nachukia kisomo hiki kukisikiliza maana wengi hapa wanashangilia na kucheka .badala yakutafakar maneno haya ya mtukufu alotuumba asiye na kasoro naye ni mkarimu na maneno yake ni ya watu kutulia na kuyanyenyekea na kulia na yanapaswa yazingatiwe zaid ujumbe wake na sio sauti. Hii sio kauli ya mshairi balini uteremsho kutoka kwa Allah mola wa ulimwengu wote na ni ametakasika na ana rehma kwawaja wake Hivi kwa maneno haya matukufu mwaona ajabu na mnacheka wala hamlii. Hakika tunapaswa kuwa watulivu na kusikiza kwa adabu zote na kusujudu panapotakiwa
Wamemleta huyu ashindane na hao wakati level ya huyu ni kubwa zaidi kwa hao anaoshindana nao, yani kabla ya mashindano unajua mshindi nani, angalau wangewaweka na kina rajai, iddy,