Mashallah mashallah barak llaha in shallah sheikh mbarak awes Allah akujaze kher uzima afya utupe ukweli na iwe ndio sababu ya masjid al aqsa kukombolewa amiin rabbi Alamin takabali dua
Waaleykum Salaam warahmatullah wabarakatuh mashallah Allah Akupe umry wenye kheri na wewe Akujaalie mwisho mwema Akujaalie jannnatul firdous Amiin nilikuwa na subri sana historia ya msikiti Al Aqsa naomba shekhe kwa hisani yako uweke mwendelezo In shaa Allah na Allah Akujaalie kheri wewe na familia yko napenda sana mie mawaidha ya watu wa Mombasa Kiswahili chenu na fahamu mie mawaidha yako husikiliza kwa masikio ya moyo kabla hata masikio yangu ya kawaida mashallah barka Alla
The Sound of this video is very clear mashallah jazakallah sheikh Mungu akutunze kwa kuongelea masaala muhimu kama hii kwa fasaha na ya kueleweka zaidi
Ezekiel 11: 17 Basi nena, Bwana MUNGU asema hivi; Nitawakusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizotawanyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli.
Maneno mengi ,,si muwatoe ijulikane kwamba wayahudi au waisrael mmewato katika arthi hiyo.. Haya huwa ni maneno utekelezaji zero ,,hamwezi kuwatoa hao katika ardhi hiyo ni ngumu sanaa
Mwanzo Yahudi we hakuhitaji ni najisi kwao..pili kama kafiri hamuna kitabu kimoja cha dini kwahio msimamo hamuna...dini ya Mola mmoja na kitabu kimoja na isio na ubaguzi ni uislamu tu...karibu katika uislamu
@@unknownvirus4138 karibu katika njia ya kweri na uzima huwezi kumwona Mungu bila kwa njia ya YESU na njia ya YESU ni wapendeni wanao wadhulumu but nyinyi ni jino kwa jino upanga kwa upanga and remember mtu mweusi ni sawasawa na mtumwa kwa waarabu and remember mnatuitaga makafili so hamna tofauti
@@ikrissaidrissa8613Ezekiel 11: 17 Basi nena, Bwana MUNGU asema hivi; Nitawakusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizotawanyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli.