Тёмный

Tengeneza PESA kwa kusikiliza muziki tu //  

Maujanja Zone
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Siku ya leo tumekuletea Maujanja haya juu ya Jins ya kutengeneza pesa mtandaoni kwa kusikiliza tu mziki katika simu yako au compyuta yako.
Hakikisha ume subscribe ili kupata video nzuri kama hizi za jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni kirahi
bofya hapa kujiunga na kupiga pesa:-
exe.io/L1LIynOp

Наука

Опубликовано:

 

10 дек 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@kimodomusic2009
@kimodomusic2009 2 года назад
Noma sana
@lamuboy387
@lamuboy387 3 года назад
Weee kweli maujanja
@kokorinissaisaacs2281
@kokorinissaisaacs2281 3 года назад
Kwel
@vicky_ylove14.
@vicky_ylove14. 2 года назад
Sawa
@lameckbabilio8247
@lameckbabilio8247 Год назад
Brother naomba kujua nyimbo hizo tunapata wapi au wanapendekeza wao??
@blaxog5786
@blaxog5786 3 года назад
Hatuja kuelewaa ...unaskilizajee
@nelsardutch6725
@nelsardutch6725 2 года назад
Naomba link ya hiyo page nikiitafuta siitati rev
@WolfW-ip6jl
@WolfW-ip6jl 2 года назад
Haujui kuelekeza VIZURI
@badgangstar255
@badgangstar255 2 года назад
Tunaipataje rev
@jackjosseph5664
@jackjosseph5664 3 года назад
Xaxa yale maneno uliyo copy kule mbn xja ona ulipo ya paste?
@goodgood1346
@goodgood1346 3 года назад
Ay
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
ACHA UFALA KUPOTOSHA MBONA HUONYESHI WAKATI WEWE NDO UNATAKIWA KUWALIPA ILI WATU WASKILIZE WAONE NDO ULIPWE ILA KU UPLOAD NI HELAAAAAAAAAAAAA
@sinzoyihebabonuer9554
@sinzoyihebabonuer9554 3 года назад
Habari za asubuhi nduguyangu? Nilikuwa natakakujua nijinsigani ya kusikiruza nyimbo
@selestinohaule7854
@selestinohaule7854 2 года назад
namna gani naweza kujiunga?
@KilimanjaroWonders
@KilimanjaroWonders 3 года назад
Maelekezo zaidi please
@Re_maxx.32
@Re_maxx.32 2 года назад
Uongo brooo
@babasaid8325
@babasaid8325 3 года назад
Jamaa hajui ata kueleza dah
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
NI FALA SANA
@shakurukakuru7636
@shakurukakuru7636 3 месяца назад
Nalipataje
@selestinohaule7854
@selestinohaule7854 2 года назад
Najiungaje ili kuanza?
@SaidLukunga
@SaidLukunga 2 месяца назад
Mbona nyimbo siioni
@dayanaeduardo6711
@dayanaeduardo6711 3 года назад
Tunaipataje coz play store haipo
@GoodBoy_Tz
@GoodBoy_Tz 2 года назад
Ni kweli??
@lameckdjuma6864
@lameckdjuma6864 Год назад
Hapo unatudanganya haumalize jamaa sasa hautuneshe gisi wanatowa pesa
@blaxog5786
@blaxog5786 3 года назад
Tatizo lenuu ..homuoneshi link
@chatemidy9787
@chatemidy9787 2 года назад
hamna kitu icho in tz kama kwl wew uliskilz na ukapat izo pes bc tunahitaji utithibitishie si unawafanya watu ni ma fool kwa malengo yak binafs
@mdundotv4501
@mdundotv4501 3 года назад
Hiyo Rev iko Google ama Playstore?
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
ACHANA NAYO NI UWONGOOOOOOOOO
@alexmaige4738
@alexmaige4738 2 года назад
Wew watu wanalipwa na mim nibmiongon achana na kasumba za walio shindwa komalia hil dil
@ggeverything2017
@ggeverything2017 2 года назад
@@alexmaige4738 nielekeze
@jordanwambura5319
@jordanwambura5319 2 года назад
Hii mbna siielew
@boazamosi5665
@boazamosi5665 2 года назад
Namna ya kuitoa hio pesainakuaje
@puyapotiger4732
