Тёмный

TEZI DUME NA DALILI ZAKE. 

Vimba Media
Подписаться 681 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

__
Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania.
Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.
*******************************************
Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
RU-vid: / hzbtv
Twitter: / harakatizabongo
Facebook: / harakatizabongo
Instagram: / harakatizabongo
Google Plus: plus.google.co...
Website: harakatibongo.com/

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 лет назад
Ahsante doctar kwa ufafanuzi wako mzr mungu akubariki sana
@MagdalenaFredrick
@MagdalenaFredrick 4 дня назад
Nakupata vip
@salamaabdallah161
@salamaabdallah161 3 года назад
Dr Yuko vzr sana hongera kaka
@frumencmsonga5217
@frumencmsonga5217 Год назад
Asante kwa kujua hili. Upo wapi? Naomba mawasiliano
@WachSamaki
@WachSamaki Месяц назад
Naomba namba yako dactari
@asamohmohamed9842
@asamohmohamed9842 4 года назад
Baba angu ana dalili za tezi dume ana miaka 61 vp daktari mm upo uwezekano wakuipata tezi dume nina miak 17 saiv
@alikhamis2013
@alikhamis2013 4 года назад
upo chamsingi uwe makini kupima kila mwaka ukifikia miaka 35 na kwendelea
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@jorusylsamson3362
@jorusylsamson3362 4 месяца назад
mda bado kijana. uchunge tu mambo ya kaawaida
@petersongo8155
@petersongo8155 2 года назад
Sasa nimeielewa kuhusu tezi dume
@shewaimusa7065
@shewaimusa7065 Год назад
Naomba no simu
@tausiferuzi9098
@tausiferuzi9098 2 года назад
Doktar namba
@ericksummary9722
@ericksummary9722 4 года назад
Hello
@joelsylvester1489
@joelsylvester1489 2 года назад
NAMBA YA SIMU DAKTARI NAIOMBA
@GloryPaul-b5f
@GloryPaul-b5f Месяц назад
Nicheki nikupatie dawa
@meshackjohn7798
@meshackjohn7798 2 месяца назад
Mm nakojoa mara kwa mara hususani usiku
@masanamasana2937
@masanamasana2937 6 месяцев назад
Habar
@hussenibahati578
@hussenibahati578 Год назад
Sasa nakuonaje mkuu
@yassinimakowa1793
@yassinimakowa1793 4 года назад
Dactari naomba mawasiliano yako maana kwa maelezo uliyoyatoa mm ntakuwa na maambukizi ya bacteria je tiba ni ipi?
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
yassini makowa USHAURI JUU YA TEZI DUME NA TIBA YAKE ASILIA Uvimbe wa tezi dume sio ngiri wala mshipa wala busha ni uvimbe wa tezi inayozunguka njia ya mkojo. Tezi dume ikivimba huathiri mfumo wa mkojo kwa sababu hubana njia ya mkojo.... hivyo mkojo unapita kwa shida na unabakia kwenye kibofu(urine rention) MADHARA YA UVIMBE WA TEZI DUME NI. 1. KUHARIBIKA KWA FIGO NA INI.2. KUATHIRIKA KWA INI KWA SABABU YA SUMU NYINGI KUBAKI MWILINI. 3,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 4 CANCER YA TEZI DUME(hatari kubwa zaidi ya uvimbe wa tezi dume ni kansa ya tezi dume(peostate cancer) za usiku. ZIFUATAZO NI DALILI ZATEZI DUME. 1.Kukojoa mara nyingi wakati wa usiku Mara Tatu au Zaidi 2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo. 3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio kama zamani 4.unatumia muda mrefu kamaliza mchakato wa kukojoa. 5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo 6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu. 7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.. UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE UNA TEZI DUME ILIYOVIMBA. TIBA ASILIA NI PROSTATE RELAX Ni mitishamba ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana maelezo na ushauri na kupata huduma piga(0712126669) (0765084330)
@yassinimakowa1793
@yassinimakowa1793 4 года назад
Sawa....nn tiba yake au mpaka operation?
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
yassini makowa Hapana ndugu unatumia tu bidhaa unapona kaka
@drsadiki
@drsadiki 3 года назад
Tezi dume inatibika 0657637279
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@pepenelimited2627
@pepenelimited2627 11 месяцев назад
Tulenini Dr tuwe salama?
@leonardpeter9827
@leonardpeter9827 2 года назад
Ukinywa uji au maziwa au maji mengi utakojoa zaidi ya mara tatu kwa siku
@maudassi881
@maudassi881 Месяц назад
Kwaiyo ukinywa maji mengi na ukawa unakojoa mara Kwa mara ujue ni tezi dume au
@harirymussa641
@harirymussa641 2 года назад
Doct mm nko na shida ya mkojo nakojoa mara kw mara na nina miaka 24 tu
@jorusylsamson3362
@jorusylsamson3362 4 месяца назад
nadhani ni swala la kupima tu kiongozi? ulipata majibu gani?
@makuogo17
@makuogo17 Год назад
Dawa za tezi dume ni zipi
@wontermelona5895
@wontermelona5895 4 года назад
mpo wapi na vipimo bei gani
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@isumbizeyn983
@isumbizeyn983 4 года назад
Naomba namba ya huyu Doctor kwa ajili ya matibabu
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
Isumbi Zeyn Kuhusu tezi dume upasuaji kiongozi karibu (0712126669)/0765084330)
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@rugonderwaga6128
@rugonderwaga6128 5 лет назад
dokta umefafanua vzr
@edsonntawiha3641
@edsonntawiha3641 4 года назад
doctor ...ninatazizo la mkojo kutoka kidogo kidogo hata nikiwa nimexhatoka kukojoa muda huo huo cjui itakuwa ni dalili pia
@janethhangaya4877
@janethhangaya4877 3 года назад
Ndio Dalili zake
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@afyayangutime8738
@afyayangutime8738 3 года назад
Nitafute 0622831991 nikusaidie tatizo lako na wengi wamepona walio na shida kama yako
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 года назад
@@afyayangutime8738 naitaji dawa
@yassinshaban1587
@yassinshaban1587 5 лет назад
Damu kushindwa kufika kwenye uume hivyo kusababisha uume kutosimama imara hiyo inasababishwa na nn, Doctor
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
Yassin Shaban Mr shaabani (0712126669) upate bidhaa yakufungua mishipa midogo ya uume ili damu itembee vizuri
@mdmurologyspecializedhospi6509
@mdmurologyspecializedhospi6509 4 года назад
MAGONJWA MENGI, KWA USHAURI NOO LIZED HOSPITAL
@allmsuya2305
@allmsuya2305 3 года назад
Mnapokea Bima
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@peterboa8862
@peterboa8862 9 месяцев назад
​@dr_tinnerh
@hussenibahati578
@hussenibahati578 Год назад
Sasa mimi nikisha kunywa maji ndani yanusu saa naweza kojoa zaidi ya mala 8paka.kumi sasa iii sii ndoo. Daliliyenyewe ee
@jorusylsamson3362
@jorusylsamson3362 4 месяца назад
nadhani ni swala la kupima tu kiongozi? ulipata majibu gani?
@maryamramadhani292
@maryamramadhani292 3 года назад
Mgonjwa akifikia hatua yakukojoa damu yafaa kufanyiwa upasuaji
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie kma una tatizo
@fatmab8juma541
@fatmab8juma541 4 года назад
dokta naomba unifahamishe eti tenzi dume inafatana na saratani? Naomba ufafanuzi
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
Fatmab8 Juma Ndio ni saratani ya mfumo wa uzazi wa mwanaume (0712126669) kwa matibabu kwa bidhaa asili kutoka bf suma
@mdmurologyspecializedhospi6509
@mdmurologyspecializedhospi6509 4 года назад
HAIFANANI
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp +255768682832 nikusaidie
@amourhaji8249
@amourhaji8249 4 года назад
Weka namba yako yako tukutafute
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
amour haji Habari kiongozi kuhusu changamoto ya tezi dume naomba tuwasiliane (0712126669)
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
amour haji tatua changamoto ya tezi dume bila upasuaji(0712126669)
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
amour haji USHAURI JUU YA TEZI DUME NA TIBA YAKE ASILIA Uvimbe wa tezi dume sio ngiri wala mshipa wala busha ni uvimbe wa tezi inayozunguka njia ya mkojo. Tezi dume ikivimba huathiri mfumo wa mkojo kwa sababu hubana njia ya mkojo.... hivyo mkojo unapita kwa shida na unabakia kwenye kibofu(urine rention) MADHARA YA UVIMBE WA TEZI DUME NI. 1. KUHARIBIKA KWA FIGO NA INI.2. KUATHIRIKA KWA INI KWA SABABU YA SUMU NYINGI KUBAKI MWILINI. 3,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 4 CANCER YA TEZI DUME(hatari kubwa zaidi ya uvimbe wa tezi dume ni kansa ya tezi dume(peostate cancer) za usiku. ZIFUATAZO NI DALILI ZATEZI DUME. 1.Kukojoa mara nyingi wakati wa usiku Mara Tatu au Zaidi 2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo. 3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio kama zamani 4.unatumia muda mrefu kamaliza mchakato wa kukojoa. 5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo 6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu. 7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.. UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE UNA TEZI DUME ILIYOVIMBA. TIBA ASILIA NI PROSTATE RELAX Ni mitishamba ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana maelezo na ushauri na kupata huduma piga(0712126669) (0765084330)
Далее
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 184 тыс.
УГОСТИЛ БЕЛКУ МОРОЖЕНЫМ#cat #cats
00:14
School shootings and cell phone bans, People watching
21:54
Umuhimu wa Figo: Importance of your Kidneys
6:17
Просмотров 4,1 тыс.