Aunty wa Lovies...i just love how there's always something new in every video. You always incorporate new elements and style in your vlogs Such style,such class other wedding videos are a NO touch to NajmAli Originals
Assalaam aleykum wa Rahmatullah wa Barakatuh, nawaomba ndugi zangu tumcheni Mwenye Ezi Mngu. Haifai mwanamke kuonesha pambo lake kwa watu ambao si maharim zake. Mtume Swalla Allah aleihi wa salaam kama alivyosema kila gharama za harusi zikiwa ndogo barka zaidi katika harusi hiyo. mambo kama haya yaleta hasad. Mola atusamehe na atunusuru soteni na hasad. Wa BiLlahi Taufiq