@puyapotiger4732 3 года назад
m pesa
@elimuozokeiou6260
@elimuozokeiou6260 3 года назад
😏 Freelancers need some/few county it's doesn't Accept Tanzania location 😂
@othumaniali6678
@othumaniali6678 Год назад
Nahitaji
@wsilver9553
@wsilver9553 3 года назад
Jamaa mwongoo ww wwakati wao ndo inatakiwa uwalipe kwa Ku upload audio video zakoo unatumalizia 2 mb
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
MIONGO INATAKA VIEWS TU
@draye3357
@draye3357 3 года назад
Unayumba kueleza hujui
@bariyowbariyow3095
@bariyowbariyow3095 3 года назад
Ni fundishe rafiki yangu ili niyuwe vizuri kwa heshima yko rafiki mpendwa
@allymwananyamala4386
@allymwananyamala4386 3 года назад
Nitumie namba yako kuna kitu nataka nikulize mwalimu
@anordpaschal65
@anordpaschal65 2 года назад
Mboma inakataa
@upendomediatv394
@upendomediatv394 2 года назад
Hii ni kweli?
@Lawurance
@Lawurance Год назад
Umenikosa
@kastorymachibula6372
@kastorymachibula6372 3 года назад
Mbona hiyo lick haionekani?
@tanzaniaquranrecitationtv4145
@tanzaniaquranrecitationtv4145 3 года назад
Mcheki WhatsApp kwenye mamba hii 0674048585 ntakupa link inayo lipa
@abboytv4130
@abboytv4130 3 года назад
Mbona ujamalizia jinsi yakujiunga
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
ACHANA NAYO NI UWONGO Maelezo zaid 0789 061603 WhatsApp
@ematheboy1890
@ematheboy1890 2 года назад
OI TUMEPIGWA🤣🤣🤣
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Год назад
😃😃😃
@laidahmaris.l.m6259
@laidahmaris.l.m6259 3 года назад
Zero😂😂😂
@abdulkaharathumani4113
@abdulkaharathumani4113 3 года назад
Wanalipa kwa njia gani
@whizydramatic6672
@whizydramatic6672 3 года назад
@@MaujanjaZone nataka unifahamishe jinsi ya kuconnect paypal
@whizydramatic6672
@whizydramatic6672 3 года назад
@@MaujanjaZone nmesha tengeza paypal nataka nitoe pesa nna $5.8
@princemujuni9803
@princemujuni9803 3 года назад
@@whizydramatic6672 paypal haifanyi kazi Tanzania mpk Kenya
@whizydramatic6672
@whizydramatic6672 3 года назад
@@princemujuni9803 kwa hyo unafanyaje kutoa
@princemujuni9803
@princemujuni9803 3 года назад
@@whizydramatic6672 huwez kutoa labda kama una mtu unamfahamu Kenya ndo akutolee mm nime give up ishu za online sababu hiyo
@elimuozokeiou6260
@elimuozokeiou6260 3 года назад
Acha uongo 😏
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
MUONGO BOYA HUYO
@Stephen-fw1bt
@Stephen-fw1bt Год назад
It is called transcriptiion si wimbo,
@allymwananyamala4386
@allymwananyamala4386 3 года назад
Izo nyimbo una copy vp
@freezykid2946
@freezykid2946 3 года назад
USIJISUMBUE Mzee jamaa ajaeleza Deep NI Hivi wewe ndo unataliwa kulipa huo mtando utacopy wimbo na lyrics uta upload kweny huo mtandao utalipa kama dollar 25 au 17 ndo watu waskilize Link yako ndo ulipweee
@Re_maxx.32
@Re_maxx.32 2 года назад
It's a lie
@agogojrtz6532
@agogojrtz6532 2 года назад
Kwel
@mafuja1991
@mafuja1991 2 года назад
Kwel
Далее
Best exercises to lose weight ! 😱
00:19
Просмотров 7 млн
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,3 млн
Jinsi ya kupata pesa facebook kupitia account yako
14:17
Jinsi ya kutumia Smartphone kama Microphone
6:16
Просмотров 11 тыс.
APPS 3 MUHIMU ZA KUKUPA PESA MTANDAONI
13:57
Просмотров 10 тыс.
Jinsi ya kutengeneza app za android kwenye simu
11:10