uhali gani mtazamaji wangu? leo nimekuja na video ya kutengeneza karatasi za keki nyumbani na kupika keki 12 kwa kutumia yai 1 tu. kwa recipe zingine za cupcake bonyeza link hizi RED VELVET CUPCAKES • Video CHOCOLATE CUPCAKES • Video
Wooow yan we Dada nashindwa hata kukuelezea kiukweli nataman hata siku nikuone ana kwa ana una roho nzuri unaelezea vizur MTU anaelewa yan kupitia wewe nkmejifunza mengi na sasa napika half keki za biashara na keki pia natengeneza mungu azid kukuinua na akupe afya njema we na familia yako .
Asante natamani kujua mengi zaidi una moyo nilitak nikanunu baking peper kwaajiri ya choklet keki au redvelvet ua nikipika keki nikiitoa inashikilia na kumomonyoka sawa nitajaribu kuokea keki ktk tin
Popote ukipikia keki ni sawa..we paka blueband au siagi kwenye chombo chako ,chota Unga ngano uzungushe Unga hakikisha kila kona imepata Unga vizuri sufuria yote kwa ndani lakini🤣sio nje..Kisha pika keki yako..inatoka bila shida yyt Na pia toa keki yako kwenye chombo cha kuokeq mara moja baada ya kuitoa kwenye keki,ukiiacha ule mvuke wote unailowesha na inaweza isitoke vizuri pia
Mumy! Mumy! Mumy!!!! Hakika ww ni zaidi yao. Nikawa najiuluzaaa karatasi hizi hizi wanachorea wanangu leo ziokee keki!!!! Heeeeeeh!!! My dear utundu wako wa jiko umetunufaisha sana, tukifa njaa basi tumependa wenyewe. Mungu akuongezee maarifa zaidi na zaidi.
Ameen Ameen rafiki,asante sante,Mungu atuweke sote,inshaAllah.. Nakupenda sana,unanipa moyo sana ..nashukuru sana kwa sapoti yangu...😍😍😍😍 Nafurahi sana kama unapata manufaa kwa video zangu,inshaAllah Mungu akufanyie wepesi katika shughuli zako dear.. Allah atuinue sote。🙏🙏🙏🙏