Ruto amekuwa Rais kwa muda kidogo sana na baadhi ya hizo barabara zimekuwapo mathalani hiyo Barabara kuu ya kaskazini ya kwenda Cairo. Kila pembe ya dunia barabara huundwa na kurebeshwa wakati wote na hata zingine zaharibika. Sasa ndugu hilo jambo unalosema ni kawaida hapa duniani.
Watching from Malindi Bungoma is my hometown the background music is giving thanks for showing us around my hometown has really improved ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥❤️
After Natembeya has made noise about leaders like Weta being in government and not developing Bungoma for yrs, i see he's now awake thanks to Natembeya's Tawe movement 😅😅