"Watch a live performance of ""The Lightbearers Tanzania "" by The Lightbearers Tanzania Music video by The Lightbearers Tanzania (Official live Performance Video).
Kila ninaposikiliza najikuta natamani kubonyeza like wakati nilishabonyeza,yani nyie watu nitasikika nisipowaona mbinguni,hamuwezi mkatubariki kwa namna hii alafu muikose mbingu
*Ushauri:* Jina la Wimbo na shairi au fungu la kwanza lingeandika lisomeke, kama ifuatavyo: *Njia Zetu Wanadamu* Njia zetu wanadamu ni safi machoni mwetu Tukijitizama Bali Mungu hutazama ndani ya mioyo Anayachunguza mawazo yetu *Sababu:* Ikiandikwa na ikisomeka, kama ilivyo, inaleta muktadha kana kwamba *waimbaji* hawamo katika fungu hilo la wanadamu. Wote tumo katika kundi moja ndio sababu wimbo unaendelea kutuasa kuwa "Anayachunguza mawazo yetu." Otherwise, ni wimbo wa kututaka tujirudi na tunyenyekee. Kazi nzuri.
What a meditational thought....what a song...Oh!what a prayer! Psalms 8:4-5 What is man, that thou art mindful of him? and the son of man, that thou visitest him? For thou hast made him a little lower than the angels, and hast crowned him with glory and honour. May God bless your ministry.
Woooooow this song is lovely, am so in love with this group am really blessed with their music, with love from zambia, kindly asking for the translation of the song