Tunaomba Huyu Mungu mnayemuimbia akawapatie Amani katika nchi yenu. Nyimbo zenu zinatubariki sana, Nimaombi yangu kwa Mungu kwamba akawatunze nyinyi pamoja nyote, familia zenu, kazi zenu, huduma yenu pamoja na Taifa lenu. Jehovah Shammah twaomba usikie Maombi yetu.
Mungu aku sikiye naakubariki saana kwani na mimi n'a shukuru Mungu sababu wa christu wamataifa mengine wana tuombeya Usalama ili tuendeleye kumabudu n'a kumsifu Mungu pamoja n'a hali nzuri ya Usalama. God bless you my brother Patrick i respect your anointing
Asante sana kaka Patrick Bubuya, Mungu aku bariki sana. Merci infiniment pour ces belles chansons qui nous font monter dans les hauteurs en présence de notre Dieu. Baraka kwako
This is a must download . eeiiish tunaanza ma kuabudu mwanzo wa mix roho anashuka alafu tunasifu kisha mwisho wa mix nikumchezea Mungu kilingala. Aaaah this was amazing wooou. Nawapenda Sana from Kenya sante kwa kuimbwa kwa lugha inayoeleweka Afrika mashariki yote na Mungu awape Amani. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Much love from kenya this band is so mazing.
Mungu na akubariki sana ,Mtumishi Patric kwa karama ya uimbaji ,pia una huduma ya kichungaji ndani yako, Mungu alieumba mbingu na nchi awabariki wote kwa utumishi