu. Turagusengera ngo inyenyeri yawe ikomeze yake yake yake yake kandi tuyihishe mu marado ya Yesu. Much love and respect from Rwanda.
Na Mungu azidi kukupigania, Damu ya Yesu ikufunike,akuepushe na mitego ya ibirisi na hila zake anazo tumia kuangusha Watumishi wa Mungu. Barikiwa sana Israel 🙏
Kenyan we are the OG just look when he come to Kenya they way we welcomed him and even our gorverment were in crusade prayers and the internet views and subscriber in his channel isreal mbonyi.
Sifa na Shangwe zipewe Mungu. Mimi niko Kigali Rwanda, Tunahitaji collabo ya Mbonyi na hawa Dada kutoka Jamuhuri ya Tanzania. Nafurahi kwani kwa watoto wa Mungu hatuna mpaka. Mungu awazidishiye kwa yote. Aksanti
Hajawakamata ni Neema ya Mungu na ni kwa watu wote sio wadada tu. Huyu sio gospel singer, artists huyu ni worshiper Naachilia damu ya Yesu ikukinde na hila za adui
WATU WA MINGU HAPO SIO SEHEMU SAHIHI YAKIHOJIWA MANA WANAWAPATA WATOTO WA MINGU KUPITIA NYINYI HUKO MUNGU HUKU KUBETI NA MIZIKI ACHENI KUHOJIW AKWA SHETANI